Oldonyo Lengai ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@kilele0) 's Twitter Profile
Oldonyo Lengai ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@kilele0

Bingwa QH

ID: 1477030909950017538

calendar_today31-12-2021 21:36:46

71,71K Tweet

1,1K Followers

3,3K Following

BRICS News (@bricsinfo) 's Twitter Profile Photo

JUST IN: ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ China says the Strait of Hormuz was closed because of US and Israel's "illegal" war against Iran.

JUST IN: ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ China says the Strait of Hormuz was closed because of US and Israel's "illegal" war against Iran.
๐•„๐•ฃ. ๐”น๐•–๐•–๐Ÿฏ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@mrbeetanz) 's Twitter Profile Photo

Taja course Moja ambayo hata Ukimaliza Kusoma Unaweza Kujiajiri Hata Ukiwa na 150k Mimi: Beekeeping (Uuzaji Asali) Comment chini tuzione๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ

Taja course Moja ambayo hata Ukimaliza Kusoma Unaweza Kujiajiri Hata Ukiwa na 150k 

Mimi: Beekeeping (Uuzaji Asali)

Comment chini tuzione๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
Jacque (@jacquetorro) 's Twitter Profile Photo

Yani nimepata mpangaji jana karudi saa saba usiku amelewa jamani ni kelele toka muda huo mpaka saa kumi asubuhi yani sijalala leo atanieleza

Rajamu (@dadaconso) 's Twitter Profile Photo

Nimewatumia this watu kadhaa OSHA.. natumai litafanyiwa kazi immediately. Kubeba sumu/kemikali Kuna utaratibu wake, na hii video sijaona hata kimoja chema.. which is a bad sign.. Pia wenye kampuni.. I hope watatimiza wajibu wao Kwa dereva (kumtibu/compensation) + wawe

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amesema kuwa Marekani haiwezi tena kuyashurutisha na kuyaamulia mataifa mengine kuhusu namna ya kuendesha masuala yao ya ndani, akisisitiza kuwa Dunia imebadilika na Nchi zinapaswa kuheshimu uhuru wa kila Taifa kujiamulia mambo yake

๐Ÿ•ท๏ธ (@444holywitch) 's Twitter Profile Photo

HAKUNA OVERTHINKER MWENYE AMANI. Hakuna overthinker mwenye amani. Hakuna, kwa sababu overthinking yenyewe ni kinyume cha utulivu. Ni akili inayokataa kukaa kimya, inayojaribu kudhibiti kila kitu kwa kufikiria zaidi, hata pale ambapo hakuna jibu jipya litakalopatikana. A THREAD

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Baadhi ya Waigizaji ambao walikuwa na Marehemu Hashim Kambi studio wamesema kabla ya Umauti kumkuta Mzee huyo alikuwa vizuri tu na alifanyakazi zake kama kawaida lakini badae alisema anajisikia vibaya hivyo wakaamua kumpeleka Hospitali na umauti ukamkutia huko Wakizungumza na

Ulimwengu ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@fizoo_2040) 's Twitter Profile Photo

Tumetoka kumpumzisha MAMA YANGU mchana wa leo,Sikuwahi kufikiria kama nitakuwa yatima katika umri wangu mdogo kiasi hiki.Imekuwa mapema sana aisee. Tumuombee sana kipenzi changu apate pumziko la milele. Daah! Why MAMA ๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜“๐Ÿ˜ญ๐Ÿ™Œ

๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡ฎ ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ ๐Ÿ‡น ๐Ÿ‡ฟ (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Mtu akikuambia umtafutie kazi hajamaanisha umFORWADIE LINKS na Advertsโ€ฆ Anahitaji kitu kama; โ€œHello,Report on Monday you have been referred by so and soโ€ฆโ€ Or โ€œNenda kwenye ile Ofisi waambie nmekuagizaโ€ Hizo links na Advets is not it๐Ÿ’ฏ

Joseph Mbilinyi (@therealjongwe) 's Twitter Profile Photo

Hii nchi tumeipambania sana kubabake! Hapo wadwanzi walichana suti yangu mpya kabisa ya Calvin Klein, MATAKO YAO!๐Ÿ˜Ž #FREELISSU #KATAARIPOTI

Hii nchi tumeipambania sana kubabake! 
Hapo wadwanzi walichana suti yangu mpya kabisa ya Calvin Klein, MATAKO YAO!๐Ÿ˜Ž
#FREELISSU #KATAARIPOTI
๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡ฎ ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ ๐Ÿ‡น ๐Ÿ‡ฟ (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya PSG vs BAYERN โ€ฆ Sisi kama Arsenal - tunaangalia huu mpira bila Pressureโ€ฆ Wapigane watoane damuโ€ฆ tunataka kukutana na Yeyote tu ajeโ€ฆ Wote bado tunaVisasi naoโ€ฆ #COYG

George Ambangile (@george_ambangil) 's Twitter Profile Photo

Nimefikiria winga ni Olise , Kvara , Doue then fullbacks wangu ni Dalot na Shaw ... mpaka nimetetemeka Should not be televised ๐Ÿ˜€

George Ambangile (@george_ambangil) 's Twitter Profile Photo

Haya ndio mambo ambayo Arteta hapendi , bora umuue lakini hakupi hii end to end game ... abadani asilani ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€.! Ndio maana ngumu kuona anapigwa nyingi nyingi sana.! Hataki huu upuuzi .!