lastborn (@levodopa01) 's Twitter Profile
lastborn

@levodopa01

inducer

ID: 1268627488177037319

calendar_today04-06-2020 19:35:59

2,2K Tweet

1,1K Followers

924 Following

ProsperNow. (@prossoff) 's Twitter Profile Photo

Formula ni zile zile. Wenye vikuku Wenye kuvaa vitop kitovu nje Wenye matundu mengi masikioni. Wanao ji cream. Wanawekeza kwenye matako. Wanaoacha mapaja nje. Wanaopenda clubbing. Wahudumu wa bar. Tunakula kwa tahadhari, tunakula kona.

๐™ถ๐™ฐ๐™ฑ๐šˆ ๐™ป๐™พ๐š…๐™ด๐š‚ ๐šƒ๐™ด๐™ฒ๐™ท 6.0 (@gabyconscious) 's Twitter Profile Photo

Again make sure unakua too specific unatengeneza tu ka-WebApp kako unatumia kwa mishe zako Usitake kutengeneza kitu kama LiAPP litafanya kila kitu utamaliza muda na PESA ( Hizi AI kazi ngumu lazima utalipia PREMIUM) Karibuni Mgodini mpate #MadiniYaGaby

Bin Kazumari (@jemedarisaid) 's Twitter Profile Photo

Bonge la mechi limepigwa Benjamin Mkapa , sio mechi ya โ€˜Shangazi Kwamjombaโ€™ kama tulivyoambiwa, ni mechi ya Ligi Kuu yenye kuleta heshima ya mpira wa nchi, Simba 2-2 Azam ni fair results! Ligi inapaswa kuwa namna hii, sio watu wanajua leo โ€œmtoto wa mjombaโ€™ anashinda,inakua kweli.

LUSAJO (@sajo_mwaihabi) 's Twitter Profile Photo

Skiliza Video hii hadi mwisho! Leo nikiwa na kikao kizito na My brother Masoud Kipanya Ni strategy gani ambayo atatumia kuuza magari yake na mauzo yakaenda vizuri dhidi ya magari yanayotengenezwa nje?? Usikose Tarehe 04 April. Jisajili hapa ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ forms.gle/HXuTtuJFGSzxGVโ€ฆ

GreaterThinker๐Ÿ’Ž (@hopequotes__) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ—ฃSema Huyu Mkurya John Heche Kanyooka Sanaa...๐Ÿซก na hapa kawaambia Ukweli wale G55, na Wahuni Wengine Waliopo CHAMANI...

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Watia nia ya Ubunge mwaka 2025 na waliokuwa watia nia mwaka 2020, (G55) wakiongozwa na Vigogo Adv. John Mallya, Catherine Ruge, John Mrema na Julius Mwita wamechapisha waraka kwenda kwa Katibu Mkuu Chadema, wakieleza kuwa wadau wengi wa Demokrasia nchini hawaungi mkono Mpango wa

Watia nia ya Ubunge mwaka 2025 na waliokuwa watia nia mwaka 2020, (G55) wakiongozwa na Vigogo Adv. John Mallya, Catherine Ruge, John Mrema na Julius Mwita wamechapisha waraka kwenda kwa Katibu Mkuu Chadema, wakieleza kuwa wadau wengi wa Demokrasia nchini hawaungi mkono Mpango wa
๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡ฎ ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ ๐Ÿ‡น ๐Ÿ‡ฟ (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Wakuu mambo ya Manara Yasitutoe kwenye Reliโ€ฆ Sisi kama wapwa tutasimama na MANARA- hatuwezi tukawa upande wa MSIMBE- Abadan ๐Ÿ’” Ila kwanza tuendelee na #FreeTunduLissu โ€ฆ

๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡ฎ ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ ๐Ÿ‡น ๐Ÿ‡ฟ (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya DM ya kuomba Utelezi โ€ฆ ni Dm ya kawaida saana ambayo mwanaume hufai kuogopa hata ikitokea imeleak humuโ€ฆ Hawa viumbe tumeumbiwa sisiโ€ฆ Wewe Zama Dmโ€ฆ Mwanamke akijiseti kuituma huku- Tuachie sisi WAPWA tutadeal naeโ€ฆ Atatuambia kama yeye ndio mwanamke

๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡ฎ ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ ๐Ÿ‡น ๐Ÿ‡ฟ (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya KIJANA nisikize mimi - kama bado haujajipata basi jitahidi saana - Ujiepushe na MAPENZI (ngono) na KAMARI! KUJIPATA- nkiwa na maana Ya kwamba UNAKAZI either umeajiriwa au biashara yako, una Nyumba na walau kagari kakutembelea na UMEOA (Tafsiri ya kitanzania)

Magogoni Daily (@magogonidaily) 's Twitter Profile Photo

Sikiliza sauti hizi. Tazama matokeo ya kazi ya Amiri Jeshi Mkuu, Kiongozi na Mama mwenye majawabu ya changamoto za wananchi wake. โœ…

๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡ฎ ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ ๐Ÿ‡น ๐Ÿ‡ฟ (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Maadui wa BARCELONA ambao sio mashabiki wa Interโ€ฆ Ila leo tutasimama na inter milan tujuane๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ #HalaMadrid ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ

Chief Lumanyika (@chieflumanyika) 's Twitter Profile Photo

Martin Masese alikuwa akimnadi Mbowe wakati wa uchaguzi wa chama Wala hakujificha,Baada ya uchaguzi kumalizika aliendelea na kazi ya kupambana na CCM bila kuweka kinyongo,Leo hii wamehama waliokuwa na mapenzi na mbowe yeye amebaki Amechagua uhai wa chama tumpe retweet 1000

Martin Masese alikuwa akimnadi Mbowe wakati wa uchaguzi wa chama Wala hakujificha,Baada ya uchaguzi kumalizika aliendelea na kazi ya kupambana na CCM bila kuweka kinyongo,Leo hii wamehama waliokuwa na mapenzi na mbowe yeye amebaki Amechagua uhai wa chama

tumpe retweet 1000
Alexander (@alesandrojr) 's Twitter Profile Photo

SALA YA ASUBUHI +Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Amina. Tuusifu Utatu Mtakatifu wa Mungu mmoja, sasa na siku zote na milele amina. Ee utatu Mtakatifu wa Mwenyezi Mungu; +Baba, +Mwana na +Roho Mtakatifu. Ninasadiki kuwa upo hapa na mahali pote. Ee Mungu

SALA YA ASUBUHI

+Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Amina.

Tuusifu Utatu Mtakatifu wa Mungu mmoja, sasa na siku zote na milele amina. Ee utatu Mtakatifu wa Mwenyezi Mungu; +Baba, +Mwana na +Roho Mtakatifu. Ninasadiki kuwa upo hapa na mahali pote. 

Ee Mungu