Macocha Tembele (@mactembele) 's Twitter Profile
Macocha Tembele

@mactembele

Ambassador of the UR of Tanzania to Indonesia

ID: 236424381

linkhttps://id.tzembassy.go.tz calendar_today10-01-2011 15:20:18

710 Tweet

4,4K Takipçi

689 Takip Edilen

Macocha Tembele (@mactembele) 's Twitter Profile Photo

Pamoja na zile fursa za ufadhili wa Masomo tulizozitangaza awali, pia kuna fursa nyingine za ufadhili (Fully-funded Scholarships) kutoka Chuo Kikuu cha Indonesia na kutoka Chuo Kikuu cha Brawijaya. Tuzichangamkie‼️‼️

Amb. Noel Kaganda (@nekaganda) 's Twitter Profile Photo

Baada ya ushindi wa kishindo wa Marehemu Dkt. Ndugulile, tunarejea tena kwa kishindo kikubwa zaidi kupitia Prof. MYJanabi @moddyyakubu mgombea wa Tanzania kwa nafasi ya Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani- Kanda ya Afrika. Sifa na Vigezo anavyo. Ushindi ni Hakika. #VOTE4JANABI

Baada ya ushindi wa kishindo wa Marehemu Dkt. Ndugulile, tunarejea tena kwa kishindo kikubwa zaidi kupitia Prof. MYJanabi @moddyyakubu mgombea wa Tanzania kwa nafasi ya Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani- Kanda ya Afrika. Sifa na Vigezo anavyo. Ushindi ni Hakika. #VOTE4JANABI
Macocha Tembele (@mactembele) 's Twitter Profile Photo

After the tragic loss of Dr. Ndungulile, Tanzania comes back even stronger with the candidature of @moddyyakubu whose accomplishments in Public Health speak volumes on his suitability for the role of WHO African Region Director . We in Tanzania, East Africa and SADC harbour deep

MFA Tanzania (@mfa_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Join us in shaping a healthier future for Africa! Vote for Prof. Mohamed Yakub Janabi as WHO Regional Director for Africa. With his proven expertise, leadership, and dedication to advancing healthcare across the continent, Prof. Janabi is the visionary leader Africa needs. Let’s

Macocha Tembele (@mactembele) 's Twitter Profile Photo

Miaka 70 baada ya Mkutano wa Afrika na Asia uliofanyika Bandung, Indonesia mwaka 1955; nimepata heshima ya kualikwa na CSIS Indonesia kama mzungumzaji kwenye mdahalo utakaoangazia nafasi ya “Nchi za Kusini” kujitafutia maendeleo yao tukizingatia mtifuano wa wakubwa unaoendelea

Usanifu Batik za Indonesia umekuwa ukinivutia sana. Nikamtuma mmoja wa wachoraji kusanifu batik yenye “vionjo” vyetu. Imemchukua miezi 4 kuikamilisha. Ipo haja ya kuwaunganisha wasanifu Batik wetu na wenzetu hawa ili kubadilishana ujuzi utakaowezesha unyumbufu wa hivi wa kisanii

Usanifu Batik za Indonesia umekuwa ukinivutia sana. Nikamtuma mmoja wa wachoraji kusanifu batik yenye “vionjo” vyetu. Imemchukua miezi 4 kuikamilisha. Ipo haja ya kuwaunganisha wasanifu Batik wetu na wenzetu hawa ili kubadilishana ujuzi utakaowezesha unyumbufu wa hivi wa kisanii
MFA Tanzania (@mfa_tanzania) 's Twitter Profile Photo

TANZANIA YASISITIZA UMUHIMU WA USHIRIKIANO WA KIUCHUMI KWA MATAIFA YA AFRIKA NA ASIA Balozi wa Tanzania nchini Indonesia, Mhe. Macocha Tembele amesititiza kuhusu umuhimu wa kuhuisha fikra za Bandung kutoka katika mwelekeo wa kisiasa na kujikita zaidi katika kuimarisha

