@klmstarcargo
ID: 1227611641715576832
calendar_today12-02-2020 15:13:31
908 Tweet
485 Takipçi
377 Takip Edilen
a month ago
JIKONTENA - KIPATO CHAKO CHATOSHA DAY 3 (SABA SABA) Simba wa Bahari,tunaendelea kutoa huduma za usafirishaji kwa wateja wetu wanaotembelea Kontena letu ndani ya Maonesho ya 49, Maonesho ya Saba Saba, ikiwa ni siku ya tatu leo.