Kilimanjaro Drinking Water (@majikilimanjaro) 's Twitter Profile
Kilimanjaro Drinking Water

@majikilimanjaro

Kilimanjaro Drinking Water is the number one Tanzanian brand for the natural bottled water.

ID: 1767206082760355840

calendar_today11-03-2024 15:10:12

2,2K Tweet

84 Followers

1 Following

Kilimanjaro Drinking Water (@majikilimanjaro) 's Twitter Profile Photo

Matukio katika picha team yetu ya Kilimanjaro Natural Mineral Water imepita mtaa kwa mtaa kutoa elimu kwa wananchi kuhusu mabadiliko tuliyofanya na kwa nini maji ya Kilimanjaro ni maji asilia. Pia tulipata nasafi ya kushare maji yetu na Watanzania mida ya futari.

Team yetu ya Kilimanjaro Natural Mineral Water imepita mtaa kwa mtaa kutoa elimu kwa wananchi kuhusu mabadiliko tuliyofanya na kwa nini maji ya Kilimanjaro ni maji asilia. Pia tulipata nasafi ya kushare maji yetu na Watanzania mida ya futari. #kilimanjaronaturalmineralwater

Kilimanjaro Drinking Water (@majikilimanjaro) 's Twitter Profile Photo

Team ya AfyaChek ilipata nafasi ya kutembelea kiwanda cha Bonite bottlers kilichopo Shirimatunda, Moshi ili kujionea Chanzo cha maji ya Kilimanjaro na jinsi maji asilia ya Kilimanjaro Natural Mineral Water yanavyo zalishwa. #naturalmineralwater #UhakikaWaKeshoYako

Team ya AfyaChek ilipata nafasi ya kutembelea kiwanda cha Bonite bottlers kilichopo Shirimatunda, Moshi ili kujionea Chanzo cha maji ya Kilimanjaro na jinsi maji asilia ya Kilimanjaro Natural Mineral Water yanavyo zalishwa.
#naturalmineralwater
#UhakikaWaKeshoYako
Kilimanjaro Drinking Water (@majikilimanjaro) 's Twitter Profile Photo

Scan QR Code kwenye label kutoa maoni au kupata maelezo zaidi kuhusu maji ya Kilimanjaro. #kilimanjaronaturalmineralwater #naturalmineralwater #majiasilia

Scan QR Code kwenye label kutoa maoni au kupata maelezo zaidi kuhusu maji ya Kilimanjaro.
#kilimanjaronaturalmineralwater #naturalmineralwater #majiasilia
Kilimanjaro Drinking Water (@majikilimanjaro) 's Twitter Profile Photo

Katika World Kidney Day, Endelea kujali afya yako kwa kunywa Maji asilia ya kuaminika kila siku ili kusaidia figo zako kufanya kazi kwa ufanisi zaidi. Kilimanjaro Natural Mineral Water maji asilia yakuaminika kila siku. #WorldKidneyDay #kidneyhealthmatters #naturalmineralwater

Katika World Kidney Day, Endelea kujali afya yako kwa kunywa Maji asilia ya kuaminika kila siku ili kusaidia figo zako kufanya kazi kwa ufanisi zaidi. Kilimanjaro Natural Mineral Water maji asilia yakuaminika kila siku.
#WorldKidneyDay #kidneyhealthmatters #naturalmineralwater
Kilimanjaro Drinking Water (@majikilimanjaro) 's Twitter Profile Photo

Matukio katika picha: Uzinduzi wa mabadiliko ya jina kutoka Kilimanjaro Drinking Water kwenda Kilimanjaro Natural Mineral Water uliofanyika katika depot yetu ya Mkoa wa Mwanza Mabadiliko haya yanaakisi uwepo wa madini asilia kwenye maji yetu huku ubora ukibaki vile vile.

Matukio katika picha: Uzinduzi wa mabadiliko ya jina kutoka Kilimanjaro Drinking Water kwenda Kilimanjaro Natural Mineral Water uliofanyika katika depot yetu ya Mkoa wa Mwanza 
Mabadiliko haya yanaakisi uwepo wa madini asilia kwenye maji yetu huku ubora ukibaki vile vile.
Kilimanjaro Drinking Water (@majikilimanjaro) 's Twitter Profile Photo

Mratibu wetu wa masoko Martha Silayo alipata nafasi ya kukutana na vyombo vya habari Radio One kupitia Interview yake ameeleza kwa nini Kilimanjaro Natural Mineral Water na kwa nini maji ya Kilimanjaro ni maji asilia. #kilimanjaronaturalmineralwater #naturalmineralwater

Kilimanjaro Drinking Water (@majikilimanjaro) 's Twitter Profile Photo

Uzinduzi wa mabadiliko ya jina kutoka Kilimanjaro Drinking Water kwenda Kilimanjaro Natural Mineral Water uliofanyika katika depot yetu ya Mkoa wa Mbeya. Mabadiliko haya yanaakisi uwepo wa madini asilia kwenye maji yetu, huku ubora na chanzo vikibaki vile vile vinavyoamininika.

