Mark JR (@makjunior0) 's Twitter Profile
Mark JR

@makjunior0

C.E.O moo lv accessories & moo lv dry cleaners ,business rental,entrepreneur.

ID: 752268811383009281

linkhttps://youtu.be/ZVUHkjQlpAY calendar_today10-07-2016 22:30:35

1,1K Tweet

683 Takipçi

841 Takip Edilen

Mark JR (@makjunior0) 's Twitter Profile Photo

Ramadhaan hii; Funga hasira, Samehe sana Funga Uchoyo, Saidia wahitaji Funga Uoga, Mtegemee Mungu Funga Chuki, Patana na wenzako Funga kukwaza watu, Wape faraja Funga kuongea sana, Kuwa Msikilizaji Funga kunung' unika, Upe moyo furaha

Ramadhaan hii;
Funga hasira, Samehe sana
Funga Uchoyo, Saidia wahitaji
Funga Uoga, Mtegemee Mungu
Funga Chuki, Patana na wenzako
Funga kukwaza watu, Wape faraja
Funga kuongea sana, Kuwa Msikilizaji
Funga kunung' unika, Upe moyo furaha
Mateo (@luganomwakimi) 's Twitter Profile Photo

TUMIA REMOTE CIU YA JIRANI YAKO KUWEKA UMEME. kuna wakati unakuta kifaa chako cha kuingizia umeme yaani ile remote ya mkononi (CIU) imepasuka au imegoma kabisa kupokea token hata ukifanya troubleshooting kwa kuingiza code bado umeme hauwaki. Leo ntakuonyesha namna...

TUMIA REMOTE  CIU YA JIRANI YAKO KUWEKA UMEME.

kuna wakati unakuta kifaa chako cha kuingizia umeme yaani ile remote ya mkononi (CIU) imepasuka au imegoma kabisa kupokea token hata ukifanya troubleshooting kwa kuingiza code bado umeme hauwaki.

Leo ntakuonyesha namna...
Mark JR (@makjunior0) 's Twitter Profile Photo

Baadhi ya wanawake wanapima thamani yao kwa kuangalia muonekano wao, na sio kile wanachoweza kuchangia. Pia wanapima thamani yao kwa kuangalia wanaume waliowahi kuwa nao. kama amewahi kuwa na wanaume matajiri ataona thamani yake ni kubwa na hawezi kuwa na mwanaume asiye na kitu

#ElimikaWikiendi (@elimikawikiendi) 's Twitter Profile Photo

“Kwanza tafuta nafasi, ukipata nafasi onesha uwezo, ukionesha uwezo utajenga jina na kuaminika, ukiaminika utaanza kupata hela. Katika kupitia hatua hizi ni lazima ukubali maumivu ya mchakato wa lazima.” - Ruge Mutahaba

“Kwanza tafuta nafasi, ukipata nafasi onesha uwezo, ukionesha uwezo utajenga jina na kuaminika, ukiaminika utaanza kupata hela. Katika kupitia hatua hizi ni lazima ukubali maumivu ya mchakato wa lazima.” - Ruge Mutahaba
Mark JR (@makjunior0) 's Twitter Profile Photo

Kwenye mahusiano: Mwanamke aki-cheat cha kwanza mwanaume wake atamuuliza; je mmetiana? Mwanaume aki-cheat cha kwanza mwanamke wake atamuuliza; je umempenda Wanaume tunaumia pale tunapogundua mali yetu imechafuliwa Wanawake wanaumia pale wanapogundua upendo kwake umeisha

Mark JR (@makjunior0) 's Twitter Profile Photo

december will be gentle with me. december will bring clarity. december will bring alignment. december will bring breakthroughs. december will bring answered prayers. december will bring joy i forgot existed. december will bring everything i’ve been waiting for.

Mark JR (@makjunior0) 's Twitter Profile Photo

Tomorrow is Monday. We’re walking into a good week. no excuses, no bad energy, just good news upon good news. Affirm this.

