Mboni (@mboni_sir) 's Twitter Profile
Mboni

@mboni_sir

Justice, Freedom & Prosperity (in that order).
And yes....YNWA

ID: 907444751015739393

calendar_today12-09-2017 03:24:22

14,14K Tweet

463 Followers

979 Following

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Ila nimeshauri sana bila woga 😓 Yaani nilionekana kama mwehu! Mtakuja kusikia Mombo baadaye analalamikia maafisa usalama feki ambao hawakuwa chini ya TISS ila walikuwa wanapokea amri na kudhaminiwa na mamlaka! Kuna siku I hope mtapitia mambo mazito niliyoandika na nilionya na ku

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Dear Tundu Lissu Mungu akubariki na kukufunika na mbawa zake 🙏🏽 Mungu akupe nguvu na motisha! Wewe unaelewa kuwa haya yote unayopitia si kwa ajili ya sifa bali kwa sababu ya kujenga Tanzania iliyo bora kwetu sote hata kwa madhulmat hawa na vizazi vyao! Umejitolea pa kubwa mno!

Dear Tundu Lissu 
Mungu akubariki na kukufunika na mbawa zake 🙏🏽
Mungu akupe nguvu na motisha! Wewe unaelewa kuwa haya yote unayopitia si kwa ajili ya sifa bali kwa sababu ya kujenga Tanzania iliyo bora kwetu sote hata kwa madhulmat hawa na vizazi vyao! Umejitolea pa kubwa mno!
Maggy Muggy (@muggymaggy) 's Twitter Profile Photo

Tundu Lissu is a patriotic son of our land. He has shown us the way. He has given us courage. He has reaffirmed our collective demands for electoral justice. His fight is our fight. We are Tundu Lissu. #IamTunduLissu

Tundu Lissu is a patriotic son of our land.

He has shown us the way.

He has given us courage. 

He has reaffirmed our collective demands for electoral justice.

His fight is our fight.

We are Tundu Lissu.

#IamTunduLissu

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 1 Mh. Lissu ameingia tayari akiwa na vibe kubwa sana. Majaji pia wameingia. Kesi hii itasikilizwa na majaji watatu wa Mahakama Kuu na wao pia wameshaingia. Nitawapa majina ya hawa majaji watatu. Wakatikati yuko bize kuandika hawa wawili

Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

“Tunategemea mtu yeyote aliyepita Seminary, popote atakapokuwa ataishi maadili mema, ataishi ukweli. Tutashangaa sana kama kuna mtu amepita Seminary halafu anakuwa CHAWA. Yani unapita Seminary halafu unakuwa CHAWA? Ulifundishwa nini? Yale maadili yako wapi?” Askofu Filbert Mhasi

#DearNyerere Mwanza kuna mtaa wa Nyerere, ukasema hilo ni jina la baba yako. Mamlaka ya jiji la DSM wakataka kutoa sanamu ya askari Posta waweke yako, ukakataa. Zaidi ukasisitiza usiitwe Dr.Nyerere wala ”his excellency” bali uitwe Mwalimu, daima haukupenda ukuu wala kujikweza.

#DearNyerere ulipenda vijana Smart na wenye misimamo. Kina Warioba na Samwel Sitta wakiwa UDSM walichoma moto bendera ya UK. Wakakamatwa wakaletwa Ikulu, ukaagiza wakaombe Msamaha. Mwanafunzi anayeitwa Mwabulambo akagoma, ukaagiza apigwe bakora.Ila baadaye ukaagiza aajiriwe IKULU

Usidhihaki, usidharau wala kukejeli watu, hasa wakati huu. Watamlilia MUNGU naye atakisikia kilio chao na atajibu kwa kuonesha Nguvu na Ukuu wake.

Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Ee MUNGU siku nikiwa na nafasi ya maamuzi usiache kunivisha vazi la Unyenyekevu na hofu yako. Nijaalie niwe mtulivu na msikivu hasa kwa wale wasiokubaliana nami na niongoze kwa maono makubwa. Nifanye maamuzi kwa kuvaa viatu vya hali halisi ya maisha ya wale ninaowaongoza.

Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Wema ni lugha ambayo viziwi wanaweza kuisikia na vipofu wanaweza kuiona. Kila upatapo nafasi tembeza furaha na upendo kwa watu wote, tena ifanye dunia kuwa mahala bora na salama kwa kila mmoja wetu kuweza kuishi na kustawi.