Uzinduzi wa mabadiliko ya jina kutoka Kilimanjaro Drinking Water kwenda Kilimanjaro Natural Mineral Water uliofanyika katika depot yetu ya Mkoa wa Mbeya.

Mabadiliko haya yanaakisi uwepo wa madini asilia kwenye maji yetu, huku ubora na chanzo vikibaki vile vile vinavyoamininika.
Kilimanjaro Drinking Water (@majikilimanjaro) 's Twitter Profile Photo

Wakati wa kufungulia zingatia unywaji mwingi wa maji kwasababu mwili unauhitaji wa maji mengi ili kufanya kazi. Kilimanjaro Natural Mineral Water maji asilia ya kuaminika kila siku. #kilimanjaronaturalmineralwater #hydrationfirst #naturalmineralwater

Wakati wa kufungulia zingatia unywaji mwingi wa maji kwasababu mwili unauhitaji wa maji mengi ili kufanya kazi. Kilimanjaro Natural Mineral Water maji asilia ya kuaminika kila siku.
#kilimanjaronaturalmineralwater #hydrationfirst #naturalmineralwater
Kilimanjaro Drinking Water (@majikilimanjaro) 's Twitter Profile Photo

Kili Marathon challenge na Kilimanjaro Natural Mineral Water. Share content yako nzuri ukiwa kilimarathon na maji ya Kilimanjaro Natural Mineral water na utu tag turepost mshindi anapata zawadi. Mshindi atatumiwa ujumbe DM na atapata zawadi yake kwenye banda letu siku ya kesho.

Kili Marathon challenge na Kilimanjaro Natural Mineral Water.
Share content yako nzuri ukiwa kilimarathon na maji ya Kilimanjaro Natural Mineral water na utu tag turepost mshindi anapata zawadi.

Mshindi atatumiwa ujumbe DM na atapata zawadi yake kwenye banda letu siku ya kesho.
Kilimanjaro Drinking Water (@majikilimanjaro) 's Twitter Profile Photo

Happy World Water Day Tuendelee kuvilinda na kuvitunza vyanzo vyetu asilia vya maji. #kilimanjaronaturalmineralwater #naturalmineralwater #worldwaterday

Happy World Water Day
Tuendelee kuvilinda na kuvitunza vyanzo vyetu asilia vya maji.
#kilimanjaronaturalmineralwater #naturalmineralwater #worldwaterday
Kilimanjaro Drinking Water (@majikilimanjaro) 's Twitter Profile Photo

Wakimbiaji wakipita katika moja ya water point zetu yenye shower na sehemu za maji ya kunywa huku wakipoza mili Yao pamoja na kukata kiu #kilimanjaronaturalmineralwater #majiasilia #kilimarathon

Kilimanjaro Drinking Water (@majikilimanjaro) 's Twitter Profile Photo

kilimanjaro natural mineral water tukiwa sambamba na wakimbiaji wa kili-marathon katika kuhakikisha wanakata kiu yao na kupoza mwili na maji asilia. #kilimanjaronaturalmineralwater #majiasilia #kilimarathon

kilimanjaro natural mineral water tukiwa sambamba na wakimbiaji wa kili-marathon katika kuhakikisha wanakata kiu yao na kupoza mwili na maji asilia. 

 #kilimanjaronaturalmineralwater #majiasilia #kilimarathon
Kilimanjaro Drinking Water (@majikilimanjaro) 's Twitter Profile Photo

Matukio katika picture: Baadhi ya wafanyakazi wa team ya Kilimanjaro natural mineral water na washiriki waakiwa katika tukio la kili-marathon. #kilimarathon #kilimanjaronaturalmineralwater #majiasilia

Running with the right mindset and the right hydration. 🏅 Dr Chris Mauki joins the Kili Marathon spirit by reminding every runner that good hydration matters from preparation to recovery. Stay refreshed with Kilimanjaro Natural Mineral Water. #kilimarathon #naturalmineralwater