Kheri Mahimbali (@mahimbalik) 's Twitter Profile
Kheri Mahimbali

@mahimbalik

Civil Servant| Personal Mantra: #GoBig or #GoHome

ID: 1624098187668598801

calendar_today10-02-2023 17:29:40

632 Tweet

2,2K Followers

1,1K Following

Lawrence Nyasebwa Mafuru (@lnmafuru) 's Twitter Profile Photo

Speaking constructive truth to authorities is not being disrespectful, on the contrary it is being respectful and helpful. Telling authorities what they want to hear even when we know it is not helpful to them is criminal.

Ezekiel ‘Top Pen’ Kamwaga (@ezekiel_kamwaga) 's Twitter Profile Photo

My brother Kheri Mahimbali is one of those fresh faces that has brought calmness and freshness in the Ministry of Mining. He knows the stuff and the language the mining sector understands. With these kind of bureaucrats, our future looks promising.

Helium One (@heliumone1) 's Twitter Profile Photo

Our #HE1 CEO, Lorna Blaisse, met with Kheri Mahimbali Permanent Secretary of Ministry of Minerals on Friday, whilst he was in London on business. It was a positive meeting and an opportunity to discuss the upcoming extended well test at Itumbula West-1.

Our #HE1 CEO, Lorna Blaisse, met with <a href="/MahimbaliK/">Kheri Mahimbali</a> Permanent Secretary of Ministry of Minerals on Friday, whilst he was in London on business. 

It was a positive meeting and an opportunity to discuss the upcoming extended well test at Itumbula West-1.
Helium One (@heliumone1) 's Twitter Profile Photo

"…Alongside my team, we received updates on the commendable work being done by her company #HE1 to advance the #helium gas sector. We congratulated them and assured them of our continued support in their endeavours…” thecitizen.co.tz/tanzania/news/…

"…Alongside my team, we received updates on the commendable work being done by her company #HE1 to advance the #helium gas sector. We congratulated them and assured them of our continued support in their endeavours…”

thecitizen.co.tz/tanzania/news/…
Wizara ya Madini (@madinitanzania) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mkuu Wizara ya Madini Kheri Mahimbali amepokea taarifa ya maendeleo ya mradi wa uchimbaji mkubwa wa madini ya dhahabu wa Nyanzaga uliopo Wilaya ya Sengerema Mkoani Mwanza unao milikiwa kwa ubia kati ya Serikali kupitia Kampuni ya Sotta Mining na Kampuni ya Perseus.

Haki Ngowi (@hakingowi) 's Twitter Profile Photo

▪️MAHIMBALI APOKEA TAARIFA MAENDELEO YA MRADI WA DHAHABU NYANZAGA Katibu Mkuu Wizara ya Madini Kheri Mahimbali amepokea taarifa ya maendeleo ya mradi wa uchimbaji mkubwa wa madini ya dhahabu wa Nyanzaga uliopo Wilaya ya Sengerema Mkoani Mwanza unao milikiwa kwa ubia kati ya

▪️MAHIMBALI APOKEA TAARIFA MAENDELEO YA MRADI WA DHAHABU NYANZAGA

Katibu Mkuu Wizara ya Madini Kheri Mahimbali amepokea taarifa ya maendeleo ya mradi wa uchimbaji mkubwa wa madini ya dhahabu wa Nyanzaga uliopo Wilaya ya Sengerema Mkoani Mwanza unao milikiwa kwa ubia kati ya
Wizara ya Madini (@madinitanzania) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mkuu Wizara ya Madini Kheri Mahimbali amepokea taarifa ya maendeleo ya mradi wa uchimbaji mkubwa wa madini ya dhahabu wa Nyanzaga uliopo Wilaya ya Sengerema Mkoani Mwanza unao milikiwa kwa ubia kati ya Serikali kupitia Kampuni ya Sotta Mining na Kampuni ya Perseus.

