Marie Stopes Tanzania (@mariestopestza) 's Twitter Profile
Marie Stopes Tanzania

@mariestopestza

Marie Stopes Tanzania ni shirika lililojikita katika kutoa huduma na taarifa za Afya ya Uzazi nchini #Tanzania toka mwaka 1989. Wasiliana nasi BURE 0800 753 333

ID: 1389526304198901767

linkhttps://www.mariestopes.or.tz/ calendar_today04-05-2021 10:25:14

1,1K Tweet

1,1K Takipçi

91 Takip Edilen

Marie Stopes Tanzania (@mariestopestza) 's Twitter Profile Photo

Siku ya tarehe saba mwezi wa nne Dunia huadhimisha siku ya Afya . Pokea salamu za siku ya Afya Duniani! #AfyaYakoChaguoLakoHatmaYako

Marie Stopes Tanzania (@mariestopestza) 's Twitter Profile Photo

Je Wajua? Uzazi wa Mpango hutoa nafasi kati ya mtoto mmoja na mtoto mwengine . Hii husababisha watoto na mama kuwa na afya njema na hatimaye kuepuka vifo  au udumavu  kwa watoto pamoja na vifo vya uzazi. Pia husaidia mama kupumzika na  kuweza kumlea mtoto wake vizuri kabla

Marie Stopes Tanzania (@mariestopestza) 's Twitter Profile Photo

🌍 April 11 is the International Day for Maternal Health and Rights. Every woman deserves to give life safely and with dignity. Protecting maternal health means upholding fundamental human rights, the right to survive, access quality healthcare, receive care without

🌍 April 11 is the International Day for Maternal Health and Rights. Every woman deserves to give life safely and with dignity. Protecting maternal health means upholding fundamental human rights, the right to survive, access quality healthcare, receive care without
Marie Stopes Tanzania (@mariestopestza) 's Twitter Profile Photo

Your support keeps us inspired to keep doing meaningful work. 💛 Thank you for being here, and for following our journey! Stay with us for more trusted information on Sexual Reproductive Health—because your health matters. #YourHealthYourChoiceYourFuture

Your support keeps us inspired to keep doing meaningful work. 💛

Thank you for being here, and for following our journey!

Stay with us for more trusted information on Sexual  Reproductive Health—because your health matters.

#YourHealthYourChoiceYourFuture
Marie Stopes Tanzania (@mariestopestza) 's Twitter Profile Photo

Easter brings a message of hope and renewal. May its joyful spirit bless you with happiness and peace. Happy Easter to you and your loved ones. #HappyEaster2025

Easter brings a message of hope and renewal. May its joyful spirit bless you with happiness and peace.

Happy Easter to you and your loved ones.

#HappyEaster2025
Marie Stopes Tanzania (@mariestopestza) 's Twitter Profile Photo

Earlier this April, Marie Stopes Tanzania in collaboration with Media Council and other stakeholders hosted a capacity-building workshop for both new and trained journalists. The goal of this workshop were to equip journslist with the skills to craft compelling, accurate, and

Earlier this April, Marie Stopes Tanzania  in collaboration with Media Council and other stakeholders  hosted a capacity-building workshop for both new and trained journalists.

The goal  of this workshop were to equip journslist  with the skills to craft compelling, accurate, and
Marie Stopes Tanzania (@mariestopestza) 's Twitter Profile Photo

Kutana na Dishon Kigaza, yeye ni muuguzi aliyeleta mabadiliko kupitia mradi wa #YouthForHealth unaofadhiliwi na umoja wa Ulaya na kutekelezwa na Marie Stopes Tanzania Marie Stopes Tanzania DSW - International na Sikika Kupitia mafunzo ya afya ya uzazi aliyopata Dishon imemsaidia kutoa

Kutana na Dishon Kigaza,  yeye ni muuguzi  aliyeleta mabadiliko kupitia  mradi wa #YouthForHealth unaofadhiliwi na umoja wa Ulaya na kutekelezwa na Marie Stopes Tanzania Marie Stopes Tanzania DSW - International na Sikika

Kupitia mafunzo ya afya ya uzazi aliyopata Dishon  imemsaidia  kutoa
Marie Stopes Tanzania (@mariestopestza) 's Twitter Profile Photo

At Marie Stopes Tanzania, we recognize that addressing inequalities and power dynamics within families, communities, and society is key to improving access to services, advancing reproductive health outcomes, and reducing stigma. Our programs prioritize gender and disability

At Marie Stopes Tanzania, we recognize that addressing inequalities and power dynamics within families, communities, and society is key to improving access to services, advancing reproductive health outcomes, and reducing stigma.

Our programs prioritize gender and disability
Marie Stopes Tanzania (@mariestopestza) 's Twitter Profile Photo

Gabriel, yeye ni baba anatambua umuhimu wa wanaume kushiriki kwenye eneo la afya ya uzazi . Afya ya uzazi si eneo la wanawake tu lakini ni eneo linalohusu wanaume pia . Mwanaume akiwa na taarifa kuhusu afya ya uzazi yeye kama mshiriki mwenza na kiongozi wa familia itasaidia

Marie Stopes Tanzania (@mariestopestza) 's Twitter Profile Photo

Katika siku hii ya wafanyakazi , Marie Stopes Tanzania inatoa pongezi kwa wafanyakazi wote . Utendaji wenu wa kazi  unaziendeleza jamii na kuweka misingi bora ya kesho. #MeiMosi2025

Katika siku hii ya wafanyakazi , Marie Stopes Tanzania inatoa pongezi kwa wafanyakazi wote . Utendaji wenu wa kazi  unaziendeleza jamii na kuweka misingi bora ya kesho.

