Childline Zanzibar (@malezizanzibar) 's Twitter Profile
Childline Zanzibar

@malezizanzibar

We respond to children needs through free of cost telephone # 116 in #Zanzibar. We voice their concerns to policy / decision -makers.

ID: 899848121617985536

linkhttp://www.sematanzania.org calendar_today22-08-2017 04:18:05

7,7K Tweet

1,1K Followers

734 Following

Childline Zanzibar (@malezizanzibar) 's Twitter Profile Photo

Mwenyezi Mungu awajalie furaha, baraka na mahusiano mema wakati huu wa siku kuu. Eid Mubarak✨ #Malezi #EidMubarak #Piga116 #Familia #Parenting

Mwenyezi Mungu awajalie furaha, baraka na mahusiano mema wakati huu wa siku kuu.
Eid Mubarak✨

#Malezi #EidMubarak #Piga116 #Familia #Parenting
Childline Zanzibar (@malezizanzibar) 's Twitter Profile Photo

Eid Mubarak✨ Tukumbuke kuendelea kuzingatia ulinzi na usalama wa watoto wetu katika kipindi hiki cha Sikukuu. #Malezi #Piga116 #EidMubarak #Familia

Eid Mubarak✨
Tukumbuke kuendelea kuzingatia ulinzi na usalama wa watoto wetu katika kipindi hiki cha Sikukuu.

#Malezi #Piga116 #EidMubarak #Familia
Childline Zanzibar (@malezizanzibar) 's Twitter Profile Photo

Kutokana na sababu za kiufundi zilizo nje ya uwezo wetu, Huduma ya simu kwa mtoto namba 116 haitakuwa hewani kuanzia leo tarehe 06/04/2025 saa 9 mchana. Itarejea tarehe 08/04/2025 Saa 1 asubuhi. Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza #Malezi #Piga116 #TANGAZO

Kutokana na sababu za kiufundi zilizo nje ya uwezo wetu, Huduma ya simu kwa mtoto namba 116 haitakuwa hewani kuanzia leo tarehe 06/04/2025 saa 9 mchana. Itarejea tarehe 08/04/2025 Saa 1 asubuhi.

Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza

#Malezi #Piga116 #TANGAZO
Childline Zanzibar (@malezizanzibar) 's Twitter Profile Photo

"Uzazi wa mpangoo ni kuchagua, sio shuruti!" —Kofi Annan #Malezi #Piga116 #HappyTogether #Familyplanning #UzaziwaMpango #Tanzania #Vijana #Familia

"Uzazi wa mpangoo ni kuchagua, sio shuruti!" —Kofi Annan

#Malezi #Piga116 #HappyTogether #Familyplanning #UzaziwaMpango #Tanzania #Vijana #Familia
Childline Zanzibar (@malezizanzibar) 's Twitter Profile Photo

Je Wajua? Takribani mmoja(1) kati ya vijana watano(5) wenye umri wa miaka 15-19, wamejihusisha na mahusiano ya kingono – wakiwa hawajafikiwa na elimu sahihi, wala huduma za afya ya jinsia na uzazi. TDHS, 2022 #JeWajua #Familia #Vijana #SRH #Piga116 #Watoto

Childline Zanzibar (@malezizanzibar) 's Twitter Profile Photo

Hivi ndivyo Huduma ya simu kwa mtoto namba 116 husaidia mzazi/mlezi kuongea na mtoto kuhusu mahusiano yake ya kwanza. Mpendwa Mzazi/Mlezi, mahusiano ya kwanza yanahitaji msaada wako –na si ukimya #Malezi #Piga116 #Vijana #Watoto #SRHweek

Hivi ndivyo Huduma ya simu kwa mtoto namba 116 husaidia mzazi/mlezi kuongea na mtoto kuhusu mahusiano yake ya kwanza.

Mpendwa Mzazi/Mlezi, mahusiano ya kwanza yanahitaji msaada wako –na si ukimya
#Malezi #Piga116 #Vijana #Watoto 
#SRHweek
Childline Zanzibar (@malezizanzibar) 's Twitter Profile Photo

Vifuatavyo ni viashiria vya wazi kumuwezesha mzazi kugundua kuwa mtoto wake anafanyiwa ukatili –iwe kutoka kwa watoto wenzake au watu wazima. #JeWajua #Malezi #Piga116 #Familia #Wazazi #EndVAC

Childline Zanzibar (@malezizanzibar) 's Twitter Profile Photo

Jinsi Huduma ya simu kwa mtoto, namba116, inavyokusaidia kwenye kutatua changamoto ya ukatili dhidi ya watoto. #Malezi #Piga116 #Familia #Wazazi #EndVAC

Jinsi Huduma ya simu kwa mtoto, namba116, inavyokusaidia kwenye kutatua changamoto ya ukatili dhidi ya watoto.

