WILL (@mamboshowilson) 's Twitter Profile
WILL

@mamboshowilson

I Fail & I Learn• Determined💪• Wake Up and Live • ⚖ •

ID: 1125713139432087552

calendar_today07-05-2019 10:45:01

2,2K Tweet

289 Followers

514 Following

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Tasnia ya habari ina nafasi muhimu katika mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia. MKupitia kalamu, kamera na sauti zao, wanahabari wanaweza kutoa elimu, kufichua ukatili na kushinikiza uwajibikaji kwa wanaokiuka haki za binadamu. #NationalDialogue #16DaysTanzania2025 pic.x.com/dqXRQnnfDP

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Ukatili wa kijinsia unaofanywa kwa kutumia teknolojia unazidi kuwa kikwazo kwa ushiriki wa wanawake katika siasa. Ni wakati wa kutumia sauti zetu kuelimisha na kuhamasisha jamii kupinga aina zote za ukatili huu. #NationalDialogue #16DaysTanzania2025 WiLDAF Tanzania

Ukatili wa kijinsia unaofanywa kwa kutumia teknolojia unazidi kuwa kikwazo kwa ushiriki wa wanawake katika siasa. Ni wakati wa kutumia sauti zetu kuelimisha na kuhamasisha jamii kupinga aina zote za ukatili huu.
#NationalDialogue #16DaysTanzania2025
WiLDAF Tanzania
Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Wanawake wana haki ya kushiriki katika siasa na uchaguzi bila hofu, vitisho, au mashambulizi ya kimtandao. Teknolojia inapaswa kuwa chombo cha uwezeshaji, si cha ukatili. #NationalDialogue #16DaysTanzania2025 WiLDAF Tanzania

Wanawake wana haki ya kushiriki katika siasa na uchaguzi bila hofu, vitisho, au mashambulizi ya kimtandao.
Teknolojia inapaswa kuwa chombo cha uwezeshaji, si cha ukatili.
#NationalDialogue #16DaysTanzania2025
WiLDAF Tanzania
MIRIAM💜 (@miriammkanaka) 's Twitter Profile Photo

Ukatili wa kijinsia unaofanywa kwa kutumia teknolojia unazidi kuwa kikwazo kwa ushiriki wa wanawake katika siasa. Ni wakati wa kutumia sauti zetu kuelimisha na kuhamasisha jamii kupinga aina zote za ukatili huu. #NationalDialogue #16DaysTanzania2025 WiLDAF Tanzania

Ukatili wa kijinsia unaofanywa kwa kutumia teknolojia unazidi kuwa kikwazo kwa ushiriki wa wanawake katika siasa. Ni wakati wa kutumia sauti zetu kuelimisha na kuhamasisha jamii kupinga aina zote za ukatili huu.
#NationalDialogue #16DaysTanzania2025
WiLDAF Tanzania
MIRIAM💜 (@miriammkanaka) 's Twitter Profile Photo

Uongozi si jinsia bali ni uwezo. Wanaume, simameni bega kwa bega na wanawake kwenye siasa. Tuseme hapana kwa ukatili na unyanyasaji wa kijinsia ndani na nje ya mitandao. #NationalDialogue #16DaysTanzania2025 #OurVoicesOurSafety

Uongozi si jinsia bali ni uwezo. Wanaume, simameni bega kwa bega na wanawake kwenye siasa. Tuseme hapana kwa ukatili na unyanyasaji wa kijinsia ndani na nje ya mitandao.
#NationalDialogue
#16DaysTanzania2025
#OurVoicesOurSafety
𝐍.🥀 (@xnemmyy) 's Twitter Profile Photo

Raha ya Milele uwape Ee bwana na Mwanga wa milele uwaangazie! Wapambanaji wote waliofariki kwenye kupigania haki zao wapumzike kwa Amani. 🙏

🇰🇪 James WaNjeri (@jameskwanjeri) 's Twitter Profile Photo

Lawyer short dead by Samia Suluhu’s thugs in uniform. Watasema pia huyu ni mkenya na alikuwa LSK. We will not keep silent about the murders happening in Tanzania. I am my brother’s keeper

Fredwaah (@fred_waaah) 's Twitter Profile Photo

Ephesians 6-12 We are not fighting against people made of flesh and blood, but against the evil rulers and authorities of the unseen world, against those mighty powers of darkness who rule this world, and against wicked spirits in the heavenly realms.

Chaos Theory (@samwyri) 's Twitter Profile Photo

The things they did to innocent people in in Bongoland, only prime Mexican cartels come close. Head and chest shots. Executions. I pray and hope the wanainchi get justice. You don’t want to see what’s on Telegram and Google Drive if you have a weak tummy

Sammy Awami (@awamisammy) 's Twitter Profile Photo

Unaanzaje kuzungumzia maridhiano bila ACCOUNTABILITY kwa unyama wa kiwango hichi walichofanyiwa watoto na vijana hawa?? 😭💔 How do we just move on as a nation kwa damu yote hii iliyomwagwa? How??

khalifa said #PALESTINE 🇵🇸 ☭🌹 (@thatboykhalifax) 's Twitter Profile Photo

ccm wanaiharibu hii nchi mbele ya macho yetu. huu ni ukweli ambao lazima tuuseme. ulafi wao wa madaraka na uwezo duni wa kuongoza vimewapelekea kutumia dini kuwagawa w’nchi, bila kujali hatari kubwa wanayoitengeneza. ni kazi yetu w’nchi kuzuia hili, na tunaweza tukisimama pamoja.

