Emanuel McMipower (@legendary_553) 's Twitter Profile
Emanuel McMipower

@legendary_553

/no God no life/My life my rule/
not everyone can be great man but great man can come from anywhere.....
movie & books addict
love of motivation
EL GUAPO

ID: 1510352456689070086

calendar_today02-04-2022 20:24:41

18,18K Tweet

1,1K Followers

2,2K Following

Fabrizio Romano (@fabrizioromano) 's Twitter Profile Photo

🚨💣 Rayan Cherki has decided to LEAVE Olympique Lyon this summer, the plan has been announced by the player in mixed zone tonight. “Thanks to OL, the coach, the staff, the president, my teammates and all people at the club”.

🚨💣 Rayan Cherki has decided to LEAVE Olympique Lyon this summer, the plan has been announced by the player in mixed zone tonight.

“Thanks to OL, the coach, the staff, the president, my teammates and all people at the club”.
Nei🥂 (@neemawillyy) 's Twitter Profile Photo

Good Morning family Happy new week kwa kila mmoja Unajiuliza utapata wapi furaha basi ubuyuwakishua upo kukupa furaha hapa Ladha ya Vanilla, Chocolate na Pilipili Kwa 4000 tu Kwa Jumla pia unapatikana Delivery Kwa Dar ipo na Mkoani tunatuma Karibuni 📞 0752228138

Good Morning family 

Happy new week  kwa kila mmoja

Unajiuliza utapata wapi furaha basi  ubuyuwakishua upo kukupa furaha hapa 

Ladha ya Vanilla, Chocolate na Pilipili 

Kwa 4000 tu 

Kwa Jumla pia unapatikana

Delivery Kwa Dar ipo na Mkoani tunatuma

Karibuni 
 📞 0752228138
SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Chuki, husda, na dhulma ni dhambi za KIPUMBAVU sana, ni dhambi pekee ambazo hazikuletei furaha. Ukifanya hizo dhambi unabaki na aibu na huzuni; Unayemfanyia hizo dhambi anafurahi kwa dharau.

Chuki, husda, na dhulma ni dhambi za KIPUMBAVU sana, ni dhambi pekee ambazo hazikuletei furaha.

 Ukifanya hizo dhambi unabaki na aibu na huzuni; Unayemfanyia hizo dhambi anafurahi kwa dharau.
Balyx (@balyx_) 's Twitter Profile Photo

How comes suala la Simba kutocheza Taifa mnailaumu CAF? Mbona wa kulaumiwa mnamjua lakini mnajifanya kumkwepa kimakusudi?😂

Nei🥂 (@neemawillyy) 's Twitter Profile Photo

Ubuyu wakishua Ubuyu mtamu mzuri wa kishua upo Ladha ya Vanilla Ladha hii ukila hata haiachi rangi mdomoni Kwa 4000 tu Kwa Jumla pia unapatikana Delivery Kwa Dar ipo na Mkoani tunatuma Karibuni 📞 0752228138

Ubuyu wakishua  

Ubuyu mtamu mzuri wa kishua upo 

Ladha ya Vanilla

Ladha hii ukila hata haiachi rangi mdomoni 

Kwa 4000 tu 

Kwa Jumla pia unapatikana

Delivery Kwa Dar ipo na Mkoani tunatuma

Karibuni 
 📞 0752228138
SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Unawaangalia age mates wako na washkaji uliosoma nao, wengi wametusua maisha, career, finance, assets, family nk Usijisikie vby Bro, just calm down. Usipanic Wakati mwingine inachukua miaka 10 kufikia mwaka mmoja utakaobadilisha kabisa maisha yako mazima Just KEEP GOING bro! GM

SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Bro, hata giza liwe nene kiasi gani, amini ipo siku mawingu yatawanyika, nuru itakumulika, na wewe utanunua gari yako ya kwanza Then, siku utambeba bi'mkubwa wako hapo siti ya mbele kumtoa outing...she'll be very happy😊 Ukim-drop home machozi ya furaha yatamtoka Sema Amen🤲🏽🫵🏽

Small Business Elevator (@sb_ladder) 's Twitter Profile Photo

Kuna kitu kinaitwa Neema. Ikikukuta, haikagui vyeti vyako, CV yako wala kabila lako — inabadilisha tu story ya maisha yako katika namna ambayo hukuwahi kufikiria. Kama unasoma tweet hii, Neema ya Bwana ikukute mahali ulipo. Claim it by retweeting this tweet.

Spana & V.A.R Movement (@spana_konki) 's Twitter Profile Photo

Ratiba tunaanza na Wasafi Sports Arena saa 08:30, ikifika saa 09:00 tunafuata na Hili Game pale Clouds, wakipiga Matangazo tunarudi Wasafi, then tunaenda Sports HQ kwa Majizo saa 11:00, ikifika 12:00 tunaingia EATV kipenga Extra, alafu tunamaliza na Tv E huwa wanamaliza saa 9. 👍🏿

Ratiba tunaanza na Wasafi Sports Arena saa 08:30, ikifika saa 09:00 tunafuata na Hili Game pale Clouds, wakipiga Matangazo tunarudi Wasafi, then tunaenda Sports HQ kwa Majizo saa 11:00, ikifika 12:00 tunaingia EATV kipenga Extra, alafu tunamaliza na Tv E huwa wanamaliza saa 9. 👍🏿
Bayer 04 Leverkusen (@bayer04_en) 's Twitter Profile Photo

Dear Jeremie Frimpong, You arrived with a smile, and you never stopped sharing it. Your joy, energy and heart lit up every room, training session and matchday. We will miss your laugh, your dance moves and your hugs, but most of all, we will miss the incredible person behind

Dear <a href="/JeremieFrimpong/">Jeremie Frimpong</a>,

You arrived with a smile, and you never stopped sharing it.

Your joy, energy and heart lit up every room, training session and matchday.

We will miss your laugh, your dance moves and your hugs, but most of all, we will miss the incredible person behind