Mecky_M (@lmwimbile) 's Twitter Profile
Mecky_M

@lmwimbile

REAL GENTLEMAN/YANGA πŸ’›πŸ’š/CHELSEA/AC MILAN/PEACE KEEPER

ID: 3524456363

calendar_today02-09-2015 15:18:26

111,111K Tweet

20,20K Followers

16,16K Following

Ki Messi Mweusi 🐐 (@1960remija) 's Twitter Profile Photo

Hii narudi mara ya 2 pale Yanga kuna hawa (1. Anderson Aman 2. Frank Mpelumbe 3. Mu Vibe 4. TJ 5. Willy Shemoka) kazi wanayofanya kutuletea maudhui mpaka tunashika nafasi za juu kwenye mitandao nyuma yake wanavuja jasho jingi sana. Kazi waliyopiga juzi kwenye paredi sio poa. 🐐

Mwizi aliyeiba vifaa vya timu ya media siku ya paredi pale Yanga ni huyu hapa. Tafadhali sambaza ujumbe huu kama kuna wanao mfahamu watupatie taarifa au wa ripoti kituo cha Polisi. RT. πŸ“Œ

Mwizi aliyeiba vifaa vya timu ya media siku ya paredi pale Yanga ni huyu hapa. Tafadhali sambaza ujumbe huu kama kuna wanao mfahamu watupatie taarifa au wa ripoti kituo cha Polisi. 

RT. πŸ“Œ
Peter Madeleka (@pmadeleka) 's Twitter Profile Photo

Mwanaume unawezaje KULALA KWENYE MABANDA YA KUFUGIA KUKU, tena kwa Mwanaume mwenzako? Hizo ni LAANA ZA KUWAPIGA WAZAZI. Jamani mkija Dar Es Salaam, muwe na PAKUFIKIA. Tuambieni; MTAZUIAJE UCHAGUZI?πŸ˜‚πŸ˜‚

MR BEN (@eric__bernard) 's Twitter Profile Photo

Mzee Shayo katisha sana hii Ndo Comedy sasa kazingatia mazingira na muktadha na kachekesha kweli kweli.. πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜‚

FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

"Tanzania ina ushindani mkubwa, kuna Simba na Yanga na sisi ni miongoni wa timu tatu bora. Nawaomba mashabiki watusapoti, tufanye kazi pamoja ili tuifanikishe Azam Fc” πŸ“’ Florent Ibenge

"Tanzania ina ushindani mkubwa, kuna Simba na Yanga na sisi ni miongoni wa timu tatu bora.

Nawaomba mashabiki watusapoti, tufanye kazi pamoja ili tuifanikishe Azam Fc”

πŸ“’ Florent Ibenge
Jogoo la Shamba Linalowika Mjini (@jmariotz) 's Twitter Profile Photo

Hawa PSG wameshindikana, PSG wamepata 2 red cards lakini pengo linaonekana Bayern Munich. Bonge moja la move from Hakimi, bonge moja la goli from the next Balon dOr winner Dembele. πŸ”₯

Jogoo la Shamba Linalowika Mjini (@jmariotz) 's Twitter Profile Photo

For me Achraf Hakimi deserves to be in the Ballon d’Or conversations, ni vile defenders hawapewi sana spotlight na pia utaifa wake unachangia. Hakimi anaingia kwenye my top 5 ya best players duniani kwa huu msimu unaoishia alongside the likes of Dembele, Raphinha and Mo Salah.

Sia Da VinciπŸ’Ž (@siadevinci) 's Twitter Profile Photo

Siasa bhna. Kipindi Magufuli anapigwa sipana, samia alikuwa akisifiwa na wapiga spana. Leo wapiga spana wanamsifu Magufuli na kumponda samia.

Siasa bhna. Kipindi Magufuli anapigwa sipana, samia alikuwa akisifiwa na wapiga spana. Leo wapiga spana wanamsifu Magufuli na kumponda samia.