Katibu Mkuu Wizara ya Madini Kheri Mahimbali amepokea taarifa ya maendeleo ya mradi wa uchimbaji mkubwa wa madini ya dhahabu wa Nyanzaga uliopo Wilaya ya Sengerema Mkoani Mwanza unao milikiwa kwa ubia kati ya Serikali kupitia Kampuni ya Sotta Mining na Kampuni ya Perseus.
Wizara ya Madini (@madinitanzania) 's Twitter Profile Photo

Katika kikao hicho, Mahimbali ameipongeza Kampuni ya Persues Mining kwa wasilisho na taarifa iliyotolewa ambapo amewataka kuharakisha Mipango ya Kampuni hiyo ili mradi huo uweze kuanza kwa wakati. #InvestinTanzania #MiningSector

Katika kikao hicho, Mahimbali ameipongeza Kampuni ya Persues Mining kwa wasilisho na taarifa iliyotolewa ambapo amewataka kuharakisha Mipango ya Kampuni hiyo ili mradi huo uweze kuanza kwa wakati.
#InvestinTanzania
#MiningSector
Wizara ya Madini (@madinitanzania) 's Twitter Profile Photo

Naye, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Persues Mining, Matt Cavedom amesema, mradi wa uchimbaji madini ya dhahabu wa Nyanzaga unatarajiwa kuanza shughuli za ujenzi wa mgodi huo Januari, 2025 na kukamilika ndani ya miezi 24.

Naye, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Persues Mining, Matt Cavedom amesema, mradi wa uchimbaji madini ya dhahabu wa Nyanzaga unatarajiwa kuanza shughuli za ujenzi wa mgodi huo Januari, 2025 na kukamilika ndani ya miezi 24.
Haki Ngowi (@hakingowi) 's Twitter Profile Photo

🗞️: “Azimio letu pia linahusu kuanzisha angalau migodi minne mipya ifikapo mwaka 2030 kwa kuvutia wahusika wakuu kama vile Rio Tinto,BHP, Vale,Glencore,Anglo-American, na Zijin na kulenga kuiweka Tanzania kama kitovu muhimu cha madini.”- Kheri Mahimbali , Katibu Mkuu Wizara ya

🗞️:

“Azimio letu pia linahusu kuanzisha angalau migodi minne mipya ifikapo mwaka 2030 kwa kuvutia wahusika wakuu kama vile Rio Tinto,BHP, Vale,Glencore,Anglo-American, na Zijin na kulenga kuiweka Tanzania kama kitovu muhimu cha madini.”- Kheri Mahimbali , Katibu Mkuu Wizara ya
Wizara ya Madini (@madinitanzania) 's Twitter Profile Photo

Wizara ya Madini imesaini Mkataba wa Ujenzi wa Jengo la kisasa la ghorofa nane la Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC)&Kampuni mbili za wazawa zilizoungana za Skywards & Lumocons, katika hafla iliyofanyika leo jijini Dodoma na kushuhudiwa &Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa

Wizara ya Madini imesaini Mkataba wa Ujenzi wa Jengo la kisasa la ghorofa nane la Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC)&amp;Kampuni mbili za wazawa zilizoungana za Skywards &amp; Lumocons, katika hafla iliyofanyika leo jijini Dodoma na kushuhudiwa &amp;Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa
Wizara ya Madini (@madinitanzania) 's Twitter Profile Photo

#WikiyaMadininaFEMATA Matukio mbalimbali katika picha hafla ya kufunga Wiki ya Madini iliyoambatana na Mkutano wa FEMATA, Kongamano la Madini na Maonesho ya Madini na vifaa vya uchimbaji. Kongamano na matukio yote yalifanyika kuanzia tarehe 20- 27 Juni, 2024 Jijini Dodoma.

#WikiyaMadininaFEMATA
Matukio mbalimbali katika picha hafla ya kufunga Wiki ya Madini iliyoambatana na Mkutano wa FEMATA, Kongamano la Madini na Maonesho ya Madini na vifaa vya uchimbaji. Kongamano na matukio yote yalifanyika kuanzia tarehe 20- 27 Juni, 2024 Jijini Dodoma.
Haki Ngowi (@hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍Dodoma Katibu Mkuu Wizara ya Madini Mhe, Kheri Mahimbali akihutubia katika hafla ya kufunga Wiki ya Madini iliyoambatana na Mkutano wa FEMATA, Kongamano la Madini na Maonesho ya Madini na vifaa vya uchimbaji. Kongamano na matukio yote yalifanyika kuanzia tarehe 20- 27 Juni,

📍Dodoma

Katibu Mkuu Wizara ya Madini Mhe, Kheri Mahimbali akihutubia katika hafla ya kufunga Wiki ya Madini iliyoambatana na Mkutano wa FEMATA, Kongamano la Madini na Maonesho ya Madini na vifaa vya uchimbaji. Kongamano na matukio yote yalifanyika kuanzia tarehe 20- 27 Juni,
Kheri Mahimbali (@mahimbalik) 's Twitter Profile Photo

