Victor Lashikoni (@lashikonivictor) 's Twitter Profile
Victor Lashikoni

@lashikonivictor

ID: 1611745975558610944

calendar_today07-01-2023 15:26:57

3,3K Tweet

33 Followers

234 Following

Victor Lashikoni (@lashikonivictor) 's Twitter Profile Photo

Kwa nini sisi wamiliki wa silaha hapa mkoani Arusha tunalazimishwa kulipia shs 40000/= za mafunzo ya silaha jambo ambalo halipo kisheria

Victor Lashikoni (@lashikonivictor) 's Twitter Profile Photo

Hawa ndio Wamasai walioishi eneo la Ngorongoro na hawa kuwa wanakaa eneo moja kwa kudumu walikuwa watu wa kuhamahama(Nomads).Hawa wa Sasa wanataka wajenge Nyumba za mabati ya Mouth na Nyumba za kudumu.

Hii ndiyo ramani ya Bonde la ufa ikionyesha kuwa Wamasai wa Tanzania wanishi maeneo ya Engaruka kuelekea Mashariki eneo la Ngorongoro ni la Watatoga

Baada ya M/Kiti wa Chadema na Makamu wake kuongea pamoja na waandishi wa habari,Sauti ya Watanzania na wapambe wao wamekimbia mitandaoni hawasikiki kabisa.

Victor Lashikoni (@lashikonivictor) 's Twitter Profile Photo

Wanaharakati wa Tanzania mpo wapi kufanya maandamano ya kupinga utekaji. Au maandamano yenu mnafanya kwenye mitandao.Alafu mnakaa hapa kuilau Chadema na Uongozi wa Mbowe.

Victor Lashikoni (@lashikonivictor) 's Twitter Profile Photo

Tundu Lissu amechanganyikiwa kama alivyochanganyikiwa Msigwa,msishangae akakimbilia CCM atakaposhindwa kwenye uchaguzi wa kumtafuta M/kiti wa Chadema.

Victor Lashikoni (@lashikonivictor) 's Twitter Profile Photo

Hivi zile mbwembwe za Mwabukusi zimeishia wapi? Mbona sioni tofauti ya TLS ya Sasa na Ile iliyopita.Na ya Lissu alipata uwenyekiti wa Chadema utakuwa hivyo hivyo.Mawakili wanadhani kuongoza taasisi ni kuropoka

Victor Lashikoni (@lashikonivictor) 's Twitter Profile Photo

Tanzania Leaks Solution ya mambo yote hayo ni Katiba Mpya na Tume Mpya ya Uchaguzi,Full Stop hata upige kelele vipi sana sana watakuteka na kukupoteza.