🚨✅BREAKING: FC Barcelona imemfuta kazi meneja wao XAVI HERNANDEZ na Hansi Flick atakuchukua mikoba ya kuinoa FC Barcelona kuelekea msimu ujao.
Chanzo: FC Barcelona
✅Kocha Mkuu wa Inter Milan Simone Inzaghi ameshinda Tuzo Ya Kocha Bora wa Msimu wa Serie A.
Inter Milan imefungwa mabao machache kwenye Serie A msimu huu - mabao (20) huku wakifunga mabao (87) kwenye ligi kuu.
🚨JUST IN; Simba SC 🇹🇿 Ipo Kwenye Mazungumzo na Mchezaji Wa Timu ya Taifa ya Uganda 🇺🇬 na nahodha wa SC Villa, Kenneth Semakula ya Kukamilisha uhamisho wake Kutoka SC Villa.
Kenneth aliiongoza SC Villa 🇺🇬 kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Uganda na tayari amewaaga SC Villa.
🚨OFFICIAL: Kocha wa Real Madrid Carlo Ancelotti amethibitisha kuwa kiungo wao Aurélien Tchouaméni ataukosa Mchezo wa Fainali ya UEFA Champions League dhidi ya Dortmund kutokana na majeraha yanayomkabili.
Tchouaméni Bado anajiweka fiti kwaajili ya kushiriki michuano ya EURO 2024
GAMONDI🎙️ “Moja ya malengo niliyoweka baada kushinda ubingwa, ni kushinda mechi tatu zinazofuata” maneno ya Kocha wa Yanga SC, Miguel Gamond akizungumza kuelekea mechi ya kesho ya NBC Premier League dhidi ya Tabora United.
Gamond amesema hawawazi kile kinachozungumzwa na watu.
Kwa mujibu wa Radio one
Beki wa klabu ya Simba ambaye kwa sasa anakula bata France, Hennock Inonga amesema kuwa mkataba wake na Simba unamalizika mwishoni mwa msimu huu June
msemaji wa klabu hiyo, Ahmed Ally amesema klabu hiyo inatambua kuwa Inonga ni mchezaji wa hadi June 2025
🚨 BREAKING NEWS 🚨
Azam FC tunayo furaha kumtambulisha, Ever Meza, kama kiungo wetu mpya tukimnunua kutoka klabu ya Leonnes ya Colombia.
Meza, raia wa Colombia aliyezaliwa Julai 21, 2000; alikuwa kwa mkopo kwenye klabu ya Alianza FC ya huko huko Colombia.
✍Baada ya Manchester United kushinda FA CUP Chelsea watacheza michuano ya Uefa Conferenc League badala ya Europa League
Tarehe ya droo ya hatua ya Play-Off ni Agosti 5
Mechi ya kwanza: Agosti 22
Mechi ya pili: Agosti 29
Yakpatikana Matokeo Ya Jumla ndio ataenda hatua y makundi
AZIZ KI: SIONDOKI YANGA MPAKA NICHEZE FAINALI YA AFRIKA.
“Mpaka sasa Mimi ni Mchezaji wa Yanga na nafasi kubwa zaidi nawapa Yanga, namwamini Rais wa Yanga @caamil_88 yeye ndie amenileta hapa, tuna makubaliano yetu mimi na yeye kuwa Yanga inapaswa kucheza fainali ya Afrika"🎙
✍Playoff za kupanda kutoka Championship kuja EPL kuna muda zinaumiza sana, fikiria Leeds alimaliza ligi wa tatu, Soton akiwa wa 4….halafu anampiga Leeds kwenye playoff anapanda zake ligi kuu.
🚨✅Éderson anaweza kuondoka Manchester City katika dirisha la usajili la majira ya kiangazi iwapo atapokea ofa nono, Anaripoti Fabrizio Romano
Klabu za Saudi Pro League zimeonesha nia ya kutaka kumsajili Éderson.
🚨✅Leonardo Bonucci anaondoka Fenerbahçe mara baada ya mkataba wake kumalizika msimu huu na yuko tayari kutangaza uamuzi wake kuhusu kustaafu mara tu atakaporejea nchini kwao Italia wiki ijayo, Anaripoti Fabrizio Romano ✅
✍Kocha Mkuu wa Athletic Bilbao Ernesto Valverde alithibitisha kuwa mshambuliaji wao Iñaki Williams amecheza na kipande cha glasi ndani ya mguu wake kwa MIAKA 2.
Hivyo Inaki Alifanyiwa upasuaji na kukiondoa kipande hiko na akaukosa mchezo wa mwisho ya La Liga ambao ulipigwa jana