CyriloLeo (@leodigardcyrilo) 's Twitter Profile
CyriloLeo

@leodigardcyrilo

[email protected]

Kagera sugar fc /Chelsea fc Why do we have two ears but single mouth?

ID: 3401055070

calendar_today03-08-2015 07:07:56

59,59K Tweet

7,7K Followers

4,4K Following

CyriloLeo (@leodigardcyrilo) 's Twitter Profile Photo

Hii vita kaa neutral ukisikiliza kutoka Iran utasema hakuna nchi inaitwa Israel ishafutika ukisikiliza Israel utasema inala anaomba msamaha kesho wacha wapigane wakichoka wataacha

CyriloLeo (@leodigardcyrilo) 's Twitter Profile Photo

Kwahyo marais wa Africa mashariki mmekaa mkaona huyu ndo ataongoza jumuiya hii kwa technologia mtu mweneyewe mikono imeoza sijui ataisadia nini hii jumuiya

Ukimsikiliza Magufuli unaona alikuwa anamaono mazuri shida ilikuwa ubinafsi wa mimi ndo napaswa kuwa shujaa, ila kwa utawala huu ni magagagigigiko

CyriloLeo (@leodigardcyrilo) 's Twitter Profile Photo

Wafungwa wanafanya shughuri za hapa na pale kwa kuongeza kipato magereza, Sasa nyie Jeshi la Magereza mnaruhusu vipi kukaa na mtu Mwaka mzima mna mlisha tu hamuoni kama hamna faida naye hapo kwanini msilalamike sehem husika na kumuachia

CyriloLeo (@leodigardcyrilo) 's Twitter Profile Photo

Nchi mna IGP hasiyeweza kuzungumzia mauaji ya nyomi ya watu, kwanini Raia wasimwamini Maria Sarungi Tsehai hata kama anatumika lakini anatumika kukemea maovu huyo hasiyetumika mbona hakemei mauaji