Mary Melkiory (@marymelkiory) 's Twitter Profile
Mary Melkiory

@marymelkiory

A strong woman with my own ambition

ID: 1004771849287368704

calendar_today07-06-2018 17:07:31

7 Tweet

16 Followers

404 Following

Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi(NACTE) limefuta usajili wa vyuo 20 kwa kushindwa kufuata utaratibu wa usajili na upungufu wa rasilimali za kufundishia > Jumla ya vyuo 9 vimezuiwa kudahili wanafunzi wapya kuanzia mwaka wa masomo 2018/2019 Soma bit.ly/2JF7tTY #JFLeo

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi(NACTE) limefuta usajili wa vyuo 20 kwa kushindwa kufuata utaratibu wa usajili na upungufu wa rasilimali za kufundishia

> Jumla ya vyuo 9 vimezuiwa kudahili wanafunzi wapya kuanzia mwaka wa masomo 2018/2019

Soma bit.ly/2JF7tTY
#JFLeo
Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

KAMPALA, UGANDA: Mbunge Ibrahim Abiringa ambaye ni miongoni mwa waliokuwa wakishinikiza mabadiliko ya Katiba, ameuawa kwa kupigwa risasi na #WatuWasiojulikana usiku wa kuamkia leo > Rais Musevini aliagiza Jeshi la Polisi kuwasaka wauaji hao Soma bit.ly/2HCxGOc #JFLeo

KAMPALA, UGANDA: Mbunge Ibrahim Abiringa ambaye ni miongoni mwa waliokuwa wakishinikiza mabadiliko ya Katiba, ameuawa kwa kupigwa risasi na #WatuWasiojulikana usiku wa kuamkia leo

> Rais Musevini aliagiza Jeshi la Polisi kuwasaka wauaji hao

Soma bit.ly/2HCxGOc
#JFLeo