Khamis Suedi Kagasheki (@kkagasheki) 's Twitter Profile
Khamis Suedi Kagasheki

@kkagasheki

Diplomat and Politician #ProudlyTanzanian

ID: 27941444

calendar_today31-03-2009 19:25:37

56,56K Tweet

161,161K Takipçi

2,2K Takip Edilen

Khamis Suedi Kagasheki (@kkagasheki) 's Twitter Profile Photo

Watu wengine ni zaidi ya dawa. Kaa nae nusu saa tu, hali yako ya badilika kwa kuwa mwenye furaha, raha na uchangamfu. Kinyume chake sisemi. #KSK_Balozi

Khamis Suedi Kagasheki (@kkagasheki) 's Twitter Profile Photo

Kama unayo familia inayokutegemea mwenenendo usiwe ule wa wenye kukwepa na kukimbia majukumu yao. Wapambamie watu wako na Mungu atakuwekea wepesi. #KSK_Balozi

Al Arabiya English (@alarabiya_eng) 's Twitter Profile Photo

US President Donald Trump says there will be more information in the next day on a potential new proposal for a hostage release deal and ceasefire in #Gaza. english.alarabiya.net/News/middle-ea…

Khamis Suedi Kagasheki (@kkagasheki) 's Twitter Profile Photo

One of the greatest minds of all time. He was killed, yes. He was untimely removed from Mother Earth, yes. But his ideas couldn't be killed. They are ever present. #RIPMalcomX #KSK_Balozi

One of the greatest minds of all time. He was killed, yes. He was untimely removed from Mother Earth, yes. But his ideas couldn't be killed. They are ever present. #RIPMalcomX

#KSK_Balozi
Khamis Suedi Kagasheki (@kkagasheki) 's Twitter Profile Photo

Leo ni miaka 29 tangu meli ijulikanayo MV Bukoba ilipo zama karibu na Mwanza ndani ya Ziwa Victoria. Walifarika takriban watu elfu moja. Kwa Kagera huu ulikiwa mmoja wamisiba mikubwa kutokea. Familia nyingi ziliguswa kwa njia moja au nyingine na tukio hili. Hatuto acha kukumbuka

Tunaishi Ulimwengu wa ajabu. Kuna watu wakiona clip za vifo vya raia huko Kivu kaskazini na kusini, Gaza, Tehran, Tel Aviv wanashabikia na hata kufurahia. Hayajakukuta. Yakikukuta wewe mwenyewe, baba au mama yako, mwanao au ndugu yako, tutajuwa ubaya wa vita, madhara ya vita.

Dear Son. (@dears_o_n) 's Twitter Profile Photo

No successful man is chasing women. Only a weak man is desperate for love and attention. A strong man is focused on God, his purpose, and fixing himself.

The EastAfrican (@the_eastafrican) 's Twitter Profile Photo

The Donald Trump administration has added Tanzania and Uganda to a list of countries facing potential travel restrictions to the United States. South Sudan, the Democratic Republic of Congo and Djibouti are also on the list. zurl.co/JrQSI