THE LAZARUS (@mchizimonie) 's Twitter Profile
THE LAZARUS

@mchizimonie

ID: 1611974995080613890

calendar_today08-01-2023 06:36:15

57,57K Tweet

7,7K Takipçi

3,3K Takip Edilen

𝐏𝐑𝐈𝐒𝐂𝐀 (@prisca0223) 's Twitter Profile Photo

Dogo anaelezea, Video inayotrend kumhusu yeye hajui nani kaipost, japo anasema wazi kuwa ni yeye mwenyewe Alie. Kwanza ni Zamani sana kipindi hiko ndo naanza kuupata pata umaarufu ndo huyo mwanamke nikawa naongea nae Video call, sasa kwenye mazungumzo yetu anasema mimi ni

Dogo anaelezea,
Video inayotrend kumhusu yeye hajui nani kaipost, japo anasema wazi kuwa ni yeye mwenyewe Alie.
Kwanza ni Zamani sana kipindi hiko ndo naanza kuupata pata umaarufu ndo huyo mwanamke nikawa naongea nae Video call, sasa kwenye mazungumzo yetu anasema mimi ni
Dr. 💚 (@__sheriii) 's Twitter Profile Photo

Jafo anasema waje na program yakutoa mikataba ya ajira kwa miaka 3 kwa vijana elfu 50,000 kila mwaka! Mwenye diploma walipwe laki 5 ,Wenye degree walipwe laki 7! 😩🫢Kila baada ya miaka 3 wanarenew huku wanaendelea kuwaajiri 😀

YOHFAVOURITEGUY🇹🇿🌚 (@emabilly2001) 's Twitter Profile Photo

Kama upo kwenye group njoo utoe ushuhuda Tuu.....kwenye group upande huu wa NBC mm ni nani 😁😁😁😁🙌🙌🙌🙌🙌🙌 odds 2 mapema.....sanaaaaa BAD NUMBER🥷🏿 tayari huku kalia.

Kama upo kwenye group njoo utoe ushuhuda Tuu.....kwenye group upande huu wa NBC mm ni nani 😁😁😁😁🙌🙌🙌🙌🙌🙌 odds 2 mapema.....sanaaaaa <a href="/ByCardoJason/">BAD NUMBER🥷🏿</a> tayari huku kalia.
Shababi a true leader (@blazadadee1) 's Twitter Profile Photo

Mwanangu ndio nimejua mwaka huu kama alioa, akaniambia alioa yupi (our classmate). Weekend kama mbili zijazo nitaenda kuwaona. Am happy for them. NB: Huyu ni mwanangu kabisa tunapeana michongo mikubwa, ndiye aliyeni introduce chimbo la riverside 2017.

Blessed Tillah (MBARIKIWA) (@tillahblessed) 's Twitter Profile Photo

Nyama kilo moja ni kitita cha shilingi 14,000, Super Loaf moja ni kitita cha shilingi Afu mbili 😁 Kwa kweli niolewe sasa hii kujihudumia sitaweza 🤭

Adventure-360 (@adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Msanii Matonya anatuhumiwa kubaka uko Kenya, Amemuingilia kwa nguvu mwanamke mmoja uko Kenya bila ridhaa yake na pia alimgusa mwanamke mwanamke huyo sehemu za siri bila ruhusa yake. Dhamana milioni 10 kwa pesa ya Tanzania na mdhamini awe raia wa Kenya. Mmmh

Sean 🎖️ (@iboysean) 's Twitter Profile Photo

Baba Levo alisema angependa kuona Mwijaku apewe hata uafisa habari kuna mtu akareply “Si akaapply kule ajira portal mbona tupo wengi tu kwenye group” Nimecheka sana 😂😂😂 Ni hivi Wabongo tumezoea kuepeana peana sana, Yaani uwe tu chawa upewe cheo? Tupambanie tu wote we si