Raphael Mallaba 🇨🇳🇹🇿🇬🇧 (@mallabaofficial) 's Twitter Profile
Raphael Mallaba 🇨🇳🇹🇿🇬🇧

@mallabaofficial

MD, Public Health Specialist, Public Health Advisor and Consultant, Health Insurance Expert, MBA-Corporate Management| Entrepreneurship

ID: 2795835054

calendar_today07-09-2014 12:39:49

6,6K Tweet

987 Takipçi

986 Takip Edilen

Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 (@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

"Mwaka 2016 Mfuko wa NHIF Tanzania ulianzisha mpango wa bima ya afya kwa watoto walio chini ya miaka 18 (Toto Afya Kadi) kwa lengo la kuwezesha kundi la watoto kwa ujumla wao kujiunga kupitia shule za awali, msingi na sekondari ili kunufaika na mpango huo. Hata hivyo, pamoja na

"Mwaka 2016 Mfuko wa <a href="/nhiftz/">NHIF Tanzania</a> ulianzisha mpango wa bima ya afya kwa watoto walio chini ya miaka 18 (Toto Afya Kadi) kwa lengo la kuwezesha kundi la watoto kwa ujumla wao kujiunga kupitia shule za awali, msingi na sekondari ili kunufaika na mpango huo. Hata hivyo, pamoja na
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 (@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

"Kupitia uandikishaji wa kundi hilo, asilimia 99 ya watoto walioandikishwa walikuwa tayari na matatizo ya kiafya ambapo kati ya takriban shilingi bilioni 5 zilizokusanywa kama michango yao, shilingi bilioni 40 zilitumika kugharamia matibabu yao. Hali hii ni kinyume cha dhana na

"Katika kutatua changamoto zilizopo, Serikali inakamilisha muswada wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote ambayo inalenga kuimarisha Mfumo wa Bima ya Afya nchini kwa kuhakikisha kuwa wananchi wengi wanajiunga zaidi na utaratibu huu ikilinganishwa na hali ilivyo sasa. Nitoe rai kwa

"Katika kipindi cha awamu zote sita, Serikali imefanikiwa kuboresha Sekta ya Afya kwa ujumla, changamoto kubwa iliyobaki na inawayolikabili kundi kubwa la wananchi ni namna ya kuwawezesha wananchi kugharamia huduma za afya. Kwahiyo, ili kufikia dhamira ya Serikali ya Afya Bora

"Serikali ilianzisha mfumo wa malipo kabla ya kuugua (Bima ya Afya) kupitia Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya NHIF Tanzania kwa kuanza na kundi la watumishi wa umma na wategemezi wao ambao hujiunga kwa mujibu wa Sheria Sura Hata hivyo, kutokana na uhitaji wa bima ya afya kwa makundi

"Serikali ilianzisha mfumo wa malipo kabla ya kuugua (Bima ya Afya) kupitia Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya <a href="/nhiftz/">NHIF Tanzania</a> kwa kuanza na kundi la watumishi wa umma na wategemezi wao ambao hujiunga kwa mujibu wa Sheria Sura 
Hata hivyo, kutokana na uhitaji wa bima ya afya kwa makundi
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 (@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

“UTARATIBU WA BIMA YA AFYA NI KUCHANGIANA SIO LAZIMA MPAKA UUGUE” – DKT. MOLLEL Na. WAF – Dar es Salaam Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema lengo la kuwepo na Mifuko ya Bima ya Afya ni wananchi kuchangiana gharama za matibabu kabla ya kuugua ili kuepusha familia

“UTARATIBU WA BIMA YA AFYA NI KUCHANGIANA SIO LAZIMA MPAKA UUGUE” – DKT. MOLLEL

Na. WAF – Dar es Salaam

Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema lengo la kuwepo na Mifuko ya Bima ya Afya ni wananchi kuchangiana gharama za matibabu kabla ya kuugua ili kuepusha familia
Chen Mingjian 陈明健 (@chenmingjian_cn) 's Twitter Profile Photo

Congrats to the inauguration of the Dr. Salim Ahmed Salim Archives! Dr. Salim is an old friend of China & has made great contributions to 🇨🇳-🇹🇿 relations. His journey in public service & his role in international diplomacy still inspire us to fight for a brighter future.