Mheshimiwa Balozi Hussein Athuman Kattanga akabidhi barua zake za utambulisho kwa Katibu Mkuu wa Mamlaka ya Kimataifa ya Usimamizi wa Madini yanayopatikana chini ya Sakafu ya Bahari Kuu (International Seabed Authority - ISA), Bwana Michael W. Lodge, kama Mwakilishi wa Kudumu wa

Haki Ngowi (@hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍Dar es Salaam ▪️MASOKO YA MADINI YASAIDIA KUDHIBITI UTOROSHAJI WA MADINI – MBIBO Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Msafiri Mbibo, amesema kuanzishwa kwa Masoko ya Madini hapa nchini kumesaidia kuondokana na utoroshaji wa madini hali iliyopelekea kuongezeka kwa mchango wa

📍Dar es Salaam

▪️MASOKO YA MADINI YASAIDIA KUDHIBITI UTOROSHAJI WA MADINI – MBIBO

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Msafiri Mbibo, amesema kuanzishwa kwa Masoko ya Madini hapa nchini kumesaidia kuondokana na utoroshaji wa madini hali iliyopelekea kuongezeka kwa mchango wa
Wizara ya Madini (@madinitanzania) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Eng.Yahya Samamba amesema ataendeleza pale alipoishia aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Kheri Mahimbali kutekeleza majukumu na kusimamia masuala yote yanayohusu Sekta ili kuhakikisha malengo tarajiwa ya Taifa kupitia Sekta ya Madini yanafikiwa.

Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Eng.Yahya Samamba amesema ataendeleza pale alipoishia aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Kheri Mahimbali   kutekeleza majukumu na kusimamia masuala yote yanayohusu Sekta ili kuhakikisha malengo tarajiwa ya Taifa kupitia Sekta ya Madini yanafikiwa.
Haki Ngowi (@hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍Dodoma ▪️NITAENDELEZA ALIPOISHIA MAHIMBALI- MHANDISI SAMAMBA ✔️Asisitiza ushirikiano, amani, upendo kufikia matarajio ya Sekta ✔️MAHIMBALI amweleza mlango uko wazi kutoa ushauri kwa Sekta ✔️STAMICO Yasema uongozi wake ulikuwa wa Manufaa Makubwa kwa Shirika Katibu Mkuu

📍Dodoma

▪️NITAENDELEZA ALIPOISHIA MAHIMBALI- MHANDISI SAMAMBA

✔️Asisitiza ushirikiano, amani, upendo kufikia matarajio ya Sekta

✔️MAHIMBALI amweleza mlango uko wazi kutoa ushauri kwa Sekta

✔️STAMICO Yasema uongozi wake ulikuwa wa Manufaa Makubwa kwa Shirika

Katibu Mkuu
Kheri Mahimbali (@mahimbalik) 's Twitter Profile Photo

Mr. Lawrence Nyasebwa Mafuru will be remembered for his extraordinary contributions in both the private and public sectors. A visionary leader has left us too soon. My heartfelt condolences to Mheshimiwa Rais Samia Suluhu for the loss of a true champion of Tanzania Vision 2050.

Kheri Mahimbali (@mahimbalik) 's Twitter Profile Photo

Daktari Ndugulile umetutoka. Tutakukumbuka kama kiongozi mwenye maono na ulitenda kuyatimiza maono yako. Moja ya michango yake ya kipekee ilikuwa ni katika mpango wa mkongo wa taifa kutumia miundombinu ya TANESCO kuboresha huduma za intaneti kwa Watanzania. Picha ya hafla

Daktari Ndugulile umetutoka. Tutakukumbuka kama kiongozi mwenye maono na ulitenda kuyatimiza maono yako.

Moja ya michango yake ya kipekee ilikuwa ni katika mpango wa mkongo wa taifa kutumia miundombinu ya <a href="/tanescoyetutz/">TANESCO</a> kuboresha huduma za intaneti kwa Watanzania. Picha ya hafla
Kheri Mahimbali (@mahimbalik) 's Twitter Profile Photo

I just finished reading "Zen: The Art of Simple Living" by Shunmyō Masuno. This book has changed how I deal with life's challenges using simple ideas. If you want more peace and clarity in your daily life, you should read it! #BookRecommendation #SimpleLiving #Zen #BoxingDay