Mdude hayupo kuna athari gani kaacha kwa Taifa?
Jee harakati zake zimebadilisha lolote kati ya yale aliokua akipigia kelele?
Jee wale waliokua wakimpa kichwa kumjaza ujinga wamechukua hatua gani kuhusu kupotea kwake?
Jee wanaharakati watalea familia yake?
Jitatafakari