Medewell Hospital (@medewell) 's Twitter Profile
Medewell Hospital

@medewell

We provide medical services at an affordable rate to the underprivileged 🏥Tunatoa huduma zote za hospitali kwa bei nafuu kwa wasiojiweza ☎️+255 756 677 599

ID: 1520774184330317824

linkhttp://medewell.or.tz calendar_today01-05-2022 14:36:45

187 Tweet

40 Followers

8 Following

Medewell Hospital (@medewell) 's Twitter Profile Photo

Hospitali ya MEDEWELL inapenda kuwajulisha kuwa Daktari bingwa wa magonjwa ya watoto anapatikana kwa siku za Jumanne, Alhamisi na Ijumaa kwanzia saa 9.30 Alasiri hadi saa 12.00 Jioni

Kumekuwa na watu wasio waaminifu wanaofanya dhuluma kwa wananchi kwa kutumia jina la Hospitali ya MEDEWELL, Hivyo tunachukuwa nafasi hii kuwaomba kushirikiana nasi ili kukemea tabia hii pia usikubali kutoa pesa yoyote kwani Hospitali yetu haina utaratibu huo.

Karibu hospitali ya MEDEWELL kuonana na madaktari bingwa kwa magonjwa yote ya ndani kama vile moyo, figo, tumbo, karibu sana. tembelea tovuti yetu ya medewell.or.tz kwa taarifa zaidi.

Hospitali ya MEDEWELL inawatangazia wananchi wote kuwepo kwa kitengo cha matibabu ya dharura (Emergency), kitengo hiki sasa kinapatikana hapa hospitalini kwa masaa 24 kila siku.

Hospitali ya MEDEWELL imeshirikiana na Kampuni ya TANZANIA ROAD HAULAGE (TRH) na MOHAMMED IBRAHIM kupeleka msaada wa mashine mbili za kusaidia upumuaji wa watoto wachanga (CPAP SYSTEM) wanaopata changamoto ya upumuaji baada ya kuzaliwa, Tarehe 21/10/2024 #tanzaniaroadhaulage(TRH)

Hospitali ya MEDEWELL imeshirikiana na Kampuni ya TANZANIA ROAD HAULAGE (TRH) na MOHAMMED IBRAHIM kupeleka msaada wa mashine mbili za kusaidia upumuaji wa watoto wachanga (CPAP SYSTEM) wanaopata changamoto ya upumuaji baada ya kuzaliwa, Tarehe 21/10/2024
#tanzaniaroadhaulage(TRH)
Medewell Hospital (@medewell) 's Twitter Profile Photo

Hospitali ya MEDEWELL kwa kushirikiana na hospitali ya IBRAHIM HAJI ya jijini DAR ES SALAAM inatarajia kufanya kambi ya bure ya matibabu ya magonjwa ya wanawake, watakuwepo madaktari bingwa wa magonjwa ya wanawake kuanzia tarehe 7-8 mwezi wa pili 2025, saa 2 asubuhi-saa 11 jioni

Kambi hii itafanyika kwa muda wa siku mbili katika hospitali ya MEDEWELL iliyopo Kibaha Mpakani, muda wa kuonana na madaktari wetu ni kwanzia saa 2 kamili asubuhi hasi saa 11 jioni, wote mnakaribishwa.

Timu ya baadhi ya wahudumu wa Afya wa Hospitali ya MEDEWELL wakiendelea kutoa huduma kwa wanawake waliojitokeza katika siku ya kwanza ya kambi ya matibabu bure kwa magonjwa ya wanawake (07/02/2025) #mohsinfauzia #tanzaniaroadhaulage #WFAID #ehchcdsm

Timu ya baadhi ya wahudumu wa Afya
wa Hospitali ya MEDEWELL wakiendelea kutoa
huduma kwa wanawake waliojitokeza katika siku ya
kwanza ya kambi ya matibabu bure kwa magonjwa ya
wanawake (07/02/2025) #mohsinfauzia
#tanzaniaroadhaulage #WFAID #ehchcdsm
Medewell Hospital (@medewell) 's Twitter Profile Photo

Wanawake walioitikia wito wa kambi ya matibabu bure ya wanawake katika Hospitali ya MEDEWELL, wanawake zaidi ya 200 wameweza kuhudumiwa na madaktari bingwa wa magonjwa ya wanawake katika siku hii ya kwanza ya kambi hiyo. #WFAID #mohsinfauzia #tanzaniaroadhaulage #ehchsdsm

Wanawake walioitikia wito
wa kambi ya matibabu bure ya
wanawake katika Hospitali ya MEDEWELL, wanawake
zaidi ya 200 wameweza kuhudumiwa na madaktari
bingwa wa magonjwa ya wanawake katika siku hii ya
kwanza ya kambi hiyo. #WFAID #mohsinfauzia
#tanzaniaroadhaulage #ehchsdsm
Medewell Hospital (@medewell) 's Twitter Profile Photo

Medewell Hospital inashirikiana na BETA CHARITABLE TRUST ya Wingereza kutoa huduma za upasuaji wa mtoto wa jicho bila malipo. Upasuaji huu hufanyika kila Ijumaa na Jumamosi Kibaha-Mpakani, mkoani PWANI katika hospitali ya MEDEWELL.

Duka letu la Miwani lipo wazi kila siku za Jumatatu - Ijumaa (muda kwanzia saa 2 asubuhi - saa 11 Jioni), siku za Jumamosi (muda kwanzia saa 2 Asubuhi - saa 7 Mchana) isipokuwa siku za sikukuu tu.

MEDEWELL Inawatakia watanzania wote mapumziko mema ya Siku ya Kumbukizi ya Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.