
Kitila Mkumbo (PhD)
@kitilam
Husband to Prosista, Dad to Aggrey, Calvin and Abigail, TZ raia, mwananchi, MP, Minister. Tweets mine!
ID: 1912949292
https://kitilamkumbo.co.tz/ 28-09-2013 03:29:13
4,4K Tweet
146,146K Followers
819 Following

Nakubaliana na Mhe Prof Manya. Sio sawa kuwapeleka watoto boarding katika umri mdogo. Tabia ya mtoto huumbwa katika miaka ya kwanza 14. Wazazi tulee watoto wetu ili wawe na tabia tuzipendazo. Richard Mabala Richard Shukia (PhD)