Mabula Emmanuel (@mabulaemmanuel9) 's Twitter Profile
Mabula Emmanuel

@mabulaemmanuel9

KATIBU WA MBUNGE JIMBO LA KIGAMBONI MHE.DKT. FAUSTINE NDUGULILE.

KATIBU WA UVCCM KATA YA VIJIBWENI.

MWENYEKITI WA SERIKALI YA MTAA UPENDO,KIGAMBONI DSM

ID: 1487864629141417988

calendar_today30-01-2022 19:06:24

1,1K Tweet

169 Followers

251 Following

ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Organ) Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi hiyo uliofanyika Ikulu

OFISI YA RAIS TAMISEMI (@ortamisemitz) 's Twitter Profile Photo

VITUO VYA AFYA VYA KIMKAKATI KUJENGWA KILA JIMBO OR-TAMISEMI Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amesema Serikali katika Mwaka wa Fedha 2024/25 itapeleka Sh.Milioni 250 kwa kila Jimbo, Tanzania Bara kwaajili ya kuanza ujenzi wa vituo vya afya vya

VITUO VYA AFYA VYA KIMKAKATI KUJENGWA KILA JIMBO

 OR-TAMISEMI 

 Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, TAMISEMI  Mhe. Zainab Katimba amesema Serikali katika Mwaka wa Fedha 2024/25 itapeleka Sh.Milioni 250 kwa kila Jimbo, Tanzania Bara kwaajili ya kuanza ujenzi wa vituo vya afya vya
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

My heartfelt thanks to Excellencies Heads of State and Government, distinguished guests, delegates, our development partners and friends, who made their way to Dar es Salaam for the Mission 300 Africa Energy Summit on the 27th and 28th of January 2025. The summit successfully

Msemaji Mkuu wa Serikali (@tzmsemajimkuu) 's Twitter Profile Photo

Rais, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Robert Mugabe, Harare nchini Zimbabwe kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa nchi wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) unaofanyika leo tarehe 31 Januari, 2025.

Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Mgombea Urais akisalimiana na wanachama, wakereketwa na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi katika sherehe za maadhimisho ya Miaka 48 ya Kuzaliwa kwa CCM leo 05 Februari 2025 uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma ๐Ÿ”ฐUmoja Wetu , Nguvu Yetu

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Mgombea Urais akisalimiana na wanachama, wakereketwa na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi katika sherehe za maadhimisho ya Miaka 48 ya Kuzaliwa kwa CCM leo 05 Februari 2025 uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma

๐Ÿ”ฐUmoja  Wetu , Nguvu Yetu
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Baada ya kuzindua Kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani Dar es Salaam jana, leo tumeanza kampeni zetu mkoani Morogoro. Baada ya kuzungumza na wananchi Ngerengere nilielekea Morogoro Mjini. Ninawashukuru kwa mapokezi makubwa na ya heshima. Hii ni imani kubwa kwangu na kwa

Asanteni sana wananchi wa Chamwino, Chemba na Kondoa kwa mwitikio wenu mkubwa kwenye mikutano ya kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM). Wingi wenu ni mwendelezo wa uthibitisho wa imani yenu kwetu kutokana na kazi kubwa iliyofanyika, na unaeleza matarajio yenu juu yetu, pindi

Nimefika tena Babati, Mkoa wa Manyara ikiwa ni siku ya pili na ya mwisho ya Kampeni za Kiti cha Rais za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa mkoa huu. Ahsanteni sana wananchi wa Manyara. Nimefurahi sana kusikia na kuona jinsi wananchi wanavyoendelea kunufaika na matokeo ya kazi na

Nimefika tena Babati, Mkoa wa Manyara ikiwa ni siku ya pili na ya mwisho ya Kampeni za Kiti cha Rais za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa mkoa huu. Ahsanteni sana wananchi wa Manyara.

Nimefurahi sana kusikia na kuona jinsi wananchi wanavyoendelea kunufaika na matokeo ya kazi na
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Ahsanteni sana Temeke na Kigamboni kwa kujitokeza kwa wingi leo tulipohitimisha kampeni zetu kwa Mkoa wa Dar es Salaam. Kama ilivyokuwa katika wilaya zote nchini, wingi wenu unadhihirisha uwezo, ukubwa na uimara wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kazi ya kuitumikia nchi yetu.

Ahsanteni sana Temeke na Kigamboni kwa kujitokeza kwa wingi leo tulipohitimisha kampeni zetu kwa Mkoa wa Dar es Salaam.

