Kuna ile unamuuliza
"Kwenu kutoka usiku mwisho saa ngapi "
Anajibu
"Home hawana noma, muhimu tu ukiondoka uage"
Au "Home hawana noma, cha kuzingatia nisilale tu nje ya home"
Ukikutana na wa hivi, ukikosa U.T.I shukuru sana.
Muda wote yeye anaomba hela, muda wote ni analia shida tu..
Usiumize kichwa juu yake, hana maajabu yeyote..
Tanzania kuna wanawake 31,687,990
Mpuuze tu kama ulivyopuuza kusoma hizo namba..
Kuna ile unaamua kumnunulia kitu mwanamke wako, au unaamua kumpatia kiasi flani..
Alafu anakuuliza ili swali " Umepata wapi hela"..
Kaka, wewe ni Masikini.
Wanawake wengi wanadhani wanaume ni wajinga.
Anamsaliti mpenzi wake ili awe na wewe,
halafu anategemea umuoe.
Lakini cha kushangaza, wanaume wengi tunaingia kwenye huu mtego. Tunaamini tunapendwa
Akichepuka mara moja, atachepuka mara nyingine tena.
Usimuoe mwanamke MALAYA
Mwanamke ambaye unamuomba namba asubuhi, mchana anaanza kukulilia shida..
Ni mwanamke asiye na aibu, na mwanamke asiye na aibu sio mwanamke wa kuishi naye...
Kama Mwanaume, kuna vitu unatakiwa kuvizingatia kwenye maisha yako.
1. Epuka wanawake wenye njaa na wanaojiona wanastahili kila kitu.
2. Usijipe jukumu la kuwa baba kwa demu wako.
3. Usimruhusu mwanamke awe ndo mwenye maamuzi ya mwisho
4. Kuwa na imani ndogo na wanawake.
Kuna mtu sehemu amepoteza wazazi wake.
Kuna mtu mwingine kafukuzwa kazi
Mwingine amepoteza miguu yake kwenye ajali
Hauna sababu ya kuwa na huzuni au msongo wa mawazo kwasasa.
Unachopitia kuna watu wangetamani kubadilishana na wewe mara moja.
Thamini kile ulichonacho.
Kuna madogo unawaona hapo mtaani kwenu wanaingiza mamilioni,
Wakati wewe unashindwa hata kulipa kodi ya nyumba.
Lakini hautakiwi kukata tamaa ata kidogo..
Kwasababu kukata tamaa ni kukubali kushindwa.
Na usikubali kamwe kuwa umeshindwa na wengine.
Wanawake wengi siku hizi hawajiamini,
wanajiona hawastahili heshima kwa mwanaume
Ukionyesha kuwajali sana wanaanza kuona hauna chaguo jingine au unakataliwa uko nje
Ndio maana wengi wanavutiwa zaidi na wanaume wanaowapuuza au kuwatendea vibaya
Kaka, Usiwe mpole kupita kiasi.