SIR...P (@makombe3452) 's Twitter Profile
SIR...P

@makombe3452

LoveAll, loughWithMany
BUT...TrustNobody...
Yanga & Real Madrid... FanπŸ”°

ID: 1720363571526160384

calendar_today03-11-2023 08:55:32

347 Tweet

134 Followers

337 Following

PASTA JOSHUA ⛑️ (@pastajoshuatz) 's Twitter Profile Photo

KAMA UNATEMBEA NA MKE WA MTU FATA MAELEKEZO YAFUATAYO πŸ˜’ 1. Akikupigia simu pokea alafu subiri aanze kuongea yeye maana labda aliekupigia ni mumewe, kenge wewe _ 2. Msizoee kuingia guest moja kila mnapokutana maana watu watawachora na kutoa taarifa, mbwa wewe 3. Mkiingia guest

KAMA UNATEMBEA NA MKE WA MTU FATA MAELEKEZO YAFUATAYO πŸ˜’

1. Akikupigia simu pokea alafu subiri aanze kuongea yeye maana labda aliekupigia ni mumewe, kenge wewe
_
2. Msizoee kuingia guest moja kila mnapokutana maana watu watawachora na kutoa taarifa, mbwa wewe

3. Mkiingia guest
SIR...P (@makombe3452) 's Twitter Profile Photo

Moja Ya Kampuni yny option kibao ILA UKI WIN USIJICHANGANYE KUTOA HELA YAKO JUMAMOS NA JUMAPILI... Utakutana na Mauza Uza.... 5 days bla kulpwa...,🀭🀭 Subri masaa 72 akin wap....πŸ’”

Moja Ya Kampuni yny option kibao ILA UKI WIN USIJICHANGANYE KUTOA HELA YAKO JUMAMOS NA JUMAPILI...
Utakutana na Mauza Uza.... 5 days bla kulpwa...,🀭🀭 
 Subri masaa 72 akin wap....πŸ’”
SIR...P (@makombe3452) 's Twitter Profile Photo

Ndoaa ni kama peda za baiskel inapofka kipndi moja ipo juu bas moja inatakiwa iwe chini ili safar iweze kuendelea zote zkiwa same level hakuna ktakachoendlea

SUKAYOπ•πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@sukayotz) 's Twitter Profile Photo

Simba Sc acheni kununua mareferes mnakosea sana mnazikandamiza na kuziumiza hizi timu ndogo ndogo Haiwezekani Simba ndo iwe timu inayoongoza kupiga mikwaju mingi ya penalties Africa nzima After all Viongozi wa Simba wachunguzwe TAKUKURU wachunguzeni Simba.

Simba Sc acheni kununua mareferes mnakosea sana mnazikandamiza na kuziumiza hizi timu ndogo ndogo

Haiwezekani Simba ndo iwe timu inayoongoza kupiga mikwaju mingi ya penalties Africa nzima

After all Viongozi wa Simba wachunguzwe TAKUKURU wachunguzeni Simba.