CAG kimaro@ (@kimaros2) 's Twitter Profile
CAG kimaro@

@kimaros2

ID: 1266715166172987392

calendar_today30-05-2020 12:56:59

4,4K Tweet

2,2K TakipΓ§i

2,2K Takip Edilen

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Kadri navyozidi kufanya, ndivyo nazidi kuamini, kupata Samaki Fresh Dar, kwa nauli ya 10k ndani ya masaa 18 ni kitu cha kawaida kabisa. Nimefanya na nimeanza kuzoea. Nipigie 0762344677

Kadri navyozidi kufanya, ndivyo nazidi kuamini, kupata Samaki Fresh Dar, kwa nauli ya 10k ndani ya masaa 18 ni kitu cha kawaida kabisa.
Nimefanya na nimeanza kuzoea.
Nipigie 0762344677
Dr Sneaker Nyame (@sneakernyame_) 's Twitter Profile Photo

Michael Olise is so exciting to watch, he pulled off what Lamine Yamal couldn’t against Nuno Mendes. Absolutely brilliant tonightπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Taivina James (@thereal_taivina) 's Twitter Profile Photo

Tito Magoti Digital Nomad (Your Fav Dijito Bro) Big Titto I can handle Them achana na huo chalii Chillax hamna kilichoharibika kesho asubuhi Ngoma linatoka Hilo ndo muhimu hakikisha sound iko poa huko. πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

CAG kimaro@ (@kimaros2) 's Twitter Profile Photo

Kwa wale wote wanaochoka lakini hawaachi, wanaoanguka lakini wanainuka tena leo ni siku yenu. Kila jasho ni mbegu ya mafanikio. Endeleeni kupambana kwa moyo wote, maana thamani yenu haiwezi kupimwa. #HeriyaSikuyaWafanyakazi!

Benjamin Fernandes πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@benji_fernandes) 's Twitter Profile Photo

Tanzania, we built you something πŸ‘€ 30 guests only. Tuesday night in Dar es Salaam with me. First look at NALA Global Accounts, a US dollar account made for us. If you get paid in USD or want to store money in USD, or send money cross border from Tanania, you need to be in

Sheila Mchamba (@sheilamchamba) 's Twitter Profile Photo

Mabadiliko hayajengwi na watu wachache-yanajengwa na kila anayetoa alichonacho. Leo toa tone lako. Kesho tutajivunia nguvu yetu ya pamoja. #ToneTone

Barbosa (@gratian_barbosa) 's Twitter Profile Photo

Hivi kwa miaka 10 iliyopita kuna timu iliwahi kutufunga nje ndani? Je kuna mchezaji aliwahi kutufunga goli tatu peke ake kwenye mechi 1? Na Je tumewahi kupoteza mechi mfululizo kiasi hili?? Na Je tumewahi kucheza mpira usioeleweka kama huu ninaouona siku hizi?? #SLOTOUT inatosha

John kalage πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@kalage_jr) 's Twitter Profile Photo

#FreeNinja #FeeNinja #FreeNinja #FeeNinja #FreeNinja #FeeNinja #FreeNinja #FeeNinja #FreeNinja #FeeNinja #FreeNinja #FeeNinja #FreeNinja #FeeNinja #FreeNinja #FeeNinja #FreeNinja #FeeNinja #FreeNinja #FeeNinja #FreeNinja #FeeNinja #FreeNinja #FeeNinja #FreeNinja #FeeNinja

#FreeNinja #FeeNinja #FreeNinja #FeeNinja #FreeNinja #FeeNinja #FreeNinja #FeeNinja #FreeNinja #FeeNinja #FreeNinja #FeeNinja #FreeNinja #FeeNinja #FreeNinja #FeeNinja #FreeNinja #FeeNinja #FreeNinja #FeeNinja #FreeNinja #FeeNinja #FreeNinja #FeeNinja #FreeNinja #FeeNinja