Ahmad Mbonde
@mbondeahmad
Working for GODEX-MAIL
ID: 3057630507
24-02-2015 00:25:56
13,13K Tweet
242 Followers
561 Following
"Nilihuzunika sana pale ambapo Viongozi wengi wa dini walikaa kimya wakati Lissu alimiminiwa risasi, lakini zinapokuja Ndege Uwanja wa Taifa, wanavaa misalaba yao mikubwa na maombi mazitomazito" Peter Msigwa Mjumbe wa Kamati Kuu @ChademaTz
#updates Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Kanda ya Nyasa @EmmanuelMasonga ameachiliwa na Police Force TZ Iringa baada ya kukamatwa tena na kuhojiwa. Jeshi hilo limemtaka kuripoti tena Jumatatu kama sharti la dhamana linavyomtaka.