Media Council (@mctanzania) 's Twitter Profile
Media Council

@mctanzania

ID: 833663760111898626

calendar_today20-02-2017 13:05:03

1,1K Tweet

1,1K Followers

139 Following

Media Council (@mctanzania) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Ernest Sungura (mwenye suti nyeusi) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Mabaraza ya Habari Afrika Mashariki (EAPC) baada ya uzinduzi wa awali (pre-launch) wa Ripoti ya Hali ya Sekta ya Habari Tanzania 2022-2023.

SMR highlights press violations and self-censorship in Tanzania mct.or.tz/smrlaunch24/ Former Prime Minister Judge (rtd) Joseph Warioba (second left) holding a copy of the State of the Media Report Tanzania 2022-2023 shortly after launching.

SMR highlights press violations and self-censorship in Tanzania

mct.or.tz/smrlaunch24/

Former  Prime Minister Judge (rtd) Joseph Warioba (second left) holding a copy  of the State of the Media Report Tanzania 2022-2023 shortly after  launching.
Media Council (@mctanzania) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) Ernest Sungura (kushoto) akiongea na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Malima walipokutana kwenye Stesheni ya SGR mkoani Morogoro Julai 6, 2024.

Katika Kuadhimisha Siku ya Uhuru wa Marekani Julai 4, Baraza la Habari Tanzania (MCT) liliungana na wadau katika maadhimis yaliyofanyika nyumbani kwa Balozi wa Marekani Nchini, Michael Battle. Pichani, Katibu Mtendaji MCT Ernest Sungura akisalimiana na Balozi wa Marekani Nchini.

Universities prioritize quantity over quality – Dr. Mwaffisi mct.or.tz/universities/ Dr. Samwilu Mwaffisi, Lead Researcher - State of the Media in Tanzania 2022-202

Universities prioritize quantity over quality – Dr. Mwaffisi

mct.or.tz/universities/

Dr. Samwilu Mwaffisi, Lead Researcher - State of the Media in Tanzania 2022-202