Mark JR (@makjunior0) 's Twitter Profile Photo

NO HIV. NO Cancer. NO Diabetes. NO Heart Disease. NO Kidney Disease. NO Serious Sickness. Dear God, i'm thankful. Alwayyyyyyyyyyyyyys.

ProsperNow. (@prossoff) 's Twitter Profile Photo

Demu akishaanza kuwa na tamaa, kuwa mitandaoni + ku demand huduma zake muhimu at the age of 20 kutoka kwa boyfriend wake no way utamfanya asitumie mwili wake kama income source. She automatically become Bed to Bed midfielder provided that ana sperm dipository crack. Why am I

John kalage 🇹🇿 (@kalage_jr) 's Twitter Profile Photo

Mafanikio ni bahati, kadiri unavyojituma kwenye kutafuta maarifa, uthubutu na uvumilivu ndio bahati yako inaongezeka ~ Ruge Mutahaba

Mafanikio ni bahati, kadiri unavyojituma kwenye kutafuta maarifa, uthubutu na uvumilivu ndio bahati yako inaongezeka

~ Ruge Mutahaba
Mark JR (@makjunior0) 's Twitter Profile Photo

Mwanamke anaweza kuvuka bahari na kupanda milima ili tu akamuone mwanaume anayempenda.. Unajua nini kaka, hakikisha wewe sio hiyo bahari anayoivuka au huo mlima anaoupanda..

AYO.💡💡 (@sepril23ng) 's Twitter Profile Photo

Instead of Spotify, use Demus Music Instead of Pinterest, use Pixabay Instead of Netflix, use stremeo Instead of Canva Pro, use Photopea Instead of YouTube, use Odysee Instead of TikTok, use Clapper Instead of ChatGPT Plus, use Poe Instead of Google Drive, use Terabox Instead of

Mark JR (@makjunior0) 's Twitter Profile Photo

Usijiringanishe maisha yako na ya watu wengine mana kila mtu ana vita yake kule anapoelekea, Tulizaliwa tofauti, tutaishi tofauti na tutakufa tofauti. Hakuna mafanikio yasiyokuwa na Changamoto

Mark JR (@makjunior0) 's Twitter Profile Photo

Kwenye maisha kuna maumivu mawili ya moyo lazima ukutane nayo.. 1.Kutoka kwa mwanamke 2.Kutoka kwa ndugu wa karibu Baada ya hapo, unakua Mwanaume kamili sasa.

Mark JR (@makjunior0) 's Twitter Profile Photo

Kuna mchumi mmoja anasema kijana kwenye maisha kuna level lazima apitie ndo atatoboa. Kwanza-uweze kutafuta hela ya kula tu, Pili- hela ya kukidhi mahitaji yako Tatu- uweze kuweka akiba Nne- kuanzisha maisha Tano- kusaidia watu Wengi huchanganya ndomana wanakwama.

Mark JR (@makjunior0) 's Twitter Profile Photo

Kila baada ya dakika moja mwanamke anasahau kama Anapendwa, ndomana wanataka umwambie nakupenda kila saa. Mwanamke akipenda anakuwa msumbufu sasa we ukiona kero akajua, basi atatafuta mtu mwingine wa kumsumbua. Hapo ndo balaa linapoanzia

Mark JR (@makjunior0) 's Twitter Profile Photo

Ukipata mtu anakupenda mshikirie, uku nje watu wamevurugwa sio mchezo. Sikuizi watu hawana hofu ya kuachana kabisa Tumefika sehemu mbaya sana

Mark JR (@makjunior0) 's Twitter Profile Photo

Uliwahi kujiuliza kwanini unajiona umechelewa? Ni kwa sababu umebeba kalenda ya jamii. Umebeba mafanikio ya wengine kama kipimo chako. Umebeba shinikizo la umri kama hukumu. Naweza kukusaidia .