Hasna_kingu (@kinguhasna) 's Twitter Profile
Hasna_kingu

@kinguhasna

Interested in travelling , food... I love to talk things out . Aspiring Data Analyst#BlackGirlMagic #GirlPower

ID: 1022011792770379777

calendar_today25-07-2018 06:52:54

2,2K Tweet

401 Followers

322 Following

Mercides  (@caltexjr1) 's Twitter Profile Photo

“Walio uwawa tarehe 29 ni wengi kuliko waliouwawa kwenye vita ya Kagera ( Tanzania vs uganda ) Ukweli humuweka Mtu wazi Repost 670

“Walio uwawa tarehe 29 ni wengi kuliko waliouwawa kwenye vita ya Kagera ( Tanzania vs uganda )

Ukweli humuweka Mtu wazi

Repost 670
Jebra Kambole (@advocate_jebra) 's Twitter Profile Photo

Hon. Judge Joseph Sinde Warioba asante sana kwa utumishi wako na muongozo wako!, Mungu akupe maisha marefu sana. Uhuru una maana gani ikiwa unafaida kwa wachache na una mateso kwa wengi? WE CELEBRATE YOU!, hawa ndo wazee sasa sio mkusanyiko wa mbogamboga ule.

Hon. Judge Joseph Sinde Warioba asante sana kwa utumishi wako na muongozo wako!, Mungu akupe maisha marefu sana.

Uhuru una maana gani ikiwa unafaida kwa wachache na una mateso kwa wengi?

WE  CELEBRATE YOU!, hawa ndo wazee sasa sio mkusanyiko wa mbogamboga ule.
Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Mahakama Kuu ya Tanzania , Masjala ndogo ya Dar es Salaam, imesema kuwa Baraza Kuu la Waislamu nchini (Bakwata) sio chombo cha waislamu wote kwa sababu katiba ya baraza hilo inatambua dhehebu moja tu la Sunni Wal- Jamaa, ilhali kwenye dini hiyo kuna madhehebu mengine

khalifa said #PALESTINE 🇵🇸 ☭🌹 (@thatboykhalifax) 's Twitter Profile Photo

nchi hii ina matatizo makubwa sana. watu wajinga wajinga na wenye uwezo mdogo sana wamepewa madaraka makubwa sana kwa sababu ya kujihusisha tu na ccm, matokeo yake ndo haya. ccm wanaiharibu hii nchi, uzuri ni kwamba their time is running out very fast:

nchi hii ina matatizo makubwa sana. watu wajinga wajinga na wenye uwezo mdogo sana wamepewa madaraka makubwa sana kwa sababu ya kujihusisha tu na ccm, matokeo yake ndo haya. ccm wanaiharibu hii nchi, uzuri ni kwamba their time is running out very fast:
Mange Kimambi (@mangekimambi) 's Twitter Profile Photo

She shot and killed over 10,000 of her fellow Tanzanians to retain power. Sixty days after an election she claims to have won with 98% of the vote, she is still living in hiding and only appearing in heavily controlled environments. She sends her ministers to represent her

She shot and killed over 10,000 of her fellow Tanzanians to retain power.

Sixty days after an election she claims to have won with 98% of the vote, she is still living in hiding and only appearing in heavily controlled environments. She sends her ministers to represent her
Mufti Menk (@muftimenk) 's Twitter Profile Photo

Nobody will truly understand what you’re going through except the One who made you. He’s the only One who knows your true circumstances and is always available when you need Him. He will heal you and make you whole again.

#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Siku moja huko mbeleni tutajilaumu sana sana sana kwanini hatukuungana wote kwa pamoja kukiondoa kikundi hiki cha watu wachache sana!! Yes you heard me right, ni kikundi cha watu wachache sana ndicho kinacho-run hii nchi na kufanya maamuzi yote haya na ukatili wote na ufisadi

The Persian Jewess (@persianjewess) 's Twitter Profile Photo

Protests in Tehran Jan 13, 2026. Estimates that over 1 Million Iranians are in Tehran tonight demanding the end of the Islamic Regime. They are unarmed, and the Regime is intentionally shooting to kill, but they return in bigger numbers each night. Bravest people alive. 🦁☀️

khalifa said #PALESTINE 🇵🇸 ☭🌹 (@thatboykhalifax) 's Twitter Profile Photo

jaji mkuu anataka aonekane anasimamia haki na msingi wa uhuru wa mahakama. analalaje usiku akijua serikali imemuweka kizuizini kiongozi wa chama kikuu cha upinzani, siyo kwa kisingizio kingine chochote kile bali matakwa ya watawala? masaju aache maneno mengi, ashughulike na hili!

khalifa said #PALESTINE 🇵🇸 ☭🌹 (@thatboykhalifax) 's Twitter Profile Photo

serikali isiyoweza kujibishana na watu kwa hoja, na badala yake inatumia mabavu kuwanyamazisha watu wenye mawazo tofauti, haijuwi inafanya nini kuhusu lissu. likesi lao la kubumba haliwezi kuendelea maana ni makatili lakini hawana akili, na hawawezi kumtoa gerezani. #FREELISSUNOW

Tabz (@ninyetabz) 's Twitter Profile Photo

The worst part of a society manipulated by politics is to see the poor defending the rich who are responsible for their poverty and misery -Anonymous

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Ripoti hii ya #BBCAfricaEye itaruka pia kwa Lugha ya kiswahili na lugha zingine 10 kubwa duniani. Inatoka siku ya JUMATATU-kwa mara ya kwanza leo ndio naona JUMATATU mbali wanangu. REPOST 200 #TUTAKUWEPO🫵😎

Richard Mabala (@mabalamakengeza) 's Twitter Profile Photo

Hata ktk ajali ya baharini au angani wafiwa hutafuta miili ya wapendwa wao ili wapate 'closure, waweze kuaga wapendwa wao kwa heshima. Sembuse waliouawa na kupotezwa mwaka jana. Hakuna closure bila kupata wapendwa wao na uwajibikaji wa waliosababisha vifo vyao