Congrats to the inauguration of the Dr. Salim Ahmed Salim Archives! Dr. Salim is an old friend of China &amp; has made great contributions to 🇨🇳-🇹🇿 relations. His journey in public service &amp; his role in international diplomacy still inspire us to fight for a brighter future.
Cyril Ramaphosa 🇿🇦 (@cyrilramaphosa) 's Twitter Profile Photo

It wish to commend all those involved in giving life to the Salim Ahmed Salim Digital Archive, chronicling the extraordinary work and achievements of Dr Salim Ahmed Salim.   In a lifetime of public service, Dr Salim has been recognised as a leading figure in the global struggle for independence,

It wish to commend all those involved in giving life to the <a href="/DrSalimArchive/">Salim Ahmed Salim Digital Archive</a>, chronicling the extraordinary work and achievements of Dr Salim Ahmed Salim.
 
In a lifetime of public service, Dr Salim has been recognised as a leading figure in the global struggle for independence,
Tanzania Health Summit (@tzhealthsummit) 's Twitter Profile Photo

We're excited to announce that the President of Zanzibar & Chairman of The Revolutionary Council H.E Dr.Hussein Ali Mwinyi will grace the #10thAnniversaryOfTHS at JNICC in Dar es Salaam today. Theme: Strengthening Health Systems for UHC, focusing on Primary Health Care #THS2023

We're excited to announce that the President of Zanzibar &amp; Chairman of The Revolutionary Council H.E Dr.Hussein Ali Mwinyi will grace the #10thAnniversaryOfTHS at JNICC in Dar es Salaam today. 

Theme: Strengthening Health Systems for UHC, focusing on Primary Health Care #THS2023
Tanzania Health Summit (@tzhealthsummit) 's Twitter Profile Photo

Today is the day! All roads head to JNICC in Dar es Salaam for #THS2023 1️⃣3:00 PM - 3:40 PM: Opening Sessions 2️⃣3:40 PM - 4:40 PM: Theme Presentations 3️⃣4:40 PM - 6:00 PM: Speeches The Guest of Honour, President of Zanzibar H.E Dr Hussein Mwinyi is expected to grace the summit.

Today is the day! All roads head to JNICC in Dar es Salaam for #THS2023
1️⃣3:00 PM - 3:40 PM: Opening Sessions
2️⃣3:40 PM - 4:40 PM: Theme Presentations
3️⃣4:40 PM - 6:00 PM: Speeches
The Guest of Honour,  President of Zanzibar H.E Dr Hussein Mwinyi is expected to grace the summit.
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Landed in New Delhi for a state visit, at the invitation of India national leaders. To Tanzanians, India is our extended family, a strategic ally, and one of our largest bilateral trading partners. I am looking forward to a productive visit in expanding trade and investment

Francis Furia (@furia_francis) 's Twitter Profile Photo

‘Tanzania ni Taifa la watoto, zaidi ya 50% ya WaTanzania ni watoto chini ya miaka 17’ Mr John George, UNICEF HIV specialist #TanzaniaChildCongress

‘Tanzania ni Taifa la watoto, zaidi ya 50% ya WaTanzania ni watoto chini ya miaka 17’ Mr John George, UNICEF HIV specialist 

#TanzaniaChildCongress
Francis Furia (@furia_francis) 's Twitter Profile Photo

Warda Mohamed anayefanya kazi Tanzania voice of Humanity akizungumzia jinsi wadau wanaweza kushirikiana kuwasaidia watoto wenye matatizo ya jinsia Kongamano la Afya na ustawi wa watoto Tanzania

Warda Mohamed anayefanya kazi Tanzania voice of Humanity akizungumzia jinsi wadau wanaweza kushirikiana kuwasaidia watoto wenye matatizo ya jinsia

Kongamano la Afya na ustawi wa watoto Tanzania
Chen Mingjian 陈明健 (@chenmingjian_cn) 's Twitter Profile Photo

Hongera! According to the survey conducted by KPMG, 🇹🇿 is the most preferred investment destination in East Africa in the next 2 years and counts among the 10 biggest recipients of FDI in Africa. A good business environment will surely bring more external investments for TZ.

Ummy Mwalimu (@ummymwalimu) 's Twitter Profile Photo

Historia imeandikwa kwa Sekta ya Afya Nchini! Hatimae leo tumeweza kuhitimisha safari tuliyoianza mwaka 2016! Haikuwa safari rahisi lakini waswahili wanasema "kawia ufike"! Hakika Tumeitendea haki sekta ya Afya; Tumewatendea haki watanzania. Na tumeitendea haki nchi yetu.

Raphael Mallaba 🇨🇳🇹🇿🇬🇧 (@mallabaofficial) 's Twitter Profile Photo

Niger Republic, 3 months of a coup and now the 4th fastest growing economy in the world. 🤔🤔 Can u imagine!! focus-economics.com/blog/fastest-g…