mdy
@mdy83282
ID: 1806007534614147072
26-06-2024 16:53:03
205 Tweet
15 Followers
75 Following
Uagizaji wa sukari wapingwa: Wakulima wa miwa Nandi wataka uagizaji sukari ukomeshwe Wakulima wasema Kenya inaweza kuzalisha sukari ya kutosha #SemaNaCitizen Mashirima Kapombe
Afisa Wa Polisi Anaswa Afisa wa kituo cha Central Nakuru pamoja na mhudumu wa bodaboda walipatikana wakisafirisha bunduki, risasi 30 pamoja na pembe za kifaru kutumia pikipiki wakiwa wameweka bidhaa hizo ndani ya mabegi meusi. #NTVAdhuhuri Fridah Mwaka
Mgomo wa walimu Jumatatu: Chama cha walimu KUPPET chasema hakitasitisha mgomo Walimu wataka nyongeza ya mishahara miongoni mwa mengine #SemaNaCitizen swaleh mdoe