Larry Madowo (@larrymadowo) 's Twitter Profile Photo

EXCLUSIVE: Our CNN investigation found that Tanzanian police killed protesters, and signs of mass graves used to hide their brutality. We spoke to more than 100 people, used forensic analysis of videos, and satellite imagery. The govt didn't respond to our detailed questions

Olesangka (@olesangka) 's Twitter Profile Photo

“DADA WAKILI CHATBOT” a huge revolution in legal aid to our communities, Explanation from our learned Sister Dr Cecilia Ngaiza from the school of Law at UDSM on the journey where the idea came from we can see how women in Technology is very important in empowering them. #TAIC

viola julius (@vwalaviola) 's Twitter Profile Photo

Stawi lab ilizaliwa kutokana na experience za Mkurugenzi wa Her Initiative dada Lydia Charles kwani alichoka kuona anaendesha taasisi kwa nguvu kazi ya kujitolea (wafanyakazi wengi walikua volunteers ) akaandika barua ya wazi kwa development partners 1/2 #MiakwaVijana #Stawilab

Stawi lab ilizaliwa kutokana na experience za Mkurugenzi wa Her Initiative dada Lydia Charles kwani alichoka kuona anaendesha taasisi kwa nguvu kazi ya kujitolea (wafanyakazi wengi walikua volunteers ) akaandika barua ya wazi kwa development partners 1/2 #MiakwaVijana #Stawilab
viola julius (@vwalaviola) 's Twitter Profile Photo

Mtoto wa kike akiumizwa, taifa zima hujeruhiwa. Lakini akilindwa, taifa hupona. Changia ujenzi wa #MsichanaCentre uweke msingi wa kizazi salama. Kuwa sehemu ya simulizi hii ya mabadiliko: +255 754 251 022 ~ Msichana Initiative #NdotoYaMsichana Msichana Initiative

viola julius (@vwalaviola) 's Twitter Profile Photo

In 2021,youth led groups championing women’s and girls’ rights filled panels and donor rooms but were missing when resources were shared. Visibility without funding is not support. STAWI Network is breaking that silence. Find out #MiaKwaVijana #StawiLab Her Initiative

In 2021,youth led groups championing women’s and girls’ rights filled panels and donor rooms but were missing when resources were shared.
Visibility without funding is not support.
STAWI Network is breaking that silence.
Find out
#MiaKwaVijana
#StawiLab
Her Initiative
viola julius (@vwalaviola) 's Twitter Profile Photo

Wakuu nisaidie kuretweet Baby sound book zimerudi kwa 30,000 ziko kwa sale sasa … Mpatie mtoto wako uhuru wa kujifunza . Atajifunza Alphabets , Numbers , animals , Vehicles, Atapata stories na nursery rhymes . 0782388366

viola julius (@vwalaviola) 's Twitter Profile Photo

Kongamano lilikuwa 🔥🔥🔥. wanawake wa manispaa ya ubungo waliondoka na ujuzi na nyenzo za kuweka biashara zao kwenye mitandao na namna ya kuuza Zaidi. Asante sana Women and Technology Tanzania kwa fursa ya kuwa msema chochote . Digitali kwa Maendeleo

viola julius (@vwalaviola) 's Twitter Profile Photo

Ufadhili ulipopungua taasisi Iliana kushindana.Lakini #STAWILAB imeonyesha kitu tofauti. ofisi za pamoja Zana za pamoja , Nafasi za pamoja. kushirikiana ili kilichopatikana kitumike kwa manufaa ya wengi #MiaKwaVijana #StawiLab Her Initiative

Ufadhili ulipopungua taasisi Iliana kushindana.Lakini #STAWILAB  imeonyesha kitu tofauti. ofisi za pamoja Zana za pamoja , Nafasi za pamoja. kushirikiana ili kilichopatikana kitumike kwa manufaa ya wengi

#MiaKwaVijana
#StawiLab
Her Initiative
viola julius (@vwalaviola) 's Twitter Profile Photo

When funding shifts, it’s not just numbers: it’s the programs and real girls affected. During the aid cuts, STAWI Lab has provided flexible funding, strengthened systems, and supported shared learning so women-led orgs can keep going. #miakwavijana #stawilab @herinitiave

When funding shifts, it’s not just numbers: it’s the  programs and real girls affected.

During the aid cuts, STAWI Lab has provided flexible funding, strengthened systems, and supported shared learning so women-led orgs can keep going.

#miakwavijana
#stawilab

@herinitiave