ELIZABETH MAMBOSHO (@mambosholizzy) 's Twitter Profile
ELIZABETH MAMBOSHO

@mambosholizzy

ID: 1837777023780925440

calendar_today22-09-2024 08:53:30

198 Tweet

370 Takipçi

71 Takip Edilen

ELIZABETH MAMBOSHO (@mambosholizzy) 's Twitter Profile Photo

Kwa miaka 4 Samia anekopa Trilioni 50 we huogopi???? Yaani kukopa wakope wao halafu deni tunalipa wananchi. #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection

Kwa miaka 4 Samia anekopa Trilioni 50 we huogopi????
Yaani kukopa wakope wao halafu deni tunalipa wananchi.
#NoReformsNoElection 
#NoReformsNoElection
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Asanteni Watanzania, kila mtu afanye anachoweza kufanya kwa kadri Mungu alivyomjalia ili kupeleka ujumbe wetu mbele zaidi. Tutashinda msiogope.

ELIZABETH MAMBOSHO (@mambosholizzy) 's Twitter Profile Photo

Ndugu zangu Watanzania CHUKUENI TAHADHARI MJILINDE WENYEWE. WATEKAJI BADO WAPO. USIACHE KUPAZA SAUTI, KUTOA MSAADA UNAPOONA MTU ANATEKWA, BORA UFE WAKATI UKISAIDIA MTU...... #NoReformsNoElection #FreeTunduLissu #KataaWatekaji

Ndugu zangu Watanzania CHUKUENI TAHADHARI MJILINDE WENYEWE.
WATEKAJI BADO WAPO.
USIACHE KUPAZA SAUTI, KUTOA MSAADA UNAPOONA MTU ANATEKWA, BORA UFE WAKATI UKISAIDIA MTU......
#NoReformsNoElection 
#FreeTunduLissu 
#KataaWatekaji
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Vijana wa Tanzania sasa wanajua uchaguzi ni maisha yao. Sasa wanajua lazima tupambane kubadilisha hali hii mbaya tuliyonayo. #NoReformsNoElection ndio jawabu la matatizo yote. Kila mtu afanye kile anachoweza, tumia kipaji chako na nafasi yako kukemea maovu na kutetea haki.

ELIZABETH MAMBOSHO (@mambosholizzy) 's Twitter Profile Photo

Mh. John Heche. Tabora ilikua moto sana, Uwanja ulitolewa saa nne asubuhi, mkutano umetangazwa masaa mawili. Saa kumi jioni Uwanja ukawa umejaa vyakutosha. Tutarudi tena kuongea na watu wa Tabora. Asante sana Watanzania #NoReformsNoElection

ELIZABETH MAMBOSHO (@mambosholizzy) 's Twitter Profile Photo

Watanzania wenzangu #noreformsnoelection ni dawa chungu, lakini hatuna budi kuitumia ili kutibu hawa mchwa wanaofakamia Nchi yetu. TUAMKE SASA, AU TUKAE KIMYA MILELE! #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection

Watanzania wenzangu #noreformsnoelection ni dawa chungu, lakini hatuna budi kuitumia ili kutibu hawa mchwa wanaofakamia Nchi yetu.
TUAMKE SASA, AU TUKAE KIMYA MILELE!
#NoReformsNoElection
#NoReformsNoElection
JAPHET MATARRA (@eng_matarra) 's Twitter Profile Photo

Jana usiku watu wasiojulikana wamenivamia. Katika purukushani waliniumiza kwa kunipiga kitu chenye ncha kali kichwani na kunivunja taya ya meno ya chini. Nimeletwa hospitali sijitambui na siwezi kula, kunywa wala kuongea. Nimeumia kichwani sana hapo nyuma nimeshondwa nyuzi saba.

