Mhadzabe (@mhadzabe1920) 's Twitter Profile
Mhadzabe

@mhadzabe1920

ID: 1854233613639745547

calendar_today06-11-2024 18:45:50

834 Tweet

86 Followers

164 Following

Tanzania Imara (@tzimara_) 's Twitter Profile Photo

Maafisa wa Halmashauri ya Wiaya Ya Karatu wamefanikiwa kufika katika shule y sekondari Wel Wel iliyopo kata ya Qurus, wilaya ya Karatu Mkoani Arusha. Mada kubwa iliyofundishwa katika shule hii ni kuwakumbusha wanafunzi juu ya umuhimu wa kujitambua, na kufuata malengo yao ya

Maafisa wa Halmashauri ya Wiaya Ya Karatu wamefanikiwa kufika katika shule y sekondari Wel Wel iliyopo kata ya Qurus, wilaya ya Karatu Mkoani Arusha.

Mada kubwa iliyofundishwa katika shule hii ni kuwakumbusha wanafunzi juu ya umuhimu wa kujitambua, na kufuata malengo yao ya
Matokeo ChanyA+ (@matokeochanya) 's Twitter Profile Photo

Bangi ni dawa ya kulevya inayotokana na mmea uitwao Cannabis sativa. Majani na maua ya mmea huu hukauka na kuvutwa kama sigara au kuchanganywa na dawa nyingine. Bangi huathiri bongo na huweza kubadilisha namna mtu anavyotafsiri uhalisia wa mambo. #NiulizeNikujibu_DCEA

Bangi ni dawa ya kulevya inayotokana na mmea uitwao Cannabis sativa. Majani na maua ya mmea huu hukauka na kuvutwa kama sigara au kuchanganywa na dawa nyingine. Bangi huathiri bongo na huweza kubadilisha namna mtu anavyotafsiri uhalisia wa mambo.

#NiulizeNikujibu_DCEA
MSLegalAidCampaign (@mslacampaign) 's Twitter Profile Photo

MGOGORO SUGU WAFIKA MWISHO, MAMA ATOA SHUKURANI ZAKE MBELE YA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA. #katibanasheria #MSLAC #SSH #kaziiendelee #SisiniTanzania #nchiyangukwanza #matokeochanya #TanzaniaNiwajibuwetu #Nchiyetufahariyetu

Matokeo ChanyA+ (@matokeochanya) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe, Mohamed Mchengerwa ameupongeza uongozi wa Shule ya Sekondari ya Kibaha kwa kuendelea kuwa na matokeo ya ufaulu mzuri huku akiwataka kutoshuka. Mhe. Mchengerwa ametoa kauli hiyo jana wakati alipotembelea shule hiyo na kukagua

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe, Mohamed Mchengerwa ameupongeza uongozi wa Shule ya Sekondari ya Kibaha kwa kuendelea kuwa na matokeo ya ufaulu mzuri huku akiwataka kutoshuka.

Mhe. Mchengerwa ametoa kauli hiyo jana wakati alipotembelea shule hiyo na kukagua
SISI NI TANZANIA (@sisinitanzania) 's Twitter Profile Photo

Tanzania’s commanding 2–0 victory over Burkina Faso in the opening match of the CHAN 2024 tournament is more than just a sporting triumph—it is a symbol of national confidence, unity, and social progress. Sports play a crucial role in nation-building. This win, cheered on by a

SISI NI TANZANIA (@sisinitanzania) 's Twitter Profile Photo

Mantra Yatenga Dola Milioni 70 Kulinda Mazingira ya Hifadhi ya Taifa – Urani kwa Maendeleo Endelevu Katika hatua ya kuonyesha uwajibikaji wa hali ya juu katika sekta ya madini, Kampuni ya Mantra Tanzania Limited imetangaza kutenga kiasi cha dola za Marekani milioni 70 kwa ajili

