MASTER PIZO (@master_pizo) 's Twitter Profile
MASTER PIZO

@master_pizo

artist | youtuber | music producer | tech | tester |
join
t.me/tanzania_winne…

ID: 1692065263

calendar_today22-08-2013 20:35:23

12,12K Tweet

4,4K Followers

1,1K Following

🕷️ (@444holywitch) 's Twitter Profile Photo

Kitu nachojua Africa Mapinduzi yatakua mengi sana ndani ya miaka 7 hii kuanzia sasa... Africa mashariki wa kwanza kuliwa kichwa atakua Museven...kisha tutafata.

MASTER PIZO (@master_pizo) 's Twitter Profile Photo

We nae matako tu Si ungekaa kimya usubiri familia iseme ndo uanze kujiombolezesha Unajifanya unauchungu kwenye mimba isiyo yako MOTHER FATHER

Dee.09 (@debrah_nk) 's Twitter Profile Photo

Kama tukitaka kuwakomesha hao wasanii the best way is to mass report them on every social media platform. That’s the most effective way of canceling them. They will lose their accounts maana hio ndio their biggest source of income and that’s how the Kenyan celebs also gave in.

Webiro Wakazi Wassira #TheLeader (@wakazi) 's Twitter Profile Photo

DONT PRAY FOR TANZANIA… FIGHT FOR IT! Hakuna Mtu perfect, na ni kweli baadhi ya Walioandamana walifanya uharibifu wa Mali (kutokana na hasira/ghadhabu), ila hiyo haiwapi DHAMANA Watawala kuwaua. Hata Mwizi au Jambazi anakamatwa na anapelekwa MAHAKAMANI. Hata Wauwaji nao huwa

DONT PRAY FOR TANZANIA… FIGHT FOR IT!

Hakuna Mtu perfect, na ni kweli baadhi ya Walioandamana walifanya uharibifu wa Mali (kutokana na hasira/ghadhabu), ila hiyo haiwapi DHAMANA Watawala kuwaua. Hata Mwizi au Jambazi anakamatwa na anapelekwa MAHAKAMANI. Hata Wauwaji nao huwa
MASTER PIZO (@master_pizo) 's Twitter Profile Photo

Nimekuvumilia nimechoka sasa Wanene tumekukosea nini Naomba tuheshimiane aisee mtu akikosa akili ni hana akili tu ila usihusishe ubonge na kukosa akili kuna wanene kibao humu tuna akili za kutosha Wewe sema tu AMINA kibonge nyanya hana akili inatosha ila usitujumlishe wote.

MASTER PIZO (@master_pizo) 's Twitter Profile Photo

Nakukumbusha tena Nyie ndo mlifeli tangu mwanzo na mlishauriwa sana hiyo njia sio sahihi mkawa mnajibu mnavyotaka Huwezi kusema lengo lenu ni moja wakati nyie mmejitenga na mnafanya kwa ubinafsi Nyie ndio mmefeli Waliosema NO REFORM NO ELECTION wameshinda na imeonekana

Nakukumbusha tena 
Nyie ndo mlifeli tangu mwanzo na mlishauriwa sana hiyo njia sio sahihi mkawa mnajibu mnavyotaka

Huwezi kusema lengo lenu ni moja wakati nyie mmejitenga na mnafanya kwa ubinafsi 

Nyie ndio mmefeli

Waliosema NO REFORM NO ELECTION wameshinda na imeonekana
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

‼️ROUTE ZA MAANDAMANO - MAPENDEKEZO‼️ Jamani mapendekezo ni kuwa watu wakutane katika ofisi ya mkuu wa Wilaya katika wilaya zao Kwa Dar es Salaam na Dodoma nadhani imeeleeweka Hapa ni mapendekezo kwa mikoa ya Shinyanga, Mara na Simiyu #D9 iko vizuri #SamiaMustGo

‼️ROUTE ZA MAANDAMANO - MAPENDEKEZO‼️
Jamani mapendekezo ni kuwa watu wakutane katika ofisi ya mkuu wa Wilaya katika wilaya zao 
Kwa Dar es Salaam na Dodoma nadhani imeeleeweka 
Hapa ni mapendekezo kwa mikoa ya Shinyanga, Mara na Simiyu
#D9 iko vizuri 
#SamiaMustGo
Kumbusho Dawson Kagine (@kumbushodawson) 's Twitter Profile Photo

Hii ni Mwanza, Baadaye mje kuanza kusema waandamanaji walikuwa wanafanya fujo. Kuna mtu huwa anasema wananchi hawana hoja, mara wametoka nje ya nchi. Hii ni Tanzania na hawa ni Gen Z. #D9