MangiTraders (@mangitraders) 's Twitter Profile
MangiTraders

@mangitraders

wewe ni mchagga usivumilie Dharau

ID: 1867566476992851968

calendar_today13-12-2024 13:45:44

1,1K Tweet

81 Followers

318 Following

MangiTraders (@mangitraders) 's Twitter Profile Photo

Kuna diary yangu ya toka 2010 niliandika ikifika 2025 niwe nimeoa na nina watoto 3 afu niwe na biashara ya kuniingizia walau 100K kwa siku walai nimecheka balaa nilikuwa fala kiasi hichoπŸ’”πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ

Huu ufala unarudi home umechoka unakumbuka uliacha vyombo ni vichafu kudadeq nitafute mtu wa kuishi nae sasaπŸ’”πŸ™Œ