𝔻𝕣. π•‚π•šπ•žβœžοΈŽΰΌ’οΈŽβ˜ οΈŽοΈŽ (@kinazifinest) 's Twitter Profile
𝔻𝕣. π•‚π•šπ•žβœžοΈŽΰΌ’οΈŽβ˜ οΈŽοΈŽ

@kinazifinest

ID: 1711244570497835008

calendar_today09-10-2023 04:58:26

271 Tweet

100 Followers

106 Following

SHAKA ZULU (@s_sophagi) 's Twitter Profile Photo

Kesho madogo wa form 6 Wanaanza mtihani .Ni tukio gani kubwa unalikumbuka lilikutoka siku ukiwa unajiandaa kuanza mtihani wa nectaπŸ˜‚.

Kesho madogo wa form 6 Wanaanza mtihani .Ni tukio gani kubwa unalikumbuka lilikutoka siku ukiwa unajiandaa kuanza mtihani wa nectaπŸ˜‚.
SHAKA ZULU (@s_sophagi) 's Twitter Profile Photo

MAISHA. Tambua thamani yako kuwa tayari kusimama na maono yako usikubali kupoteza mwelekeo wako. Kwa ufupi ishi maisha yako.

SHAKA ZULU (@s_sophagi) 's Twitter Profile Photo

KUMBUKA . Mtoto aliyefundishwa kutokula kwa jirani ,ataishi maisha yake yote akiamini chakula cha mama yake ndo kitamu na kizuri.

SHAKA ZULU (@s_sophagi) 's Twitter Profile Photo

MAISHA Jitahidi kusahau mambo yote yaliyokukatisha tamaa.beba Yale yenye Nguvu yatakayokufikisha kwenye maono Yako na hatma Yako.