Ladies_in_Islam (@ladiesinislamtz) 's Twitter Profile
Ladies_in_Islam

@ladiesinislamtz

Inspiring Islamic Girls & Women through Muslim Women’s success stories from different sectors | Read, Listen, Learn & Improve | Charity | Revealing Role Models

ID: 1390569213534916608

calendar_today07-05-2021 07:28:55

303 Tweet

195 Followers

34 Following

Ladies_in_Islam (@ladiesinislamtz) 's Twitter Profile Photo

Asalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh. Tarehe 28/06/2025 kwenye #IslamicWomenInBusinessEvent tutakuwa na MGENI RASMI Mh. Sophia Mjema – Mshauri wa Rais (Wanawake & Makundi Maalum - Ikulu). Eneo: Tiffany Hall, Mikocheni kwa Nyerere Umeshapata tiketi yako?

Asalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh.

Tarehe 28/06/2025 kwenye #IslamicWomenInBusinessEvent tutakuwa na MGENI RASMI Mh. Sophia Mjema – Mshauri wa Rais (Wanawake & Makundi Maalum - Ikulu).

Eneo: Tiffany Hall, Mikocheni kwa Nyerere

Umeshapata tiketi yako?
Ladies_in_Islam (@ladiesinislamtz) 's Twitter Profile Photo

Islamic Women in Business Event 2025 28 June | 🕗 08:30AM–6:30PM Tiffany Hall, Mikocheni Special Guest: Yumna Salum – TİKA & Rabia Abdallah -Katibu NEC Dress code: Gold & White (Stara na Hijab) 📞 Info: +255 717 250550 @ladies_in_islam #IslamicWomenInBusiness #LadiesInIslam

Islamic Women in Business Event 2025
28 June | 🕗 08:30AM–6:30PM

Tiffany Hall, Mikocheni

Special Guest: Yumna Salum – TİKA & Rabia Abdallah -Katibu NEC

Dress code: Gold & White (Stara na Hijab)
📞 Info: +255 717 250550

@ladies_in_islam
#IslamicWomenInBusiness #LadiesInIslam
Ladies_in_Islam (@ladiesinislamtz) 's Twitter Profile Photo

ALHAMDULILLAH – LEO NDIO SIKU! BISMILLAH.. Msikose tukio hili adhimu kwa wanawake wa Kiislam – fursa ya kipekee ya kujifunza, kuungana na kuinua biashara zetu kama wanawake wa imani. 📍 Mahali: Tiffany Hall, Mikocheni kwa Nyerere #IslamicWomenInBusinessAwards

ALHAMDULILLAH – LEO NDIO SIKU! BISMILLAH..

Msikose tukio hili adhimu kwa wanawake wa Kiislam – fursa ya kipekee ya kujifunza, kuungana na kuinua biashara zetu kama wanawake wa imani.

📍 Mahali: Tiffany Hall, Mikocheni kwa Nyerere

#IslamicWomenInBusinessAwards
Ladies_in_Islam (@ladiesinislamtz) 's Twitter Profile Photo

Islamic women in business are taking center stage in 2025 today at Tiffany Hall, Mikocheni — leading with integrity, creativity, and resilience. Join us in celebrating their achievements, ambitions, and the bright future they are shaping. #IslamicWomenInBusiness

Islamic women in business are taking center stage in 2025 today at Tiffany Hall, Mikocheni — leading with integrity, creativity, and resilience.

Join us in celebrating their achievements, ambitions, and the bright future they are shaping.

#IslamicWomenInBusiness
Ladies_in_Islam (@ladiesinislamtz) 's Twitter Profile Photo

Islamic Women in Business 2025 ni zaidi ya tukio la kukutana ni jukwaa linalowaunganisha wafanyabiashara wakubwa na wadogo, likiwawezesha kubadilishana maarifa, fursa, na mtazamo wa mafanikio yanayoongozwa na maadili ya Kiislamu. #IslamicWomenInBusiness

Islamic Women in Business 2025 ni zaidi ya tukio la kukutana ni jukwaa linalowaunganisha wafanyabiashara wakubwa na wadogo, likiwawezesha kubadilishana maarifa, fursa, na mtazamo wa mafanikio yanayoongozwa na maadili ya Kiislamu.