#MeiMosi2025
Marie Stopes Tanzania (@mariestopestza) 's Twitter Profile Photo

Wakunga hawazalishi watoto tu bali wanazalisha matumaini, faraja na uhai . Katika siku hii ya kimataifa ya wakunga , Marie Stopes Tanzania inatambua na kusherekea nafasi yenu ya kipekee katika kujenga dunia yenye afya bora. #SikuyaWakunga2025

Wakunga hawazalishi watoto tu  bali wanazalisha matumaini, faraja na uhai .

Katika siku hii ya kimataifa ya wakunga , Marie Stopes Tanzania inatambua na kusherekea nafasi yenu ya kipekee  katika kujenga  dunia yenye afya bora.

#SikuyaWakunga2025
Marie Stopes Tanzania (@mariestopestza) 's Twitter Profile Photo

Today, our Country Director Patrick Kinemo had the pleasure of visiting Buffalo Bicycles It was an insightful experience to learn more about their impactful work and explore opportunities for collaboration. Buffalo Bicycles is currently supporting the government by providing

Today, our Country Director Patrick Kinemo had the pleasure of visiting Buffalo Bicycles

It was an insightful experience to learn more about their impactful work and explore opportunities for collaboration.

Buffalo Bicycles  is currently supporting the government by providing
Marie Stopes Tanzania (@mariestopestza) 's Twitter Profile Photo

Happy Mothers Day ! At Marie Stopes Tanzania we celebrate and honor all mothers, the backbone of every family. Your care, strength, and dedication shape healthier families and stronger communities. We encourage all mothers to continue supporting their families in accessing

Happy Mothers Day !

At Marie Stopes Tanzania  we celebrate and honor all mothers, the backbone of every family.

Your care, strength, and dedication shape healthier families and stronger communities.

We encourage all mothers to continue supporting their families in accessing
Marie Stopes Tanzania (@mariestopestza) 's Twitter Profile Photo

Marie Stopes Tanzania tunawapongeza wauguzi wote kwa kazi nzuri ya kuokoa afya ya mama , mtoto na jamii kwa ujumla. #WauguziWetu #MustakabaliWetu

Marie Stopes Tanzania tunawapongeza wauguzi wote kwa kazi nzuri ya kuokoa afya ya mama , mtoto na jamii kwa ujumla.

#WauguziWetu #MustakabaliWetu
Marie Stopes Tanzania (@mariestopestza) 's Twitter Profile Photo

𝐏𝐈𝐌𝐀 𝐊𝐈𝐀𝐒𝐈 𝐂𝐇𝐀 𝐃𝐀𝐌𝐔 𝐌𝐖𝐈𝐋𝐈𝐍𝐈 - 𝐋𝐈𝐍𝐃𝐀 𝐀𝐅𝐘𝐀 𝐘𝐀𝐊𝐎. Afya yako ni muhimu - chukua hatua leo! #UpimajiWaDamu #AfyaYakoMsingiWako #MarieStopesTanzania #HudumaBora #BureKabisa #DamuSalama #JaliAfyaYako #MwengeEvents #AfyaKwanza #KampeniYaAfya.

𝐏𝐈𝐌𝐀 𝐊𝐈𝐀𝐒𝐈 𝐂𝐇𝐀 𝐃𝐀𝐌𝐔 𝐌𝐖𝐈𝐋𝐈𝐍𝐈 - 𝐋𝐈𝐍𝐃𝐀 𝐀𝐅𝐘𝐀 𝐘𝐀𝐊𝐎.

Afya yako ni muhimu - chukua hatua leo!

#UpimajiWaDamu #AfyaYakoMsingiWako #MarieStopesTanzania #HudumaBora #BureKabisa #DamuSalama #JaliAfyaYako #MwengeEvents #AfyaKwanza #KampeniYaAfya.
Marie Stopes Tanzania (@mariestopestza) 's Twitter Profile Photo

Marie Stopes Tanzania extend warmest congratulations to Prof. Mohamed Yakub Janabi on his appointment as WHO Regional Director for Africa. This milestone not only honors Prof. Janabi’s exceptional contributions to health and leadership but also shines a spotlight on Tanzania’s

Marie Stopes Tanzania  extend warmest congratulations to Prof. Mohamed Yakub Janabi on his appointment as WHO Regional Director for Africa.

This milestone not only honors Prof. Janabi’s exceptional contributions to health and leadership but also shines a spotlight on Tanzania’s
Marie Stopes Tanzania (@mariestopestza) 's Twitter Profile Photo

🌍 Happy International Human Resources Day! 👥 Today we celebrate the heart of every organization, the Human Resources professionals who build cultures, support people, and drive growth. From recruitment and development to inclusion and wellbeing, your impact is invaluable.

🌍 Happy International Human Resources Day! 👥

Today we celebrate the heart of every organization, the Human Resources professionals who build cultures, support people, and drive growth. From recruitment and development to inclusion and wellbeing, your impact is invaluable.