Kama ilivyokuwa katika wilaya zote nchini, wingi wenu unadhihirisha uwezo, ukubwa na uimara wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kazi ya kuitumikia nchi yetu.
UVCCM TZ (@uvccm_tz) 's Twitter Profile Photo

Katibu mkuu UVCCM-Taifa Komredi Halid Mwinyi akizungumza na Viongozi mbalimbali katika sherehe za uapisho wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, zilizofanyika Ikulu ya Chamwino, Dodoma, 03 Nov, 2025. #VijanaTumeshinda #KaziNaUtuTunasongaMbele

Katibu mkuu UVCCM-Taifa Komredi Halid Mwinyi akizungumza na Viongozi mbalimbali katika sherehe za uapisho wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, zilizofanyika Ikulu ya Chamwino, Dodoma,  03 Nov, 2025.

#VijanaTumeshinda
#KaziNaUtuTunasongaMbele
UVCCM TZ (@uvccm_tz) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mkuu wa UVCCM Ndugu Halid Mwinyi (MNEC) ataongoza kikao cha Sekretarieti ya Baraza Kuu la UVCCM leo Jumanne 18 Novemba, 2025 katika Ofisi za Makao Makuu ya UVCCM, Tambukareli - Dodoma kuanzia Saa 4:00 Asubuhi. โ€”โ€” #KaziNaUtuTunasongaMbele

Katibu Mkuu wa UVCCM Ndugu Halid Mwinyi (MNEC) ataongoza kikao cha Sekretarieti ya Baraza Kuu la UVCCM leo Jumanne 18 Novemba, 2025 katika Ofisi za Makao Makuu ya UVCCM, Tambukareli - Dodoma kuanzia Saa 4:00 Asubuhi.

โ€”โ€”
#KaziNaUtuTunasongaMbele
UVCCM TZ (@uvccm_tz) 's Twitter Profile Photo

MWINYI AONGOZA KIKAO CHA SEKRETARIETI YA UVCCM TAIFA Katibu Mkuu wa UVCCM, Ndg. Halid Mwinyi (MNEC) ameongoza kikao cha Sekretarieti ya Baraza Kuu la UVCCM Taifa kilichoketi leo tarehe 18 Novemba 2025 makao makuu ya UVCCM Tambukareli, Dodoma. #kazinaututunasongambele

MWINYI AONGOZA KIKAO CHA SEKRETARIETI YA UVCCM TAIFA

Katibu Mkuu wa UVCCM, Ndg. Halid Mwinyi (MNEC) ameongoza kikao cha Sekretarieti ya Baraza Kuu la UVCCM Taifa kilichoketi leo tarehe 18 Novemba 2025 makao makuu ya UVCCM Tambukareli, Dodoma.

#kazinaututunasongambele
UVCCM TZ (@uvccm_tz) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mkuu wa UVCCM Ndugu Halid Mwinyi (MNEC) ataongoza kikao cha Sekretarieti ya Baraza Kuu la UVCCM leo Jumanne 20 Novemba, 2025 katika Ofisi za Makao Makuu ya UVCCM, Tambukareli - Dodoma kuanzia Saa 4:00 Asubuhi. โ€”โ€” #KaziNaUtuTunasongaMbele

Katibu Mkuu wa UVCCM Ndugu Halid Mwinyi (MNEC) ataongoza kikao cha Sekretarieti ya Baraza Kuu la UVCCM leo Jumanne 20 Novemba, 2025 katika Ofisi za Makao Makuu ya UVCCM, Tambukareli - Dodoma kuanzia Saa 4:00 Asubuhi.

โ€”โ€”
#KaziNaUtuTunasongaMbele
ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Jacob John Mkunda, mara baada ya mazungumzo na Viongozi wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Ikulu ndogo ya Tunguu,

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Jacob John Mkunda, mara baada ya mazungumzo na Viongozi wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Ikulu ndogo ya Tunguu,
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Ninawatakia ndugu zetu Wakristo na Watanzania wote kheri ya Sikukuu ya Pasaka. Siku hii ya kumbukizi ya kufufuka kwa Yesu Kristo ni nafasi nyingine ya kutafakari na kutimiza wajibu wetu wa kuendelea kujenga Taifa moja, imara, lenye ustawi, haki, maadili mema na utu.

Ninawatakia ndugu zetu Wakristo na Watanzania wote kheri ya Sikukuu ya Pasaka. 

Siku hii ya kumbukizi ya kufufuka kwa Yesu Kristo ni nafasi nyingine ya kutafakari na kutimiza wajibu wetu wa kuendelea kujenga Taifa moja, imara, lenye ustawi, haki, maadili mema na utu.
MR BEN (@eric__bernard) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Kenya hapa Tanzania, Mhe. Catherine Karemu, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 24 Aprili, 2026