#IslamicWomenInBusiness
Ladies_in_Islam (@ladiesinislamtz) 's Twitter Profile Photo

Bi. Salha Aziz, Mkurugenzi wa Ladies In Islam, akifungua rasmi kwa hekima na hamasa, akisisitiza kuwa uongozi, mafanikio na imani vinaweza kwenda pamoja. Wanawake wana nafasi ya kuleta mabadiliko kwa kujitambua na kushirikiana. Cc: Salha Binti Aziz 🇹🇿 #IslamicWomenInBusiness

Bi. Salha Aziz, Mkurugenzi wa Ladies In Islam, akifungua rasmi kwa hekima na hamasa, akisisitiza kuwa uongozi, mafanikio na imani vinaweza kwenda pamoja.

Wanawake wana nafasi ya kuleta mabadiliko kwa kujitambua na kushirikiana.

Cc: <a href="/SalhaBintiAziz/">Salha Binti Aziz 🇹🇿</a>

#IslamicWomenInBusiness
Ladies_in_Islam (@ladiesinislamtz) 's Twitter Profile Photo

Mpaka wiki chache kabla, sikuona uwezekano. Leo tumekutana kwa kusudi la Allah. Shukrani kwa wote mliofanikisha #IslamicWomenInBusiness2025. Hongera kwa walezi, wakufunzi & watoa mada – mmetujenga kiakili, kinafsi na kiimani. ~ Salha Binti Aziz 🇹🇿 #IslamicWomenInBusiness

Mpaka wiki chache kabla, sikuona uwezekano. Leo tumekutana kwa kusudi la Allah.
Shukrani kwa wote mliofanikisha #IslamicWomenInBusiness2025.
Hongera kwa walezi, wakufunzi &amp; watoa mada – mmetujenga kiakili, kinafsi na kiimani. ~ <a href="/SalhaBintiAziz/">Salha Binti Aziz 🇹🇿</a>

#IslamicWomenInBusiness
Ladies_in_Islam (@ladiesinislamtz) 's Twitter Profile Photo

Wageni waalikwa, watoa mada na wageni wengine wameshuhudia tukio la #IslamicWomenInBusiness leo Tiffany Hall, Mikocheni likiwa jukwaa la maarifa, mitandao na kuinua mwanamke Kiislamu kiuchumi.

Wageni waalikwa, watoa mada na wageni wengine wameshuhudia tukio la #IslamicWomenInBusiness leo Tiffany Hall, Mikocheni likiwa jukwaa la maarifa, mitandao na kuinua mwanamke Kiislamu kiuchumi.
Ladies_in_Islam (@ladiesinislamtz) 's Twitter Profile Photo

Mgeni Rasmi katika Kongamano la Islamic Women in Business 2025, Mhe. Sophia Mjema, Mshauri wa Rais katika Masuala ya Wanawake na Makundi Maalum. Tunathamini mchango wake wa kipekee katika kuwawezesha wanawake na kukuza usawa wa kijinsia. #IslamicWomenInBusiness

Mgeni Rasmi katika Kongamano la Islamic Women in Business 2025, Mhe. Sophia Mjema, Mshauri wa Rais katika Masuala ya Wanawake na Makundi Maalum. 

Tunathamini mchango wake wa kipekee katika kuwawezesha wanawake na kukuza usawa wa kijinsia.

#IslamicWomenInBusiness
Ladies_in_Islam (@ladiesinislamtz) 's Twitter Profile Photo

"Wanawake, Biashara na Malezi" Kwa hekima, Aunt Sadaka akifundisha kuwa mwanamke anaweza kufanya biashara na kulea familia yenye maadili. “Tunaweza kuchangia uchumi bila kupoteza utu wala imani.” ~ Aunt Sadaka Uwekezaji bora huanzia nyumbani. #IslamicWomenInBusiness

"Wanawake, Biashara na Malezi"

Kwa hekima, Aunt Sadaka akifundisha kuwa mwanamke anaweza kufanya biashara na kulea familia yenye maadili.

 “Tunaweza kuchangia uchumi bila kupoteza utu wala imani.” ~ Aunt Sadaka

Uwekezaji bora huanzia nyumbani.
#IslamicWomenInBusiness
Ladies_in_Islam (@ladiesinislamtz) 's Twitter Profile Photo

Bi. Fudhela Seif akielezea Changamoto za Biashara kwa Wanawake Katika biashara wakabiliwa na vikwazo kama: 🔸 Mitaji 🔸 Vikwazo vya kijinsia 🔸 Kutengwa kijamii 🔸 Kukosa fursa 🔸 Majukumu ya familia Ni muda wa kuwaunga mkono na kuvunja vizingiti. #IslamicWomenInBusiness

Bi. Fudhela Seif akielezea Changamoto za Biashara kwa Wanawake 

Katika biashara wakabiliwa na vikwazo kama:

🔸 Mitaji
🔸 Vikwazo vya kijinsia
🔸 Kutengwa kijamii
🔸 Kukosa fursa
🔸 Majukumu ya familia

Ni muda wa kuwaunga mkono na kuvunja vizingiti.

