Mama fua 🧼 (@mama_fua255) 's Twitter Profile
Mama fua 🧼

@mama_fua255

Mama fua @sungusunguHQ
CANCER WOMAN ♋️

ID: 1581682616419422210

calendar_today16-10-2022 16:25:23

12,12K Tweet

2,2K Followers

1,1K Following

SANUKAnaCHAPO (@chapo255) 's Twitter Profile Photo

“Ukioa wewe fahamu tu kuwa kesi ya kuchelewa kurudi home saa 5 usiku na saa 10 alfajiri zinafanana, utaamua wewe uwai kukimbiza gari upate ajali au usubiri pakuche kidogo”😂😂

Sekenke One 🌻 (@alexsamoja) 's Twitter Profile Photo

Twitter imeanza kubore meza, mwezi unaisha bila vita siku hizi, wakati zaman usipoingia asubuhi humu, Jioni unakuta panafuka moshi tu, ni mawe juu ya mawe, ukiwa shabiki upande mmoja unakula block, nilipigwa block na Nono-banks kisa nilicomment emoji hii 🤣 kwenye post ya TAJIRI

Twitter imeanza kubore meza, mwezi unaisha bila vita siku hizi, wakati zaman usipoingia asubuhi humu, Jioni unakuta panafuka moshi tu, ni mawe juu ya mawe, ukiwa shabiki upande mmoja unakula block, nilipigwa block na Nono-banks kisa  nilicomment emoji hii 🤣 kwenye post ya TAJIRI
Kante (@mkulimakante) 's Twitter Profile Photo

Sio kwa ubaya ikitokea siku Mungu akanibariki mwanamke mmoja mpambanaji na akakubali kuingia kwenye mifumo yangu ya kupambana na huyu adui umaskini, Miaka mitano ni mingi sana kwa sisi kuanza kuitwa mataikuni. Mungu baba saidia kiumbe chako🙏

chuga girl❣️ (@lizzie36021) 's Twitter Profile Photo

Shetani akiona amekushindwa anakuletea mwanaume ambae hakusaidii kitu kwenye maisha yako kazi yake kukwambia tu I miss you 😅🙌🏻

Mama fua 🧼 (@mama_fua255) 's Twitter Profile Photo

HUSBAND; Uko wap? ME; Niko town. HUSBAND; nakupa dakika mbili uwe umerudi nyumbani. ME; Sawa baba lyo siku nitajificha kwanza nilie Kuishukuru mizimu🥹🤗

Sonic (@sonic563) 's Twitter Profile Photo

Hakuna maombi yanayo fanya kazi haraka kama ile ya kumuomba Mungu akuonyeshe kama huyo mtu upo nae kwa relationship kama ni sahihi the moment umeanza tu Ina hit different. Furaha inageuka kelele za mwizi.😂🙌🏽