TANZANIA YASISITIZA UMUHIMU WA USHIRIKIANO WA KIUCHUMI KWA MATAIFA YA AFRIKA NA ASIA

Balozi wa Tanzania nchini Indonesia, Mhe. Macocha Tembele amesititiza kuhusu umuhimu wa kuhuisha fikra za Bandung kutoka katika mwelekeo wa kisiasa na kujikita zaidi katika kuimarisha
Tanzania Embassy | Jakarta (@ubalozijakarta_) 's Twitter Profile Photo

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Indonesia Mheshimiwa Macocha Moshe Tembele amekutana na kufanya mazungumzo na Bi. Dewi Justicia Meidiwaty, Mkurugenzi wa Masuala ya Afrika wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Indonesia. Mazungumzo hayo yamefanyika leo tarehe

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Indonesia Mheshimiwa Macocha Moshe Tembele amekutana na kufanya mazungumzo na Bi. Dewi Justicia Meidiwaty, Mkurugenzi wa Masuala ya Afrika wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Indonesia.

Mazungumzo hayo yamefanyika leo tarehe
Abertus Paschal 🇹🇿𝕏 (@rutaraka) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwana Diplomasia namba moja nchini, Mhe. Dkt. Samia Suluhu anatarajiwa kuzindua Sera Mpya ya Mambo ya Nje tarehe 19 Mei, 2025 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) jijini Dares Salaam. 🎥 | W/Mambo ya Nje

WHO African Region (@whoafro) 's Twitter Profile Photo

BREAKING: Prof. Mohamed Janabi, proposed by Tanzania🇹🇿, has been nominated as the next WHO African Region Regional Director during a Special Session of the WHO Regional Committee for Africa, held today in Geneva. Prof. Janabi will be appointed by World Health Organization (WHO) Executive Board, to be held on 28-29

BREAKING: Prof. Mohamed Janabi, proposed by Tanzania🇹🇿, has been nominated as the next WHO African Region Regional Director during a Special Session of the WHO Regional Committee for Africa, held today in Geneva.

Prof. Janabi will be appointed by World Health Organization (WHO) Executive Board, to be held on 28-29
Jakaya Kikwete (@jmkikwete) 's Twitter Profile Photo

Hongera sana Prof. Mohamed Janabi kwa ushindi wa kishindo kuwa Mkurugenzi WHO African Region. Ni ushindi wa Rais Samia Suluhu na Watanzania wote. Tunajivunia. Umetuheshimisha sana. Tunakuombea mafanikio mema katika kutimiza majukumu yako mapya. Ninavyokufahamu Profesa, sina wasiwasi kwamba

Hongera sana Prof. Mohamed Janabi kwa ushindi wa kishindo kuwa Mkurugenzi WHO African Region. Ni ushindi wa Rais Samia Suluhu na  Watanzania wote. Tunajivunia. Umetuheshimisha sana. Tunakuombea mafanikio mema katika kutimiza majukumu yako mapya. Ninavyokufahamu Profesa, sina wasiwasi kwamba
Tanzania Embassy | Jakarta (@ubalozijakarta_) 's Twitter Profile Photo

Mapema leo, Mheshimiwa Macocha M. Tembele, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Indonesia amekutana na uongozi wa Taasisi ya Indonesia Palm Oil Association (IPOA) na kujadiliana nao kuhusu umuhimu wa kuimarisha ushirikiano wa uwili katika kilimo cha zao la mchikichi.

Mheshimiwa Balozi Macocha Tembele akiteta na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) Dkt. Thomas N. Bwana na ujumbe wake mapema leo walipotembelea Ubalozini. Dkt. Thomas Bwana aliambatana na Dkt. Emmanuel Mrema, Mkurugenzi wa Kituo cha TARI Tumbi na

Mheshimiwa Balozi Macocha Tembele akiteta na  Mkurugenzi Mkuu wa  Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) Dkt.  Thomas N. Bwana na ujumbe wake mapema leo walipotembelea Ubalozini.

Dkt. Thomas Bwana aliambatana  na Dkt. Emmanuel Mrema, Mkurugenzi wa Kituo cha TARI Tumbi  na