π”½π•£π•’π•Ÿπ•œ π•Šπ•’π•Ÿπ•˜π•’ (@mdbnurse) 's Twitter Profile
π”½π•£π•’π•Ÿπ•œ π•Šπ•’π•Ÿπ•˜π•’

@mdbnurse

Registered Nurse at MNH-MLG| Dad| MUHAS Alumnus| Business Man

ID: 1200010645703479297

linkhttps://linktr.ee/franknurse calendar_today28-11-2019 11:17:02

189 Tweet

87 Followers

457 Following

BOSS MCHEZAJI (@bossmchezaji) 's Twitter Profile Photo

Achana na Mateso ya Kila siku Unayoyapitia kwa sababu ya simu yako OPPO Tanzania Ndio suluhisho la Wewe kuwa na Furaha na Simu yako Yaani -Hakuna kujizima -Hakuna kuchemka -Hakuna ku stak stak -Hakuna kuwaza vitu vya kufuta ili upige Picha au video CHAGUA OPPO #Win1MwithOPPO

Achana na Mateso ya Kila siku Unayoyapitia kwa sababu ya simu yako <a href="/OPPOTanzania_/">OPPO Tanzania</a> Ndio suluhisho la Wewe kuwa na Furaha na Simu yako Yaani
-Hakuna kujizima
-Hakuna kuchemka
-Hakuna ku stak stak 
-Hakuna kuwaza vitu vya kufuta ili upige Picha au video
CHAGUA OPPO #Win1MwithOPPO
MAVURA JR (@mavura_jr) 's Twitter Profile Photo

Hii kampuni simu zake ni zaidi ya computer Niliwahi kutumia oppo f11 sema vishandu nao waliipenda zaidi kuliko mimi pale roundabout ya kawe wakanisaidia kuhifadhi Please naomba nsaidie kurepost, na kucomment nishinde niongeze mtaji wa chupiπŸ™πŸ™ OPPO Tanzania #Win1MwithOPPO

Hii kampuni simu zake ni zaidi ya computer

Niliwahi kutumia oppo f11 sema vishandu nao waliipenda zaidi kuliko mimi pale roundabout ya kawe wakanisaidia kuhifadhi
 
Please naomba nsaidie   kurepost, na kucomment nishinde niongeze mtaji wa chupiπŸ™πŸ™
<a href="/OPPOTanzania_/">OPPO Tanzania</a>  #Win1MwithOPPO
Dr. Kala. MD (@kalegamyeh) 's Twitter Profile Photo

Mara ya mwisho kujiona niko hospital na natumikia skills zangu ilikua mloganzila. Mimi sio mtu wa kuunga hoja lakini ile hospital ni πŸ”₯πŸ”₯. Hawa wahuni walikua wananizonga wamchukue huyo Chief wangu.πŸ˜€

MNH-Mloganzila (@mloganzila_) 's Twitter Profile Photo

Daktari Bingwa Mbobezi wa Upasuaji Ubongo Mgongo na Mishipa ya Fahamu Prof. Huh Seung Kon kutoka Korea Kusini ameupongeza uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa mageuzi na maboresho makubwa iliyofanya katika kuendelea kuberesha utoaji wa huduma za afya nchini.

MNH-Mloganzila kwa kushirikiana na Bingwa Mbobezi wa Upandikizaji Nyonga na Magoti kutoka Uingereza Prof. Mamoun AbdelGadir imefanya upasuaji wa kupandikiza nyonga na magoti kwa wagonjwa 13 ambapo baadhi yao wamefanyiwa kwa njia ya matundu madogo.

Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila imemkamata Bw. Steven K. Julius kwa tuhuma za wizi wa mali za wa wagonjwa ikiwemo simu za wagonjwa waliolazwa hospitalini hapo kwa kujifanya ni mwajiriwa wa Muhimbili Mloganzila kwa cheo cha Afisa Muuguzi.

Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila imehitimisha kambi ya upasuaji wa upandikizaji figo kwa kuwapandikiza wagonjwa watano ambapo figo imevunwa kutoka kwa wachangiaji kwa kutumia njia ya kisasa ya matundu (Hand Assisted Laporascopic Donor Nephrectomy).

Muhimbili National Hospital (@muhimbilitaifa) 's Twitter Profile Photo

Katika kuendelea kupambana na magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo magonjwa ya moyo, shinikizo la damu pamoja na kisukari, MNH-Mloganzila inaendelea na kambi maalum ya upasuaji rekebishi wa kupunguza mafuta katika sehemu mbalimbali za mwili kwa watu wenye uzito uliopitiliza.

Katika kuendelea kupambana na magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo magonjwa ya moyo, shinikizo  la damu pamoja na kisukari, MNH-Mloganzila inaendelea na kambi maalum ya upasuaji rekebishi wa kupunguza mafuta katika sehemu mbalimbali za mwili kwa watu wenye uzito uliopitiliza.
MNH-Mloganzila (@mloganzila_) 's Twitter Profile Photo

Kwa mara ya kwanza wataalam wazawa Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila wamefanya upasuaji wa kuondoa uvimbe kwenye pafu la mgonjwa kwa njia ya matundu madogo (Thoracoscopy).