Mr Vagabond (@lucadommy) 's Twitter Profile
Mr Vagabond

@lucadommy

God Is Good Always♡ | IPO SIKU NITAKUWA BIGWIG✊️|UNEMPLOYED| ~Ndoto Ni Kubwa~

ID: 1874165407793152000

calendar_today31-12-2024 18:47:34

160 Tweet

33 Takipçi

174 Takip Edilen

Beno Lyimo (@iamlyimo) 's Twitter Profile Photo

Kijana Unayejitafuta 1.Mtangulize Mungu kwanza 2.Hakuna anayejali 3.Kaa kimya na usiongelee hovyo mipango Yako 4.Sio Kila anayekuita rafiki ni rafiki kweli 5.Punguza Circle Yako 6. Network na watu sahihi 7.Usipende Vya Bure 8.Kabla ya kuamua hakikisha umeshiba Ongeza nyingine

Kijana Unayejitafuta
1.Mtangulize Mungu kwanza
2.Hakuna anayejali
3.Kaa kimya na usiongelee hovyo mipango Yako
4.Sio Kila anayekuita rafiki ni rafiki kweli
5.Punguza Circle Yako
6. Network na watu sahihi
7.Usipende Vya Bure
8.Kabla ya kuamua hakikisha umeshiba

Ongeza nyingine
Mr Vagabond (@lucadommy) 's Twitter Profile Photo

Oya Washkaji Asubuhi ya leo iko hivi “Siyo kila safari unayo safiri inahitaji msindikizaji, safari zako nyingine ni vema zikakuhitaji wewe na MUNGU wako Tu inatosha• GOODMORNING frOm Moro Town• ❤️🫂

IAmHaule (@iamhaule) 's Twitter Profile Photo

Vijana wengi wanapotea kwa sababu hii: 1. Hawajui wanachotaka. 2. Wanajilinganisha sana na wengine. 3. Hawasomi – wanaishia kudanganywa. 4. Wanataka matokeo ya haraka. 5. Hawataki kukosolewa – wanataka kusifiwa tu.

Mr Vagabond (@lucadommy) 's Twitter Profile Photo

1. Tuliza moyo wako. 2. Kubali mapungufu yako. 3. Rahisisha mahitaji yako. 4. Ridhika na ulichonacho. 5. Ongeza kipato chako. 6. Chunga, tamaa mbaya.

Mr Vagabond (@lucadommy) 's Twitter Profile Photo

“Usikate tamaa kwa sababu leo ni ngumu – mtu wa kesho anaweza kuwa wa kukutoa kwenye tabu.” Nenda kazini ukiwa na heshima, tabasamu, na bidii – hata mtu asiyeongea leo, atakutafuta kesho. Una nguvu, una uwezo – usirudi nyumbani mikono mitupu bila kupigania siku yako.