Mc Ronald Raphael (@masailoibosiret) 's Twitter Profile
Mc Ronald Raphael

@masailoibosiret

Grandeur! Mieux le croire. 🥂

ID: 1128574345473929216

calendar_today15-05-2019 08:14:26

1,1K Tweet

158 Followers

1,1K Following

Tanzania Commercial Bank (@tcbbank_) 's Twitter Profile Photo

Goodluck Charles Lukumay ni kiongozi wa biashara mwenye uzoefu mkubwa ambaye kwa sasa anahudumu kama Mkurugenzi Mkuu wa GardaWorld Tanzania. Amefanya kazi katika nafasi za juu, ikiwa ni pamoja na kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Oya Microcredit, Afisa Mkuu wa Uendeshaji (COO) wa

Goodluck Charles Lukumay ni kiongozi wa biashara mwenye uzoefu mkubwa ambaye kwa sasa anahudumu kama Mkurugenzi Mkuu wa GardaWorld Tanzania. Amefanya kazi katika nafasi za juu, ikiwa ni pamoja na kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Oya Microcredit, Afisa Mkuu wa Uendeshaji (COO) wa
(---) Onesmo Mushi (@edutalktz) 's Twitter Profile Photo

Huyu jamaa anaendelea kupata uungwaji mkono kwa sababu anaongea lugha ya umma. Anaongea lugha iliyopaswa kuongewa na wahuni tuliowaweka madarakani kwa kile tunachokiita KURA. In the near future tutaanza kudemand jeshi liwe moja ya options kwenye ballot box.

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Ingekuwa KENYA vijana wa GEN Z kesho asubuhi wangekuwa barabarani kudai haki za kijana alieuliwa na viongozi wa serikali. Vijana wa BONGO sasa; “Nimeumia sana” “Nimeshindwa kumaliza video kwa maumivu” “Hii nchi kuna uonezi sana” “Serikali ya kisenge sana” Baada ya hapo

Ingekuwa KENYA vijana wa GEN Z kesho asubuhi wangekuwa barabarani kudai haki za kijana alieuliwa na viongozi wa serikali.

Vijana wa BONGO sasa;

“Nimeumia sana”

“Nimeshindwa kumaliza video kwa maumivu”

“Hii nchi kuna uonezi sana”

“Serikali ya kisenge sana”

Baada ya hapo
SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Mwanaume anapoona muda unasepa na umri unasogea bila mafanikio na maendeleo ni zaidi ya huzuri, ni kama kufa polepole Miaka 25-30, 30-35, 35-40, 40-50 inakupita na hakuna achievement yyt, ni uchungu usioelezeka Bro, nakuombea sana Mungu akufungilia milango ya neema na baraka🙏