Malaika (@magdiemma2) 's Twitter Profile
Malaika

@magdiemma2

Uaminifu wako ndio utakaokupatia watu wa kukusogezea fursa

ID: 1762503948454522881

calendar_today27-02-2024 15:44:44

29,29K Tweet

2,2K Takipçi

2,2K Takip Edilen

Malaika (@magdiemma2) 's Twitter Profile Photo

Kila kukicha hakuishi pilika pilika, yote ni kufukuzia kutimiza ndoto kwani kubadilisha ndoto kuwa hali halisi sio jambo dogo kuna mambo mengi ya kufanya na kuna vitu vingi vya kujinyima . Nawatakia maadhimisho mema ya siku ya wakulima.