miguna (@massid_) 's Twitter Profile
miguna

@massid_

Retweets can be seen as either endorsements or non-endorsements, depending on your interpretation.

ID: 1758947184731451392

calendar_today17-02-2024 20:11:25

3,3K Tweet

139 Takipçi

488 Takip Edilen

James Mbowe (@jamesmbowe4) 's Twitter Profile Photo

Mambo ni mawili tu jambo la kwanza Box la Kura litaamua nani aongoze Chama, na jambo la pili Hakuna kuama chama baada ya Matokeo. Mwisho huduma ya Block inapatina bure kabisa kwa yeyote mwenye lugha ya matusi. Karibuni

GreaterThinker💎 (@hopequotes__) 's Twitter Profile Photo

Ipo Siku Tutaongea LUGHA MOJA.. Hata Wewe unaesema Leo Kua Kanyaga Twende Mama kuna Siku Tutaongea LUGHA moja ni Swala la MUDA tu.....

Mpale Mpoki (@mpalempoki) 's Twitter Profile Photo

Kwa mujibu wa ibara ya 4(2) ya Katiba ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania wajibu wa bunge ni " kutunga sheria na kusimamia utekelezaji wa shughuli za Umma " Bunge halisaidii executive mtu akijinadi kugombea ubunge kusaidia mhimili wa serikali usimchague kwani hajui majukumu yake

Mpale Mpoki (@mpalempoki) 's Twitter Profile Photo

Hawajui kama kuna nchi hazina magereza na kuwa endapo wanachi tutaamua tunaweza kuondokana na mfumo wa sasa wa magereza ambao ni wa adhabu na sio wa masahihisho na rehabilitation Tukiamua askari magereza waatakuwa jobless !!

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Uamuzi wa Mahakama kuamuru mashahidi wa kesi ya Tundu Lissu walindwe si jambo dogo. Ni ushahidi kuwa kuna mazingira ya hofu, na pengine mkakati wa kisiasa wa kuhakikisha ukweli hausemwi. Hii si kesi ya kawaida , ni vita dhidi ya sauti ya upinzani, vita dhidi ya mtu ambaye

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Mzèe Malisa kaendelea kuyashikilia kooni masisiemu. Anatupa mrejesho wa kilichojili mahakamani jana. TUTAKUWEPO🫵😎

PlataOPlomo25 (@nikkizohan) 's Twitter Profile Photo

Shukran kwa ndugu,jamaa na marafiki kwa ushirikiano na upendo mlionionesha hususan kipindi hiki kigumu kwangu cha kuondokewa na baba yangu mzazi Mzee John Marwa Machuche. May the mother nature grant you with abundant blessings. #ASANTENI_SANA #HIPHOP

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Tunaposema “ No reforms No Election “ Tunamaanisha. Huyu ni Jerry Muro Ktk Uchaguzi wa ndani wa CCM Hai nafasi ya Mbunge. Akilalamikia udhaifu wa mfumo wa ndani wa chama chao.

MalisaGJ (@malisagj_) 's Twitter Profile Photo

Nimepigiwa simu na watu wengi wakitaka kujua msimamo wangu kuhusu yanayoendelea. Msimamo wangu ni huu; 1. Naunga mkono #NoReformsNoElection kwa sababu nimechoka kuona watu wakifa, kuumizwa, kugeuzwa walemavu, na wengine kusota gerezani kwa sababu tu ya uchaguzi. Nilipiga kura

Nimepigiwa simu na watu wengi wakitaka kujua msimamo wangu kuhusu yanayoendelea. Msimamo wangu ni huu;

1. Naunga mkono #NoReformsNoElection kwa sababu nimechoka kuona watu wakifa, kuumizwa, kugeuzwa walemavu, na wengine kusota gerezani kwa sababu tu ya uchaguzi. Nilipiga kura
Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

“Ninyi wachache mliodanganywa bila shaka hadi sasa mmeshuhudia kiwango cha juu cha utapeli wa kisiasa. Hakuna cha kuendelea kujitetea. Rudini nyumbani, mmesamehewa. Taifa bado linawahitaji, lakini si kama mateka wa ujinga.” Poleni sana.

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

TAL ni special creature. Ni viumbe wachache kama TAL katika siasa zetu. Wanachama wa CHADEMA tunamuunga mkono kwa kuwa siasa zake hazina mawenge. TAL anastahili kutuongoza. Dhamira ya waliomtupa gerezani ni awasujudie. Amegoma kupiga magoti. Jambo moja ni hakika, TUTASHINDA.