Hezbon (@kiumbedhaifu) 's Twitter Profile
Hezbon

@kiumbedhaifu

Son Of God💪
Ni Mama & Baba baada ya MUNGU🙏
Kaa mbali ukiona hatu relate 💯

ID: 1605797905666818049

calendar_today22-12-2022 05:31:12

13,13K Tweet

2,2K Followers

1,1K Following

Eagle's Eye (@eagleseye02) 's Twitter Profile Photo

Kuna wakati kwenye maisha samahani 1 inaweza kufuta makosa elfu 1 halafu kuna wakati samahani elfu moja haziwezi kufuta kosa 1 kwa sababu hata kama utasamehewa tayari kila kitu kinakuwa kimesha badilika usimchukulie mtu anaye kusamehe kila mara kama vile ni mdhaifu kuna kujuta🤔

Dear❤️ Ni bora uwe ombaomba kwa Mungu kuliko kuwa ombaomba kwa wanadamu ambao wakikupa watakusimanga watakusema watataka wakutumie ili kulipa wema wao unapokwama mwombe Mungu yeye anazo njia millions za kutatua shida zako na huna cha kumlipa maana hata pumzi yako ni mali yake🙏🥰

Hello Dears ❤️ Hakuna usichoweza kumiliki ikiwa Mungu amekupangia kukimiliki Imani na bidii ni vyetu ila nguvu ya kutubariki na hekima ya kutumiliksha ni vyake ilimradi upo hai na Mungu anakupa uzima bado una nafasi ya kufanikiwa kwenye maisha yako 💪❤️

Hello Dears❤️Kwenye maisha usitafute kupendwa wewe mwombe Mungu awaonyeshe kitu maalum alicho weka ndani yako ambacho kitahitajika hata pale usipopendwa ukiwa na kitu ambacho wana kihitaji sana kwako hicho kitawalazimisha wakuhitaji wewe pia hicho ndicho kimebeba heshima yako😎

Polito Keni (@matdental) 's Twitter Profile Photo

Mda pekee ambao unaweza kumzoea DINGI ni pale unapomfundisha kutumia SMARTPHONE.. Wanakuaga wapole sana aisee unaweza hata kumuagiza maji ya kunywa akakuletea

Eagle's Eye (@eagleseye02) 's Twitter Profile Photo

Hello Dears ❤️ Kuiona nuru ya asubuhi ni ishara ya Mungu kwako kuwa bado una nafasi ya kufanya vitu vitokee kama Mungu amekuamini akakupa siku basi usimwekee mashaka hata kama uhalisia wa mambo una kuonyesha ugumu usiache kuamini na kujibidiisha hakuna jambo gumu kwenye muda 💪