#Malezi #Piga116 #Familia #Wazazi #EndVAC
Childline Zanzibar (@malezizanzibar) 's Twitter Profile Photo

Life doesn’t come with a manual. It comes with a mother. #Malezi wishes you happy Mother's day. #Malezi #HappyMothersday #Familia #Mama #Piga116

Life doesn’t come with a manual. It comes with a mother.
#Malezi wishes you happy Mother's day.

#Malezi #HappyMothersday #Familia #Mama #Piga116
Childline Zanzibar (@malezizanzibar) 's Twitter Profile Photo

Huduma ya Simu kwa Mtoto ina Mchango mkubwa katika kuhakikisha watoto na vijana wanayo fursa ya kupata usaidizi wa huduma ya afya ya akili. @child_helpline_international #Malezi #Piga116 #EveryChildHasAVoice #ChildHelplines #ICHDay2025 #ChildrensMentalHealth

Huduma ya Simu kwa Mtoto ina Mchango mkubwa katika kuhakikisha watoto na vijana wanayo fursa ya kupata usaidizi wa huduma ya afya ya akili.
@child_helpline_international

#Malezi #Piga116 #EveryChildHasAVoice #ChildHelplines #ICHDay2025 #ChildrensMentalHealth
Childline Zanzibar (@malezizanzibar) 's Twitter Profile Photo

Huduma za simu kwa watoto mara nyingi huwa mstari wa mbele katika kuwalinda watoto dhidi ya ukatili. @ChildHelplineInternational #EveryChildHasAVoice #ChildHelplines #ICHDay2025 #ChildrensMentalHealth

Huduma za simu kwa watoto mara nyingi huwa mstari wa mbele katika kuwalinda watoto dhidi ya ukatili.
@ChildHelplineInternational

#EveryChildHasAVoice #ChildHelplines #ICHDay2025 #ChildrensMentalHealth
Childline Zanzibar (@malezizanzibar) 's Twitter Profile Photo

Huduma za Simu kwa Watoto ni mstari wa mbele katika ulinzi na usalama wa watoto mtandaoni. @child_helpline_international #Malezi #Piga116 #EveryChildHasAVoice #ChildHelplines #ICHDay2025 #OnlineHarms

Huduma za Simu kwa Watoto ni mstari wa mbele katika ulinzi na usalama wa watoto mtandaoni.
@child_helpline_international

#Malezi #Piga116 #EveryChildHasAVoice #ChildHelplines #ICHDay2025 #OnlineHarms
Childline Zanzibar (@malezizanzibar) 's Twitter Profile Photo

Lengo letu ni kuhakikisha kuwa kufikia mwaka 2030, kila nchi duniani kuwa na Huduma ya Simu kwa Mtoto. Ni wakati wa kuhakikisha kwamba hakuna sauti ya mtoto isiyosikilizwa. #Malezi #Piga116 #EveryChildHasAVoice #ChildHelplines #ICHDay2025 #UnheardVoices

Lengo letu ni kuhakikisha kuwa kufikia mwaka 2030, kila nchi duniani kuwa na Huduma ya Simu kwa Mtoto. Ni wakati wa kuhakikisha kwamba hakuna sauti ya mtoto isiyosikilizwa.

#Malezi #Piga116 #EveryChildHasAVoice #ChildHelplines #ICHDay2025 #UnheardVoices
Childline Zanzibar (@malezizanzibar) 's Twitter Profile Photo

Ungana nasi katika siku hii kutambua mchango mkubwa wa watoto wa kiume katika jamii na maisha yetu. #Malezi #Piga116 #InternationaldayoftheBOYchild #Family #Community #childhelpline

Ungana nasi katika siku hii kutambua mchango mkubwa wa watoto wa kiume katika jamii na maisha yetu.

#Malezi #Piga116 #InternationaldayoftheBOYchild #Family #Community #childhelpline
Childline Zanzibar (@malezizanzibar) 's Twitter Profile Photo

It’s International Child Helpline Day. Our goal is a child helpline in every country of the world by 2030! It’s time to ensure that no child’s voice is left unheard. #ICHDay2025 #EveryChildHasAVoice #UnheardVoices #ChildHelplines

Childline Zanzibar (@malezizanzibar) 's Twitter Profile Photo

It’s International Child Helpline Day – the day we celebrate the incredible work done by child helplines around the world to help and support our children and young people. Every Second Counts... #ICHDay 2025 #ChildHelplines #EveryChildHasAVoice #EverySecondCounts

Childline Zanzibar (@malezizanzibar) 's Twitter Profile Photo

Kama wazazi, ni jukumu letu kuwasikiliza, kuwathibitishia na kuwapatia watoto nyenzo za kuelezea hisia zao.—Brené Brown #Malezi #Piga116 #Afyayaakili #Family #Wazazi #Parenting

Kama wazazi, ni jukumu letu kuwasikiliza, kuwathibitishia  na kuwapatia watoto nyenzo za kuelezea hisia zao.—Brené Brown

#Malezi #Piga116 #Afyayaakili #Family #Wazazi #Parenting