Dani maestro_ πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@mahimbokm) 's Twitter Profile
Dani maestro_ πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

@mahimbokm

#Animal scientists.

ID: 1636342963642015747

calendar_today16-03-2023 12:26:06

137 Tweet

205 Followers

1,1K Following

Dani maestro_ πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@mahimbokm) 's Twitter Profile Photo

Timu iliyoifunga yanga siku ya mwananchi imefungwa na simba nje ndani, Na timu iliyoifunga simba siku ya simba day imefungwa na yanga nje ndani hii ina maana gani kwenye mpira?

Timu iliyoifunga yanga siku ya mwananchi imefungwa na simba nje ndani,
Na timu iliyoifunga simba siku ya simba day imefungwa na yanga nje ndani hii ina maana gani kwenye mpira?
Essay help, Homework & Online class helper (@genesisessays) 's Twitter Profile Photo

Huyu ni msanii wa miondoko ya kufoka foka yaani Hiphop,Naweza kuwa sii pekee yangu ukiniambia nikutajie nyimbo yake hata moja na nikashindwa kutaja,Lakini mshikaji anajikubali yeye ni msaani mkali kuliko hata Roma,Somo kubwa sana anatupa kwenye maisha unatakiwa kujiamini

Huyu ni msanii wa miondoko ya kufoka foka yaani Hiphop,Naweza kuwa sii pekee yangu ukiniambia nikutajie nyimbo yake hata moja na nikashindwa kutaja,Lakini mshikaji anajikubali yeye ni msaani mkali kuliko hata Roma,Somo kubwa sana anatupa kwenye maisha unatakiwa kujiamini
Dani maestro_ πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@mahimbokm) 's Twitter Profile Photo

Kwa wanaojua kutufafanulia kwa lugha yetu maaana ya 1."First medals ever won by a Tanzanian side" AU kauli kama hii "First medals ever won by Tanzanian clubs" Ni maana sawa au tofauti?

Kwa wanaojua kutufafanulia kwa lugha yetu maaana ya 1."First medals ever won by a Tanzanian side" AU kauli kama hii
"First medals ever won by Tanzanian clubs" 
Ni maana sawa au tofauti?