SISI NI TANZANIA (@sisinitanzania) 's Twitter Profile Photo

KAZI NA UTU: SAFARI YA TANZANIA MPYA CHINI YA RAIS SAMIA Kazi, Utu, na Kusonga mbele. Hii siyo tu kauli ya kisiasa au ya mazoea, bali ni dira ya ujenzi wa taifa inayobeba falsafa ya maendeleo ya binadamu, matumizi sahihi ya rasilimali, na kulinda misingi ya haki, usawa na ustawi

KAZI NA UTU: SAFARI YA TANZANIA MPYA CHINI YA RAIS SAMIA
Kazi, Utu, na Kusonga mbele. Hii siyo tu kauli ya kisiasa au ya mazoea, bali ni dira ya ujenzi wa taifa inayobeba falsafa ya maendeleo ya binadamu, matumizi sahihi ya rasilimali, na kulinda misingi ya haki, usawa na ustawi
Tanzania Imara (@tzimara_) 's Twitter Profile Photo

Haki Ngowi Falsafa Baba! Kampeni ya Msaada wa kisheria ya Mama Samia ( MSLAC) ni Tunu Ya Taifa hili na inapaswa Kufanywa kuwa endelevu kwa mustakabali wa maendeleo ya Watanzania na Taifa kwa ujumla. #sisinitanzania #matokeochanya #nchiyangukwanza #kazinaututunasongambele #katibanasheria #ssh #mslac

<a href="/Hakingowi/">Haki Ngowi</a> <a href="/MwanaFA/">Falsafa Baba!</a> Kampeni ya Msaada wa kisheria ya Mama Samia ( MSLAC) ni Tunu Ya Taifa hili na inapaswa Kufanywa kuwa endelevu kwa mustakabali wa maendeleo ya Watanzania na Taifa kwa ujumla.
#sisinitanzania #matokeochanya #nchiyangukwanza #kazinaututunasongambele #katibanasheria #ssh #mslac
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Mapema leo katika Ofisi za Tume Huru ya Uchaguzi, Dodoma, nilipoambatana na Mgombea Mwenza, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, kuchukua Fomu ya Kugombea Nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ahsante kwa wanachama wote wa Chama chetu, Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakazi

Mapema leo katika Ofisi za Tume Huru ya Uchaguzi, Dodoma, nilipoambatana na Mgombea Mwenza, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, kuchukua Fomu ya Kugombea Nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 

Ahsante kwa wanachama wote wa Chama chetu, Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakazi
Matokeo ChanyA+ (@matokeochanya) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, tarehe 27 Agosti, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, tarehe 27 Agosti, 2025.
SISI NI TANZANIA (@sisinitanzania) 's Twitter Profile Photo

1. Haki na Wajibu wa Kisiasa kwa Mujibu wa Katiba Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 (kama ilivyorekebishwa) inatambua na kulinda: Haki ya kushiriki shughuli za kisiasa (Ibara ya 20 na 21), ikiwemo kujiunga na chama cha siasa na kushiriki mikutano ya kampeni.

1. Haki na Wajibu wa Kisiasa kwa Mujibu wa Katiba
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 (kama ilivyorekebishwa) inatambua na kulinda:
Haki ya kushiriki shughuli za kisiasa (Ibara ya 20 na 21), ikiwemo kujiunga na chama cha siasa na kushiriki mikutano ya kampeni.
SISI NI TANZANIA (@sisinitanzania) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhiwa silaha za jadi Mkuki kutoka kwa Mzee Ndijina Ndilanza Ndilito, mwakilishi wa wazee wa Tanzania Bara pamoja na ngao kutoka kwa Bi. Ubwa Hamis Ally mwakilishi wa Wazee wa Zanzibar kama ishara ya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhiwa silaha za jadi Mkuki kutoka kwa Mzee Ndijina Ndilanza Ndilito, mwakilishi wa wazee wa Tanzania Bara pamoja na ngao kutoka kwa Bi. Ubwa Hamis Ally mwakilishi wa Wazee wa Zanzibar kama ishara ya