KING MUTESA(@kingmutesa) 's Twitter Profileg
KING MUTESA

@kingmutesa

Streetprenuer!

ID:551759576

calendar_today12-04-2012 11:05:31

712 Tweets

604 Followers

1,6K Following

chizzo drama(@Chizzodrama) 's Twitter Profile Photo

WASANII WA HIPHOP BONGO🧡

Wengi wao ,hawaimbi uhalisia wa maisha yao , hivyo ni ngumu hata ku document

Lyrics zao ni zile:
-Me mkali Kama Fulani (U.S)
-check ninavyo tambaa
-Hawaniwezi

Full of FANTASY , wakielezea Struggle Basi ujue ni zile za kwenda STUDIO kipindi hichoπŸ‘‡

WASANII WA HIPHOP BONGO🧡 Wengi wao ,hawaimbi uhalisia wa maisha yao , hivyo ni ngumu hata ku document Lyrics zao ni zile: -Me mkali Kama Fulani (U.S) -check ninavyo tambaa -Hawaniwezi Full of FANTASY , wakielezea Struggle Basi ujue ni zile za kwenda STUDIO kipindi hichoπŸ‘‡
account_circle
Moyo wa TAIFA ℒ️(@bajabiri) 's Twitter Profile Photo

Ujasiriamali sio kitu rahisi....

Kujiajiri sio kitu rahisi.

Lazima kufanyike reforms za kuajiri wahitimu.

Sio wote wana passion ya kujiajiri au kuwa wajasiriamali.

Bad enough elimu ya Tanzania haimuandai mtu kujiajiri.

Ndio maana mhadhiri wa Kilimo Hana SHAMBA wala mifugo

account_circle
Son of God(@EliabuDanford) 's Twitter Profile Photo

Kanisa, hasa wapentekoste unakuta hawana database ili kufahamu wanafanzi wangapi wametoka kanisa kwako. Wangapi wamemaliza vyuo vikuu. Wangapi wana utalaamu fulani. Ili kusaidia kwenye mambo ya mipango na usimamizi(planning& management). Hii ni kutokana na

account_circle
chizzo drama(@Chizzodrama) 's Twitter Profile Photo

π—žπ—”π—‘π—¬π—˜ π—ͺπ—˜π—¦π—§ π—žπ—œπ—¨π—‘π—šπ—’ π— π—¨π—›π—œπ— π—¨ π—”π—Ÿπ—œπ—¬π—˜π—§π—¨π— π—œπ—žπ—” π—žπ—¨π— π—£π—’π—§π—˜π—­π—” 𝟱𝟬 π—–π—˜π—‘π—§ ,π—žπ—œπ— π—¨π—­π—œπ—žπ—œ πŸ‡ΊπŸ‡²πŸŒŽπŸ§΅

1β—ΎMiaka Ya 2000 , Ni kipindi Ambacho Tasnia ya Burudani hasa upande wa Muziki , ilikumbwa na dhoruba kubwa kibiashara

Na hii ilitokana na πŸ‘‡

π—žπ—”π—‘π—¬π—˜ π—ͺπ—˜π—¦π—§ π—žπ—œπ—¨π—‘π—šπ—’ π— π—¨π—›π—œπ— π—¨ π—”π—Ÿπ—œπ—¬π—˜π—§π—¨π— π—œπ—žπ—” π—žπ—¨π— π—£π—’π—§π—˜π—­π—” 𝟱𝟬 π—–π—˜π—‘π—§ ,π—žπ—œπ— π—¨π—­π—œπ—žπ—œ πŸ‡ΊπŸ‡²πŸŒŽπŸ§΅ 1β—ΎMiaka Ya 2000 , Ni kipindi Ambacho Tasnia ya Burudani hasa upande wa Muziki , ilikumbwa na dhoruba kubwa kibiashara Na hii ilitokana na πŸ‘‡
account_circle
DE LA FUNK(@DeLaFunk6) 's Twitter Profile Photo

The first collaboration EP from a Tanzanian πŸ‡ΉπŸ‡Ώ producer De La Funk (formerly of Funk Brothers) and Swahili Son Released by Digg Down Records on 16 December 2023.

Listen to Emotional PiLLs Ep, a playlist by De La Funk Monk on
on.soundcloud.com/eqFTd

account_circle
Madenge(@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

So viongozi ndio wanastahili bima kubwa,magari ya kifahari,posho nene and all good stuffs na sio kuwatengenezea wananchi mazingira mazuri nao wakaishi maisha kama hayo wote tukaenjoy uwepo wetu duniani.

account_circle
KING MUTESA(@kingmutesa) 's Twitter Profile Photo

Ila twende mbele turudi nyuma Bro Nape Moses Nnauye ni waziri mzigo,Mchango wake kwenye IT ya bongo hauonekani..
Waziri teknolojia ya habari hujui hata kuinstall window kwenye computer..!!!

Ila twende mbele turudi nyuma Bro @Nnauye_Nape ni waziri mzigo,Mchango wake kwenye IT ya bongo hauonekani.. Waziri teknolojia ya habari hujui hata kuinstall window kwenye computer..!!!
account_circle