#IslamicWomenInBusiness
Ladies_in_Islam (@ladiesinislamtz) 's Twitter Profile Photo

Hajjat Mwajabu Mbwambo akitoa mafunzo namna ya kuchangamkia fursa katika Kongamano la Ladies In Islam. "Fursa hazisubiri, tunapaswa kuzitafuta kwa maarifa, ujasiri na imani." Uwezo wa mwanamke haupaswi kufungwa na mazingira, bali kuhamasishwa na maono. #IslamicWomenInBusiness

Hajjat Mwajabu Mbwambo akitoa mafunzo namna ya kuchangamkia fursa katika Kongamano la Ladies In Islam.
"Fursa hazisubiri, tunapaswa kuzitafuta kwa maarifa, ujasiri na imani." 

Uwezo wa mwanamke haupaswi kufungwa na mazingira, bali kuhamasishwa na maono.

#IslamicWomenInBusiness
Ladies_in_Islam (@ladiesinislamtz) 's Twitter Profile Photo

Mtoto Dinahna Mansoor, mgeni maalum katika #IslamicWomenInBusiness, amewataka wazazi kuwabeba watoto na vijana wao kwenye majukwaa ya kidini na yenye tija kwa maendeleo yao ya kiakili, kiroho na mustakabali bora wa kesho.

Mtoto Dinahna Mansoor, mgeni maalum katika #IslamicWomenInBusiness, amewataka wazazi kuwabeba watoto na vijana wao kwenye majukwaa ya kidini na yenye tija kwa maendeleo yao ya kiakili, kiroho na mustakabali bora wa kesho.
Ladies_in_Islam (@ladiesinislamtz) 's Twitter Profile Photo

Assalam Alaykum! Uongozi wa Ladies In Islam tunapenda kutoa pole kwetu sote kwa changamoto zote zilizotokea kipindi hiki. Alhamdulillah kwa Mwenyezi Mungu kutuvusha salama na tuendelee kufanya dua na maombi kwaajili ya Nchi yetu 🇹🇿 Innalilaihy Wainailaihy Rajiun🥹

Ladies_in_Islam (@ladiesinislamtz) 's Twitter Profile Photo

Get ready for the Ladies in Islam Event 2026 – Season 6 ✨ Join us on 7th March 2026, from 11:00 AM to Iftar, as we explore the powerful theme “Muslim Women and Economic Opportunities.” A day of inspiration, empowerment, and meaningful connections. Save the date. #LIISeason6

Get ready for the Ladies in Islam Event 2026 – Season 6 ✨

Join us on 7th March 2026, from 11:00 AM to Iftar, as we explore the powerful theme “Muslim Women and Economic Opportunities.”
A day of inspiration, empowerment, and meaningful connections. 

Save the date.

#LIISeason6
Ladies_in_Islam (@ladiesinislamtz) 's Twitter Profile Photo

We are happy to announce TUKIIO partner with Ladies in Islam Event 2026 – Season 6. On 7th March 2026, from 11:00 AM to Iftar, as we explore the powerful theme “Muslim Women and Economic Opportunities." A day of inspiration, empowerment, and meaningful connections. #LIISeason6

We are happy to announce TUKIIO partner with Ladies in Islam Event 2026 – Season 6.

On 7th March 2026, from 11:00 AM to Iftar, as we explore the powerful theme “Muslim Women and Economic Opportunities."

A day of inspiration, empowerment, and meaningful connections.

#LIISeason6
Ladies_in_Islam (@ladiesinislamtz) 's Twitter Profile Photo

Partner with Purpose Ladies In Islam, Event 2026 invites sponsors and partners to join Season 6. Connect with a meaningful audience and support a legacy of inspiration, unity, and empowerment. #LISSeason6 | #LadiesInIslaam

Partner with Purpose
Ladies In Islam, Event 2026 invites sponsors and partners to join Season 6. Connect with a meaningful audience and support a legacy of inspiration, unity, and empowerment.

#LISSeason6 | #LadiesInIslaam