Jana usiku watu wasiojulikana wamenivamia. Katika purukushani waliniumiza kwa kunipiga kitu chenye ncha kali kichwani na kunivunja taya ya meno ya chini. Nimeletwa hospitali sijitambui na siwezi kula, kunywa wala kuongea. Nimeumia kichwani sana hapo nyuma nimeshondwa nyuzi saba.
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Kumbe ukiingia Tanzania kwa kukiuka sheria za uhamiaji adhabu zake ni pamoja na; 1. Kushikiliwa kituo cha polisi KUTESWA kwa siku 4. 2. KULAWITIWA. 3. KUTUPWA maporini. Huyu POSSI ndio maelezo aliyopeleka mbele ya UMOJA WA MATAIFA leo. TUTAKUWEPO🫵🏾😎

Kumbe ukiingia Tanzania kwa kukiuka sheria za uhamiaji adhabu zake ni pamoja na;

1. Kushikiliwa kituo cha polisi KUTESWA kwa siku 4.

2. KULAWITIWA.

3. KUTUPWA maporini.

Huyu POSSI ndio maelezo aliyopeleka mbele ya UMOJA WA MATAIFA leo.

TUTAKUWEPO🫵🏾😎
ELIZABETH MAMBOSHO (@mambosholizzy) 's Twitter Profile Photo

Mh. John Heche on one and two..... 😂 😂 Mura, our Hero.. Atahutubia Taifa. Simu zitapigwa utasikia kipindi kimeahirishwa..... #NoReformsNoElection #FreeTunduLissuNow #FreeMdude

Mh. <a href="/HecheJohn/">John Heche</a>  on one and two..... 😂 😂 
Mura, our Hero.. Atahutubia Taifa.
Simu zitapigwa utasikia kipindi kimeahirishwa.....
#NoReformsNoElection  
#FreeTunduLissuNow 
#FreeMdude
John Pambalu (@john_pambalu) 's Twitter Profile Photo

OCD Nyamagana muachieni Michael Christian. Hamna sababu ya msingi ya kuendelea kumshikilia, kama mna jambo naye mpelekeni mahakamani.

OCD Nyamagana muachieni Michael Christian. Hamna sababu ya msingi ya kuendelea kumshikilia, kama mna jambo naye mpelekeni mahakamani.
ELIZABETH MAMBOSHO (@mambosholizzy) 's Twitter Profile Photo

Vijana hawa maarufu kwa jina wachokonozi Wametekwa na watu waliojitambulisha kuwa ni Polisi wakiwa na Land cruiser hardtop nyeupe.... Ndugu zangu hali Bado ni mbaya mnoo. #NoReformsNoElection #bringbackwachokonozi

Vijana hawa maarufu kwa jina <a href="/wachokonozi/">wachokonozi</a>  Wametekwa na watu waliojitambulisha kuwa ni Polisi wakiwa na Land cruiser hardtop nyeupe....
Ndugu zangu hali Bado ni mbaya mnoo.
#NoReformsNoElection 
#bringbackwachokonozi
SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Hii ni basic knowledge, Mtanzania yyt lazima afahamu -Kila kinachofanywa na kiongozi ni wajibu wake, si msaada wala si hisani -Kila fedha inayotumiwa ni ya Mtanzania, hakuna hata sentano ya serikali -Hakuna kiongozi aliye juu zaidi ya Mtanzania, hawa vibwengu ni waajiriwa wetu

ELIZABETH MAMBOSHO (@mambosholizzy) 's Twitter Profile Photo

“Hakuna chama kingine chochote nchi hii ikiwamo CCM kinaweza kuanzisha mkutano ‘Organic’ bila kusomba watu kwenye magari na wakaenda wenyewe kwenye mkutano ni isipokuwa CHADEMA tu” #NoReformsNoElection

“Hakuna chama kingine chochote nchi hii ikiwamo CCM kinaweza kuanzisha mkutano ‘Organic’ bila kusomba watu kwenye magari na wakaenda wenyewe kwenye mkutano ni  isipokuwa CHADEMA tu”
#NoReformsNoElection