Healthofficer (@mbedule255) 's Twitter Profile
Healthofficer

@mbedule255

🇹🇿//Environmental health student @muhimbiliuniversity //christian// Twin brothers//Yanga_sc

ID: 1390648220515241988

calendar_today07-05-2021 12:42:50

829 Tweet

1,1K Followers

2,2K Following

Healthofficer (@mbedule255) 's Twitter Profile Photo

Meaning of HIV…. Hatari Imeingia Vitandani Habar Imefika Vizuri Huwenda Ikazua Vurugu Hali Inatisha Vijiweni Huruma Inaponza Vibaya Hakuna Iliyo Vimba Hatari Imeingia Vijana Huduma Ilikua Vizuri Hakuna Ivyo Virusi Hii inasababisha Vilio 😂😂

Healthofficer (@mbedule255) 's Twitter Profile Photo

Mlinde,mpende na umkinge mwanao dhidi ya surua na rubela kwa kumpeleka mwanao katika vituo vyote vya kutolea huduma za afya Nchini bure kabisa siku ya tarehe 15-18/2/2024….mwambie na mwenzio #MeasleAndRubelaCampaign2024

Mlinde,mpende na umkinge mwanao dhidi ya surua na rubela kwa kumpeleka mwanao katika vituo vyote vya kutolea huduma za afya Nchini bure kabisa siku ya tarehe 15-18/2/2024….mwambie na mwenzio
#MeasleAndRubelaCampaign2024
Healthofficer (@mbedule255) 's Twitter Profile Photo

Ee Bwana uliye waambia Mitume wako, Amani nawaachieni, amani yangu nawapa. Usizitazame dhambi zetu ila tu imani ya Kanisa lako. Upende kulijalia amani na umoja kama yalivyo mapenzi yako. Unayeishi na kutawala daima na milele, Amina🙏

Kuna mda utafika hautahitaji kuangalia sura,shape wala cut walking zake isipokua akili na mawazo yake tu ndivyo vitakavyoamua…🤝