Hapa ni Musoma mjini leo 12,5,2025 kwenye kikao cha ndani
Kuna mtu anasema ataiuwa chadema
Afikilie upya
Wale wanaogawa pesa za kodi kutaka kuiuwa chadema wazipeleke kwenye miradi ya maendeleo
Hongereni shinyanga
Asanteni shinyanga mjini
Wananchi wameamua kuikubali no reforms no election
Tukutane kahama kesho kuhitimisha mikutano kanda ya serengeti
Haya ni maajabu ya Tanzania
Unasajiliwa kuwa mwanachama hapohapo unapewa cheo kikubwa kwenye chama hicho
Baraza la sanaa kesho ni mhimu likawa macho kuagalia maigizo yatakayokuwepo hapo dar baadae na sisi wa mikoani tuje tuyaone kwenye sinema zetu