M A T H E M A T I C I A N(@mancaster06) 's Twitter Profileg
M A T H E M A T I C I A N

@mancaster06

P Y T H O N I S T A-N I N J A || G R A P H I C S - D E S I G N E R || A L L A H A ' A L A M

ID:1208288525159936000

calendar_today21-12-2019 07:30:21

5,8K Tweets

2,6K Followers

1,7K Following

Follow People
BantuKwanza(@bantukwanza) 's Twitter Profile Photo

M A T H E M A T I C I A N Ili usave inabidi ukubali kwanza wewe ni broke na uiamrishe akili yako iishi kama broke nigga..

Maisha ya mtu mwenye kipato kidogo yanaeleweka ..

Ukiliweza hili zoezi(ingawa ni gumu sana sababu watu wanaokuzunguka wana impact kubwa) basi chance ya kusave kitu ipo..

account_circle
M A T H E M A T I C I A N(@mancaster06) 's Twitter Profile Photo

Kunywa mazanga daily inawezekana Ila kusave ndio ngumu sio

Huu mji wa Bin Batuta kuishi na kufanikiwa inahitajika roho ngumu sana

account_circle
M A T H E M A T I C I A N(@mancaster06) 's Twitter Profile Photo

Mlandizi kule mtu anaweza Kodi maturumbeta na vigoma kwa ajili ya graduu ya mwanae

Ule mji sio poa wanapenda shughuli kuliko kula

account_circle
M A T H E M A T I C I A N(@mancaster06) 's Twitter Profile Photo

Watu wanachekesha sana 😂😂

Haya kama ndio tunafikiria namna hii fresh wanetu , ila nnachojua una make steps popote ulipo sio mpaka u earn 7 digits kwenye salary ndio mambo yaende

account_circle
Holi 🦅👻(@_holyi) 's Twitter Profile Photo

Ongea vizuri na Boss wako,

Ongea vizuri na wateja wako,

Ongea vizuri na wafanya kazi wenzako,

Ongea vizuri na kibarua wa getini/Usafi,

Utashangaa ni Mangapi utavukaa kupitia wao, Sio kila kitu MAOMBI.

account_circle
Godwin(@GodwinTairo1) 's Twitter Profile Photo

Interoperability: The extent to which blockchains are cross-compatible and can leverage other blockchains’ unique properties.

$BAMA | | | $PARAM | $BUBBLE | $BEYOND.

account_circle
M A T H E M A T I C I A N(@mancaster06) 's Twitter Profile Photo

Mathe 2 inawekwa jumatatu alafu Toka ijumaa unamaliza phyz 2 mpaka hio jumatatu unaenda kwenye pure mbili haujagusa chochote

Malegend wanaenda kuishi kibingwa

account_circle
The Charity Guy 🇺🇬(@roxie_ug) 's Twitter Profile Photo

Lecturer: You ain’t going to graduate this year though you’re in your final semester.
Student: Why? 🥹

Lecturer: Look between E and Y

Lecturer: You ain’t going to graduate this year though you’re in your final semester. Student: Why? 🥹 Lecturer: Look between E and Y
account_circle
M A T H E M A T I C I A N(@mancaster06) 's Twitter Profile Photo

Pale high school akiripoti dogo anapita kwanza pale kwa wahuni tuna search tranka kama ana mazaga kaja nayo sjui peanut, sukari,peni na issue nyingine tunaishi nazo

Alafu dogo anakuwa mwanetu vibaya mpaka anatukubali

account_circle