Mfalme👑🇹🇿 (@mfalmewax1) 's Twitter Profile
Mfalme👑🇹🇿

@mfalmewax1

Coach | Men’s health | Work Smart | Matrix is real

ID: 1833799669442326528

linkhttps://www.instagram.com/mfalmewax?igsh=Z2dldG85b3p2cGpj calendar_today11-09-2024 09:28:19

2,2K Tweet

17,17K Takipçi

356 Takip Edilen

Mfalme👑🇹🇿 (@mfalmewax1) 's Twitter Profile Photo

Kanuni dhahabu, Mwanamke atakutendea kulingana na jinsi unavyojiona mwenyewe. Ukijiona huna thamani, naye atakutreat kama huna thamani.

Mfalme👑🇹🇿 (@mfalmewax1) 's Twitter Profile Photo

Njia za Kudumu Muda Mrefu Wakati wa sex 🛌🔥 1:Pole Pole na Taratibu 🐢 Usikimbilie! Slow down and enjoy the moment. Kuchelewesha ni njia moja bora ya kudumu muda mrefu. 2:Vuta Pumzi kwa Kina 🧘‍♂️ Deep breaths can help calm your nerves and delay climax. Vuta pumzi kwa kina na

Mfalme👑🇹🇿 (@mfalmewax1) 's Twitter Profile Photo

Mwanaume usinywe chai ya kawaida, kunywa chai inayokupa na kutunza urijali wako Chukua tangawizi + mdalasini + majani ya mints Chemsha na kunywa kila asubuhi au jioni, au kadri unavyotaka Ukiwa na performance ndogo tena niulizwe mimi, #Mfalmecode ~super viagra

Mfalme👑🇹🇿 (@ommyfitness) 's Twitter Profile Photo

Kitambi ni tiki-toki bomu, ni pira la magonjwa linalolipuka muda wowote. Na huweza kuondoa kitambi kwa kufanya mazoezi ya tumbo. Nani anajua yamkini una fatty liver? Rekebisha chakula chako.

Mfalme👑🇹🇿 (@mfalmewax1) 's Twitter Profile Photo

NJIA 12 ZA KUMPOTEZA MWANAMKE WAKO 1. Kuwa muwazi sana (Ongea kama kasuku) 2. Ishi maisha kwa kuiga wenzako 3. Endelea kumnyenyekea kitandani 4. Feli mitihani yake ya kihisia 5. Kumpendelea na kukubali kila anachotaka 6. Kuwa dhaifu na kumhitaji kupita kiasi 7. Kuogopa

Mfalme👑🇹🇿 (@mfalmewax1) 's Twitter Profile Photo

Nilikuwa mnene zaidi ya wengi mnavyofikiria, nilikuwa siwezi kuficha tumbo langu hata kwenye shati, nilikuwa nina mikono mikubwa kuliko kawaida— niliitwa jina kama Bonge n.k Sijakuwa Trainer kwa sababu sina kazi, sijakuwa mwalimu wa mazoezi kwa sababu sina elimu ya darasani

Mfalme👑🇹🇿 (@mfalmewax1) 's Twitter Profile Photo

Kumbuka haya: 1. Mwanaume ni kila kitu 2. Kutojiamini ni uamuzi 3. Majuto na aibu ni kupoteza muda 4. Anza kuongoza au kubakia mfuasi 5. Wanawake huja na kuondoka 6. Msimamo ni jambo la kila siku 7. Kuwa mwanaume ni kubeba majukumu yote 8. Mwanaume anajitosheleza mwenyewe 9.

Mfalme👑🇹🇿 (@mfalmewax1) 's Twitter Profile Photo

Mfalme kwa Mfalme: Lazima upitie kipindi maishani mwako ambapo utakuwa na: - Huna mpenzi - Huna malaya - Marafiki wachache Ni wewe tu na juhudi zako. Hicho kipindi kinaitwa Ghost Mode, wengi wanajipata hapa.

Mfalme👑🇹🇿 (@mfalmewax1) 's Twitter Profile Photo

John Cena, anakosolewa vikali na wanawake baada ya kugundulika kuwa alimlazimisha mpenzi wake wa zamani, Nikki Bella, kusaini Mkataba wa kuishi pamoja kurasa 75 kabla ya kuhamia kwake. Vipengele muhimu vya mkataba huo vilikuwa; - Nikki alihesabika kama “mgeni” na endapo

John Cena, anakosolewa vikali na wanawake baada ya kugundulika kuwa alimlazimisha mpenzi wake wa zamani, Nikki Bella, kusaini Mkataba wa kuishi pamoja kurasa 75 kabla ya kuhamia kwake.

Vipengele muhimu vya mkataba huo vilikuwa;

- Nikki alihesabika kama “mgeni” na endapo
Mfalme👑🇹🇿 (@ommyfitness) 's Twitter Profile Photo

Vina utamu wa kipekee lakini ni hatari 100%. Kama unataka kuwa mnene Kama unataka kuwa mgonjwa Kama unataka kutumia bima yako mara kwa mara Kama unataka kuishi na vidonda vya tumbo maisha yako yote Kama unataka kupata shinikizo la damu (presha). Kula hivi kila siku.

Vina utamu wa kipekee lakini ni hatari 100%.

Kama unataka kuwa mnene
Kama unataka kuwa mgonjwa
Kama unataka kutumia bima yako mara kwa mara
Kama unataka kuishi na vidonda vya tumbo maisha yako yote
Kama unataka kupata shinikizo la damu (presha).

Kula hivi kila siku.
Mfalme👑🇹🇿 (@mfalmewax1) 's Twitter Profile Photo

Hakuna mtu anayeweza kukupa maisha unayotaka. Marafiki, ndugu, wazazi au serikali wanaweza kukupa tu maisha unayoyahitaji. Ni wewe peke yako unaweza kujipa maisha unayotaka. Kumbuka hilo daima!

Mfalme👑🇹🇿 (@mfalmewax1) 's Twitter Profile Photo

Huhitaji protini powder kujenga mwili, Misuli inajengwa kwa kula vyakula vinavyojenga. -Mayai -Nyama zote -Samaki wote Hivi havina side effects hata kidogo. Mtu anayepoteza misuli anatakiwa kuongeza kula mayai, nyama, samaki kwenye kila chakula chake. Anatakiwa kufanya

Mfalme👑🇹🇿 (@ommyfitness) 's Twitter Profile Photo

Kujiunga na program zangu za kupungua, kujenga misuli & kupona magonjwa yasiyoambukiza (metabolic syndrome) nitumie DM neno “COACH” au WhatsApp 0628908800. Share kuokoa maisha ya wengine.

Mfalme👑🇹🇿 (@mfalmewax1) 's Twitter Profile Photo

Ni wiki mpya; Kumbuka mambo ya msingi; -Hakikisha unatoka jasho kila siku -Punguza kuruka ruka -Jenga misuli -Oga maji ya baridi tu -Kunywa maji na chumvi kabla ya kahawa -Usifanye masihara na kazi inayokuingizia kipato -Kula mara mbili au moja kwa siku -Hakuna kula asubuhi